CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

wapi Mohamed Mtoi, Michael Aweda na Ben Saanane ambao ni mabingwa wa kutoa takwimu pale wanaposhinda

Kwa jinsi hali ilivyo, sisi wapinzani tunahitaji kukaa chini na kutathmini mbinu za kushinda chaguzi za serikali za mitaa kwa mjini ktk mazingira yaliyopo.

Kwa vijijini siyo rahisi ccm kushinda kwa sababu watu wanafahamiana. Kwa huku mjini kuna mbinu nyingi chafu baadhi tumeshaanza kutonywa na wenyewe. Kwa kifupi tu ni rahisi mtu kupiga kura ktk eneo ambalo hahusiki ili mradi kajiandikisha. Na wakati wa kujiandikisha huwezi kumzuia kwa sababu mjini hatufahamiani wote. Mbona wilaya za vijijini ikiwepo Mbulu tunawashinda mfulululizo siku za karibuni?
 
Mnyika hurudi bungeni 2015 mark my word.Unafaa uwe unambebea Mbowe begi huna unachojua zaidi ya kujipendekeza.

Nashukuru kwa matusi pia.
Ila kati ya wabunge watakaorudi Bungeni Mnyika ni mmojawapo. Hilo hata ccm wanalijua ndo maana mpaka sasa hivi hakuna mtu mvutano ndani ya ccm kupigania jimbo La ubungo kwa kuwa wanajua watamsindikiza Mnyika.
Ninakuuliza maswali mawili.
Mosi, Kwa nini uchaguzi huu hawataki kutumia daftari la kudumu la wapiga kura?
Pili, kwa nini wanabadilisha badilisha taratibu? Angalia taratibu za 2004 ni tofauti na 2009. Na 2014 nimeshatonywa kuwa wanataka kuleta vitu vingine kabisa. Kwa nini iwe hivyo?
Kama uchaguzi wa serikali za mitaa ni kigezo, iweje 2009 ccm ishinde kwa kishindo halafu 2010 wapoteze kata kibao mpaka kinondoni kuna kambi ya upinzani ya madiwani na wakapoteza viti 2 vya ubunge?
 
WanaJF!

Jiji la Dar es salaa kama wengi wetu tunavyo fahamu kuwa ndio kitovu cha nchi kwa kuwa na jamii za watu kutoa maeneo mbalimbali na wengi wao kuwa na ushawishi mkubwa huko walikotoka.

Wakazi wengi waishio Dar ni watu makini, wenye fikra pevu na zaidi ya yote wana tafakuri yakinifu katika kufanya maamuzi juu ya jambo fulani, hivyo maamuzi yao uwa ni sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kitendo cha wananchi KUIKATAA CHADEMA katika ngazi za mitaa ni ujumbe tosha kwa taifa zima kwani ni ukweli usiopingika kuwa, Tanzania ni Dar, Dar ni Tanzania, hivyo kwa msimamo huu wa wakazi wa Dar, uwe ni ujumbe tosha kuwa CHADEMA hawana lao hapa nchini.

Aidha, ni kweli kwamba jiji la Dar linao wabunge wawili kutoka CHADEMA nao ni John Mnyika wa jimbo la Ubungo pamoja na Mdee wa jimbo la Kawe, ila ni wazi kuwa kama CCM ingelikuwa makini katika mchakato wa kura za maoni, leo Mnyika angeendelea na shughuli zake za utapeli mjini na huyo Mdee kwa kuwa ni binti, angeendelea ni viti maalumu.

CHADEMA Dar sio 'SIZE' yenu, huu ni ujumbe tosha kwa taifa.

Ndugu yangu unapoandika au unapojaribu kujenga hoja usiwe na miemuko kiasi kwamba ukajikuta unatukana watu na wewe kwa namna moja unajitukana. Naomba ukasome sentensi yako ya pili mara mbili na ukijiona uko sahihi na ulichoandika nitakuomba msamaha na la sivyo kawaombe watu wote walioko nje ya Dar es Salaam. It's quite absurd for someone to use social to deliver such insulting and ill branding. Ni kipimo gani kinawafanya watu wa Dar es Salaam kuwa wenye fikra pevu, makini na wenye tafakuri yakinifu? Kwamba kwa sababu wametoka mikoa mbalimbali na wamekuja kuishi au kufanyia kazi kwa hiyo wanakuwa na sifa hiyo kuliko waishio nje ya Dar? This is poor argument beyond imagination. Na hii unawapa waishio Dar sifa hii kwasababu CCM imeshinda na wale wa mtaa mmoja ilipochukua CDM wale wamebebwa jana na kuja kupiga kura kwa hiyo sio wana Dar es Salaam? Unaweza kuchangia unavyoweza na kuwakejeli wapinzani lakini sio katika extent that downgrade other people just because of the sin of living outside Dar es Salaam. Sina haja ya kwenda mbali na kuangalia mbinu nzuri nachafu zilizotumiwa na CCM katika ushindi huu ambao kama mashabiki mnaendeleza matusi kama haya ya kwako, it's a matter of time hata hawa wanaowachagua watawakataa
 
Ukiachilia mbali factors zingine ambazo zimezoeleka kulalamikiwa mara kwa mara na hawa majamaa kwa chama tawala,kama wizi wa kura, forgery ktk daftari la wapiga kura nk, Historically maeneo haya Dar vyama vya upinzani vimekuwa mara nyingi ktk wakati mgumu kupat kura nyingi za kutosha kupata ushindi, ikitokea ni mara chache sana, mfano wa maeneo hayo ni: Buguruni, Ilala, Mbagala, Temeke,Vingunguti, Mabibo, Tandale,Mwananyamala,Magomeni,kigamboni nk

Maeneo ambayo kidogo wanafurukuta au japo wana kauhakika ka ushindi mjini Dar ni maeneo kama Kawe, segerea, Tabata,Ubungo,Kinondoni,Mbezi,Kimara, Mbezi beach, Masaki, Oysterbay,Mikocheni,Ukonga,Makongo,Mwenge, Chuo kikuu, bila kusahau kijitonyama.

