CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

CHADEMA wachezea kichapo cha haja uchaguzi wa mitaa DAR!

Huwez jiita mjanja Tz kama hauishi dar,hapo umenena kweli Boss,iwe fundisho kwa ndugu zetu mlioko mikoan na miitkad yenu isyokuwa na kichwa wala miguu fanyen kuja Mjin DSM sku moja uone maisha yalvotofaut n kijijin kwako ulipotoka.DSM form six et,,,,Vivaaa maendeleo.com/CCM.
 
watu kama Ifweero naamini ndio walioipa nafasi ya ushindi CCM.. kajamaa kanafki na kanajidai kanaHarakati... karne hii huwezi kuwa mtumwa wa fikra na maamuzi, unafurahia ujinga wa mwenzio kuDiss wapiga kura wa mikoani kuikataa CCM!!. usiwe kifuata upepo kesho tutashindwa kukutambua..

Watumwa wa fikra ni wale tu wanao ishabikia CHADEMA!
 
wapi Mohamed Mtoi, Michael Aweda na Ben Saanane ambao ni mabingwa wa kutoa takwimu pale wanaposhinda
Palipo na vidonda vibichi hawatii kidole maumivu mengine hayavumiliki lazima ulie tu sasa hawa jamaa kwa kipigo hiki hawawezi kutia pua hapa make ni aibu tele.
 
Huwez jiita mjanja Tz kama hauishi dar,hapo umenena kweli Boss,iwe fundisho kwa ndugu zetu mlioko mikoan na miitkad yenu isyokuwa na kichwa wala miguu fanyen kuja Mjin DSM sku moja uone maisha yalvotofaut n kijijin kwako ulipotoka.DSM form six et,,,,Vivaaa maendeleo.com/CCM.

Mkuu,

Maamuzi ya wakazi wa Dar yanapaswa yawe chachu kwenye maamuzi ya wenzetu mikoani, kwani kitendo cha mtu kuishi Dar ni darasa tosha la kujua ni nani mkweli na ni tapeli.

Hapa Dar matapeli uwa wanyenyekevu na wenye sura za ushawishi mkubwa, ila mpe nafasi uone hayo makucha yake, ndio maana Dar na CHADEMA ni kama ibilisi na biblia.
 
WanaJF!

Jiji la Dar es salaa kama wengi wetu tunavyo fahamu kuwa ndio kitovu cha nchi kwa kuwa na jamii za watu kutoa maeneo mbalimbali na wengi wao kuwa na ushawishi mkubwa huko walikotoka.

Wakazi wengi waishio Dar ni watu makini, wenye fikra pevu na zaidi ya yote wana tafakuri yakinifu katika kufanya maamuzi juu ya jambo fulani, hivyo maamuzi yao uwa ni sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kitendo cha wananchi KUIKATAA CHADEMA katika ngazi za mitaa ni ujumbe tosha kwa taifa zima kwani ni ukweli usiopingika kuwa, Tanzania ni Dar, Dar ni Tanzania, hivyo kwa msimamo huu wa wakazi wa Dar, uwe ni ujumbe tosha kuwa CHADEMA hawana lao hapa nchini.

Aidha, ni kweli kwamba jiji la Dar linao wabunge wawili kutoka CHADEMA nao ni John Mnyika wa jimbo la Ubungo pamoja na Mdee wa jimbo la Kawe, ila ni wazi kuwa kama CCM ingelikuwa makini katika mchakato wa kura za maoni, leo Mnyika angeendelea na shughuli zake za utapeli mjini na huyo Mdee kwa kuwa ni binti, angeendelea ni viti maalumu.

CHADEMA Dar sio 'SIZE' yenu, huu ni ujumbe tosha kwa taifa.

Labda kwa sababu hawatumii chopa kwenye kampeni.
 
Nimefurahi sana yale niliyokuwa nikiandika na kuyasema mtaani kwamba tulimpa mnyika ili kujaribu tu na sasa tumemuona hafai tena hatutarudia kosa,buriani mnyika ubungo kwa heri safi wana ubungo wenzangu nimeipenda sana iyoooo

VIZURI kujitia moyo, ila daima nakwambia hata ck moja ubungo halitarudi ccm wala msijidanganye. Halafu kwa suala ya wenyeviti kushnda ni kuwa hapo town kwanza wengi walikuwa hawajui, ila uchaguzi mkuu kila mtu huwa anakuwa anajua. Halafu nataka nikutahadharishe kuwa mnyika hafananishwi na gamba lolote. Polee ila jitahidi ili usijekukosa 7000 pale lumumba.
 
Labda kwa sababu hawatumii chopa kwenye kampeni.

