CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

Nguvu ya "umma" hoi bin taaban kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ulofanyika jijini DSM leo tar. 11/08/2013!

Katika hali iliyowaacha midomo wazi Chadema baada ya kuleta karibu wabunge wao wote bado wamechezea kichapo cha mbwa mwizi katika mitaa 8 iliyofanya uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa CCM imeshinda viti saba(7) kati ya nane(8) vilivyofanya uchaguzi na kati ya wajumbe wa serikali za mitaa kumi na tisa (19) waliokuwa wakifanya uchaguzi CCM imeshinda wajumbe wote kumi na tisa(19)! Sawa na asilimia mia moja 100%!

Huu ni uthibitisho tosha kuwa Dar imeiktaa Chadema na uongo wao wote! Pamoja na nguvu kubwa ya kampeni iloongozwa na Mnyika na Mdee bado wana DSM wamesema HAWADANGANYIKI!

Katika kutafuta Ukombozi Libya hawakuanzia Tripor mambo yote yalianzia Bengaz hivyo ujinga wa watu wa Dar husiwape kichwa sana CCM nyie kuondolewa Madarakani 2015 kuko palepale.
 
Nguvu ya "umma" hoi bin taaban kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ulofanyika jijini DSM leo tar. 11/08/2013!

Katika hali iliyowaacha midomo wazi Chadema baada ya kuleta karibu wabunge wao wote bado wamechezea kichapo cha mbwa mwizi katika mitaa 8 iliyofanya uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa CCM imeshinda viti saba(7) kati ya nane(8) vilivyofanya uchaguzi na kati ya wajumbe wa serikali za mitaa kumi na tisa (19) waliokuwa wakifanya uchaguzi CCM imeshinda wajumbe wote kumi na tisa(19)! Sawa na asilimia mia moja 100%!

Huu ni uthibitisho tosha kuwa Dar imeiktaa Chadema na uongo wao wote! Pamoja na nguvu kubwa ya kampeni iloongozwa na Mnyika na Mdee bado wana DSM wamesema HAWADANGANYIKI!

Pesa za madawa ya kulevya zimefanya kazi. Hongera Azan na Kinje.
 
we needs the statistics here, not blah! Blah! also i want to know if is only chadema and ccm participated for that election? ok anyway the changes will come tomorrow!
 
Poor Chadomo,

Hivi kumbe Dar sio Arusha?

Yaani umekaa ughaibuni hujui kama Dar ni mkoa tofauti na Arusha? Tathmini kamili ni ile inayoonesha idadi ya kura, nani kapoteza viti, na ni nguvu kiasi gani imetumika, hasa ya pesa. Kwa wilaya inayoongoza kwa magwiji wa biashara ya unga, si ajabu CCM kushinda.
 
Mkuu, ningependa nikusahihishe kidogo hapo kwenye nguvu ya umma; katibu mkuu wa CCM taifa ametolea ufafanuzi kuwa nguvu ya umma maana yake ni sanduku la kupigia kura, hivyo kama CHADEMA wamepigwa chini, nguvu ya umma ipo CCM. Ni hayo tu mkuu.

Huo ushindi ni wa wizi wa kura, magamba ni kama ukoo wa panya, wote majambazi
 
Kuna watu bado wana akili za ccm humu!

Una maana ya aibu au haibu, hata kiswahili tu kinakupa tabu ndugu yangu!!!!!

Kwa namna hii utaweza kweli kuchambua masuala ya msingi ya uendeshaji wa nchi, we still have a long way to go!!.
 
Duh! Hivi bado kuna watu wanaiona CCM ni ya maana? Ni wahamiaji haramu ama? Hawayaoni yanayotokea? Nadhani wamekosa Mapenzi kutoka kwa Wapenzi wao kiasi cha kuamua kuipenda CCM!
 
Dar bado kuna wavivu wengi, wao husubiria kurushiwa kanga na kofia za kiccm basi!
 
Nguvu ya "umma" hoi bin taaban kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ulofanyika jijini DSM leo tar. 11/08/2013!

Katika hali iliyowaacha midomo wazi Chadema baada ya kuleta karibu wabunge wao wote bado wamechezea kichapo cha mbwa mwizi katika mitaa 8 iliyofanya uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa CCM imeshinda viti saba(7) kati ya nane(8) vilivyofanya uchaguzi na kati ya wajumbe wa serikali za mitaa kumi na tisa (19) waliokuwa wakifanya uchaguzi CCM imeshinda wajumbe wote kumi na tisa(19)! Sawa na asilimia mia moja 100%!

Huu ni uthibitisho tosha kuwa Dar imeiktaa Chadema na uongo wao wote! Pamoja na nguvu kubwa ya kampeni iloongozwa na Mnyika na Mdee bado wana DSM wamesema HAWADANGANYIKI!
Chadema mpo hapo. Maoni yenu. Bado 2015.
 
Mkuu, ningependa nikusahihishe kidogo hapo kwenye nguvu ya umma; katibu mkuu wa CCM taifa ametolea ufafanuzi kuwa nguvu ya umma maana yake ni sanduku la kupigia kura, hivyo kama CHADEMA wamepigwa chini, nguvu ya umma ipo CCM. Ni hayo tu mkuu.

Kwa kukosoa hata nyinyiemu mwenzio haelewi!
 
CHADEMA inabidi muelewe kuwa mpo kwenye fungu la wakukosa, wakukosa ni wakukosa tu, hata afanye nini.

Dar haiwataki, na huu ni ujumbe tosha kote nchini.
 
WanaJF!

Jiji la Dar es salaa kama wengi wetu tunavyo fahamu kuwa ndio kitovu cha nchi kwa kuwa na jamii za watu kutoa maeneo mbalimbali na wengi wao kuwa na ushawishi mkubwa huko walikotoka.

Wakazi wengi waishio Dar ni watu makini, wenye fikra pevu na zaidi ya yote wana tafakuri yakinifu katika kufanya maamuzi juu ya jambo fulani, hivyo maamuzi yao uwa ni sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kitendo cha wananchi KUIKATAA CHADEMA katika ngazi za mitaa ni ujumbe tosha kwa taifa zima kwani ni ukweli usiopingika kuwa, Tanzania ni Dar, Dar ni Tanzania, hivyo kwa msimamo huu wa wakazi wa Dar, uwe ni ujumbe tosha kuwa CHADEMA hawana lao hapa nchini.

Aidha, ni kweli kwamba jiji la Dar linao wabunge wawili kutoka CHADEMA nao ni John Mnyika wa jimbo la Ubungo pamoja na Mdee wa jimbo la Kawe, ila ni wazi kuwa kama CCM ingelikuwa makini katika mchakato wa kura za maoni, leo Mnyika angeendelea na shughuli zake za utapeli mjini na huyo Mdee kwa kuwa ni binti, angeendelea ni viti maalumu.

CHADEMA Dar sio 'SIZE' yenu, huu ni ujumbe tosha kwa taifa.
 
Back
Top Bottom