USHAURI

Kama wanataka kutoa changamoto kwa Revolutionary part (CCM ) ambayo ni afya KIDEMOKRASIA. Mi nazani nguvu kubwa (kirasilimali) wawekeze mikoani kama ni hapa Dar Kura za kunyang’ana zipo tu; [reference 2010 election.]
 
Kaka DSM watu wengi wananufaika na mfumo wa utawala uliopo. Ni ngumu kulipinga hilo kutokana na mirija. Bia DSM huwei kosa hela ya kula so huwezi jutia majuto kwa sana.
 
Hivi Diwani na Mwenyekiti wa Mtaa nani mwenye hadhi au aliye chini ya mwenzake?
Kushangilia ushindi wa M/kiti wa mtaa ni upuuzi wakti Udiwani mlikula 4-0 huko Arusha kwa wajanja!

Mbona hamlizungumzii la kushindwa Udiwani Arusha pamoja na kulipua Bomu la Soweto na kumtembeza kinyago wenu Tesha aliyechongwa na Mwigulu Nchemba kwa Tindi kali?

CCM bana mnachekesha kweeeri !
 
Ndugu yangu unapoandika au unapojaribu kujenga hoja usiwe na miemuko kiasi kwamba ukajikuta unatukana watu na wewe kwa namna moja unajitukana. Naomba ukasome sentensi yako ya pili mara mbili na ukijiona uko sahihi na ulichoandika nitakuomba msamaha na la sivyo kawaombe watu wote walioko nje ya Dar es Salaam. It's quite absurd for someone to use social to deliver such insulting and ill branding. Ni kipimo gani kinawafanya watu wa Dar es Salaam kuwa wenye fikra pevu, makini na wenye tafakuri yakinifu? Kwamba kwa sababu wametoka mikoa mbalimbali na wamekuja kuishi au kufanyia kazi kwa hiyo wanakuwa na sifa hiyo kuliko waishio nje ya Dar? This is poor argument beyond imagination. Na hii unawapa waishio Dar sifa hii kwasababu CCM imeshinda na wale wa mtaa mmoja ilipochukua CDM wale wamebebwa jana na kuja kupiga kura kwa hiyo sio wana Dar es Salaam? Unaweza kuchangia unavyoweza na kuwakejeli wapinzani lakini sio katika extent that downgrade other people just because of the sin of living outside Dar es Salaam. Sina haja ya kwenda mbali na kuangalia mbinu nzuri nachafu zilizotumiwa na CCM katika ushindi huu ambao kama mashabiki mnaendeleza matusi kama haya ya kwako, it's a matter of time hata hawa wanaowachagua watawakataa

Wewe unajenga hoja mwenzako anapiga propaganda, wapi na wapi? Anatetea kitu cho chote ili mradi lengo lake la kujenga hoja dhidi ya chadema litimie kwa gharama yo yote hata kama ni kwa gharama ya kusema uwongo au kutukana.
 
Wakazi wengi walio Dar ni wapumbavu,na ndyo asilimia kubwa wana maisha magumu afadhali ya walio mikoani.Hivyo sitashangaa sana iwapo matokeo yatakuwa mabaya kwa cdm.
 
Wakazi wengi walio Dar ni wapumbavu,na ndyo asilimia kubwa wana maisha magumu afadhali ya walio mikoani.Hivyo sitashangaa sana iwapo matokeo yatakuwa mabaya kwa cdm.

Dar wanahitaji ukombozi wa kifikra ni wa ajabu sana, wako kwenye kongwa la utumwa kifikra.
 
Dar ni ya wajanja, kuna msemo usemao "kapu la wajanja mjinga hatii mkono" 19-0
 
Leo hawakuzilinda kura zao maana wao wakishindwa wameibiwa..mkome kujiita nguvu ya umma nyie ni nguvu ya wajinga na wavivu wa kufikiri na wapendao vitu rahisi..chama cha ukoo na ukabila..2015 ndo mnazikwa rasmi.

Sifa kubwa ya mwanachama wa ccm ya leo ni kuwa mwongo,mzushi,mvivu wa kufanya kaz na kufkiri,ombaomba,wako tayari kubadili ukweli kuwa uongo ili mladi wamelinda upuuz wa chama chao,wanaamini ccm ndio kila kitu hata paspo mungu ccm ndio mungu wao wa pili,wanaamini kila analosema rais ama waziri ni kauri ya malaika wajinga hawa wanatembea kama binadamu kumbe ni majoka.
 
Dar mji wa ajabu. Miji mikuu sehemu nyingi duniani hasa kule kunakotafutwa mabadiliko ya serikali inakuwa kitovu cja mabadiliko lakini Dar ni mji wa mwisho nchini katika mageuzi. Hawa watu Mungu asingewapa mji mkuu sijui wangekuwaje? Si ajabu watu wa sehemu ya pwani hata uongozi wao hauwi uongozi shupavu.
 
Wanauguza madonda, hii ilikuwa aibu ya mwaka.
 
CUF kaambulia viti vingapi? Manake wanasema Dar ni yakwao na hasa tmk au tmk hawakuwa na uchaguzi
 
Back
Top Bottom