Mkuu,

ile CHOPA ni maalumu kwa ajili ya Arusha na Moshi, ila uwa wana jibalaguza kuitumia wakati wa uchaguzi mkuu nchi nzima.
 
Nguvu ya "umma" hoi bin taaban kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa ulofanyika jijini DSM leo tar. 11/08/2013!

Katika hali iliyowaacha midomo wazi Chadema baada ya kuleta karibu wabunge wao wote bado wamechezea kichapo cha mbwa mwizi katika mitaa 8 iliyofanya uchaguzi wa mwenyekiti wa mtaa CCM imeshinda viti saba(7) kati ya nane(8) vilivyofanya uchaguzi na kati ya wajumbe wa serikali za mitaa kumi na tisa (19) waliokuwa wakifanya uchaguzi CCM imeshinda wajumbe wote kumi na tisa(19)! Sawa na asilimia mia moja 100%!

Huu ni uthibitisho tosha kuwa Dar imeiktaa Chadema na uongo wao wote! Pamoja na nguvu kubwa ya kampeni iloongozwa na Mnyika na Mdee bado wana DSM wamesema HAWADANGANYIKI!

Wanatambua sana udanganyifu wao wanaoufanya ikiwa ni pamoja na kutekeleza uhalifu huku wakisingizia vyombo vya DOLA.
 
WanaJF!

Jiji la Dar es salaa kama wengi wetu tunavyo fahamu kuwa ndio kitovu cha nchi kwa kuwa na jamii za watu kutoa maeneo mbalimbali na wengi wao kuwa na ushawishi mkubwa huko walikotoka.

Wakazi wengi waishio Dar ni watu makini, wenye fikra pevu na zaidi ya yote wana tafakuri yakinifu katika kufanya maamuzi juu ya jambo fulani, hivyo maamuzi yao uwa ni sahihi kwa kiasi kikubwa.

Kitendo cha wananchi KUIKATAA CHADEMA katika ngazi za mitaa ni ujumbe tosha kwa taifa zima kwani ni ukweli usiopingika kuwa, Tanzania ni Dar, Dar ni Tanzania, hivyo kwa msimamo huu wa wakazi wa Dar, uwe ni ujumbe tosha kuwa CHADEMA hawana lao hapa nchini.

Aidha, ni kweli kwamba jiji la Dar linao wabunge wawili kutoka CHADEMA nao ni John Mnyika wa jimbo la Ubungo pamoja na Mdee wa jimbo la Kawe, ila ni wazi kuwa kama CCM ingelikuwa makini katika mchakato wa kura za maoni, leo Mnyika angeendelea na shughuli zake za utapeli mjini na huyo Mdee kwa kuwa ni binti, angeendelea ni viti maalumu.

CHADEMA Dar sio 'SIZE' yenu, huu ni ujumbe tosha kwa taifa.

Mkuu viti maalumu vishafutwa nadhani dada yetu mdee anafaa kwa fani ya ubondia maana wanakawe wanajutia maamuzi waliyoyafanya ,wanaubungo pia wanajuta kufanya maamuzi kimihemko wamegeuzwa waandamanaji.
Mdee mpare
Mnyika mpare kumbe wote hawa wanatoka kaskazini duh kweli chama kile kinawenyewe.
 
Kawivu hako, kafanye kazi au ndo ajira JF!

Nadhani kila mtanzania ana akili kama yako ya kuajiriwa? teh teh teh

Tumeacha biznec zinajiendesha huko mimi nimejitolea kuelimisha watanzania wenzangu kupitia JF.
 
CHADEMA yapanga kuhamisha makao makuu Arusha, wamesema ingawa makao makuu yapo Dar ila haina tija, kwani hata mitaa ya Ufipa yalipo makao makuu CHADEMA imegalagazwa vibaya.

mkuu hivi na wewe unalipwaga hizo buku 7 kwakupost utoko kama huu? Kwani ukirudi kijijini kwenu ukachunge ndama na kuzibaka kuna tatizo gani kwa akili yako dhaifu!
 
"no research, no valid data , no right to speak" hivi wewe nani kakuambia uozo kama huo , hakika kwa thread hii jamaa wamekutosa na buku saba yako ya pale lumumba wamekukata juu kwa juu kwani umeaibisha team yako nzima kwa kufanya kosa la uzembe na uzururaji.
 
hapa dar maisha ndo yanafanya watu wanashindwa kufuata mambo ya siasa wanaona kama ni muda wanapoteza hakika mie ni chadema damu kama kweli tumeshindwa hapa dar basi ni aibu sana na siwezi sema kuwa ukombozi wa nchi hii utaanzia dar bado sana
 
Back
Top Bottom