CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

Mkuu, ningependa nikusahihishe kidogo hapo kwenye nguvu ya umma; katibu mkuu wa CCM taifa ametolea ufafanuzi kuwa nguvu ya umma maana yake ni sanduku la kupigia kura, hivyo kama CHADEMA wamepigwa chini, nguvu ya umma ipo CCM. Ni hayo tu mkuu.
Anzeni sasa na nyie kusema PIPOOZ!!
 
Dar wapinzani watasubiri sana,kwa matokeo kama hayo CDM wanahali mbaya kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2014.
 
Dar wapinzani watasubiri sana,kwa matokeo kama hayo CDM wanahali mbaya kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa hapo 2014.

Unajua sisi waswahili tuna msemo "mficha maradhi kifo humuumbua". Sasa hawa chadema hawa tatizo lao kubwa ni elimu. Uongozi mzima wa chadema una mtu mwenye elimu mmoja tuu, Zitto Kabwe. Waliobaki wote hakuna hata mmoja ambaye ana bachelor degree. (And that includes Slaa). Sasa mtu huyo mmoja mwenye elimu wanamtenga kwa sababu chimbuko lake siyo kule mitaa ya mtori ulikozaliwa. Na haya ndiyo matokeo ya dhambi yao ya ubaguzi.
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke wao wameanza na Mungu na tutamaliza na mungu.
 
Hivi daftari la wapiga kura limeshaboreshwa? kama siyo inakuwaje CDM wanakubali kushiriki katika uchaguzi?... oganization ya CDM mjipange...lazima mjue mnapambana na CCM yenye fedha za madawa ya kulevya...
 
Hahahaah,

Mkuu mie nimebaki nawainjoy tu wanavyo gombania picha ya mlango

Akili yk O km jina lako hujui umuhimu wa ushindi wa m/kitu wa mtaa na wajumbe.tatizo la chadema akil minsket na nimechoka kuwafundisha subir 2015 ndo utajua why ccm wanashangilia we usually starts 4rm z roots..
 
ccm haipaswi kuchanganyikiwa kwa furaha ya ushindi.. kumbuka mlikuwa na vyote na sasa mnaanza kupoteza.. kwa lugha nyingine mlikuwa juu na wenzenu walikuwa chini sasa mnaanza kushuka ngazi lakini ajabu wenzenu wanaanza kupanda tena kwa kasi.. uongo wa wapinzani au cdm ni upi? Je ni matumizi ya rasilimali, kodi, madaraka, ufisadi au? Kila tunaposema wapinzani au cdm ni waongo hebu tuuanike hapa halafu tupate kuujua na kuuchambua tusiishie kuzungumza kienyeji wakati tunadai eti ni ma-great thinker.
 
Unajua sisi waswahili tuna msemo "mficha maradhi kifo humuumbua". Sasa hawa chadema hawa tatizo lao kubwa ni elimu. Uongozi mzima wa chadema una mtu mwenye elimu mmoja tuu, Zitto Kabwe. Waliobaki wote hakuna hata mmoja ambaye ana bachelor degree. (And that includes Slaa). Sasa mtu huyo mmoja mwenye elimu wanamtenga kwa sababu chimbuko lake siyo kule mitaa ya mtori ulikozaliwa. Na haya ndiyo matokeo ya dhambi yao ya ubaguzi.
Mkuu yani hapo ndio umemaliza kabisa.
 
Mkuu, ningependa nikusahihishe kidogo hapo kwenye nguvu ya umma; katibu mkuu wa CCM taifa ametolea ufafanuzi kuwa nguvu ya umma maana yake ni sanduku la kupigia kura, hivyo kama CHADEMA wamepigwa chini, nguvu ya umma ipo CCM. Ni hayo tu mkuu.



hapa mimi napita tu! Ngoja niende jukwaa la mapenzi nikachat na demuwako#
 
Mkuu yani hapo ndio umemaliza kabisa.

Siyo utani mkuu. Slaa ana Ph.D ya Canonical Law; ambayo maana yake ni sheria za ukatoliki. Tanzania hakuna mahakama za kikatoliki, kwa hiyo Ph.D yake inatumika kanisani kwake tuu. Kanisa hilo hilo limeshamtoa nduki kwa kushindwa kwake kuishi kwa canonical laws. Slaa hajawahi kusoma degree ya kwanza wala ya pili katiko chuo kikuu hata kimoja duniani. Cheti pekee alichonacho cha taaluma ambayo siyo ya dini ni "certificate in eye health". Lakini wao wenyewe wanamwita Dr. na wameshaamini uongo wao wenyewe. Watu wanaoamini uongo wao wenyewe waingereza wanawaita "pathological liars". Pathological liar kila siku anajipa matumaini ya uongo na ukweli unapodhihiri kamwe hajitazami na kuuangalia ujinga wake, analaumu wengine. Utawasikia..."tumeibiwa... tumeibiwa...".
Inawezekanaje mtu ambaye hajui kiswahili wala kiingereza akaruhusiwa kuwa mgombea urais wa Tanzania? chadema wameweza kuweka mgombea wa aina hiyo.
 
Unajua sisi waswahili tuna msemo "mficha maradhi kifo humuumbua". Sasa hawa chadema hawa tatizo lao kubwa ni elimu. Uongozi mzima wa chadema una mtu mwenye elimu mmoja tuu, Zitto Kabwe. Waliobaki wote hakuna hata mmoja ambaye ana bachelor degree. (And that includes Slaa). Sasa mtu huyo mmoja mwenye elimu wanamtenga kwa sababu chimbuko lake siyo kule mitaa ya mtori ulikozaliwa. Na haya ndiyo matokeo ya dhambi yao ya ubaguzi.

Mwenye akili mara zote anafanya tathimini alikotoka, alipo na anakokwenda. Mnatakiwa muangalie awali mlikuwa na mitaa mingapi, sasa kwa nini mumepoteza huo mmoja? Mjaribu kwenda mbali kidogo kuwaza idadi za kura mlizopata awali na sasa. Compare !!
 
Back
Top Bottom