Chadema wachapana makonde Mwanza

Hawa ndio tuwape nchi yetu si itakuwa hatari.
Nyamagana waliona wamepata Mbunge kweli?
Nasindwa hata kuelewa wanachogombania ni nini? tatizo nadhani ni huyu mjaluo Wenje, sijui ana akili gani huyo, hivi kwlei wakazi wa
 
Ngoja niwambie ukweli kwa wale wanaofikiri hizi fujo zililetwa na wanachama halali wanaoipenda chama chao. Ukweli wa mambo ni Matata alitafuta vijana wakwenda kufanya fujo. Usiku wa kuamkia tukio hilo Matata alisikika katika katika hoteli moja ijulikanayo kama Hotel Kingdom ambako alikuwa akinya na watu kadha pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela na Jamaa mwingine wa CCM. Matata alisikika akipanga jinsi ya kupata watu wakwenda kufanya fujo kesho yake.

Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.

Sasa hapo umetumabia ukweli gani zaidi ya kutupotosha tu. Halafu mbona mikoa ya Kanda ya ziwa Viongozi wakuu wa CDM hawaingilii mitafaruku ya chama inayojitokeza? zaidi utasikia arusha na Kilimanjaro 2 why?
 
Huo ndio uanaume bahan sio yule anaesema eti mkizidi kunizingua nitawasemea kwa Tanzania
 
Sasa hapo umetumabia ukweli gani zaidi ya kutupotosha tu. Halafu mbona mikoa ya Kanda ya ziwa Viongozi wakuu wa CDM hawaingilii mitafaruku ya chama inayojitokeza? zaidi utasikia arusha na Kilimanjaro 2 why?

Hapo sasa mwenye macho haambiwi tazama. Nasikia Wenje ni raia wa kenya.
 
Naona umeanza kuharibu mjadala kwa kuweka matusi.
Au una taka kugeuza huu mjadala uwe sehemu ya kufanyia commedy!
Your not serious
Tena hawa jamaa lazima tuwe makini sana inawezakuwa ni wakimbizi kwa sababu mambo ya kupigana pigana sisi hatuna.
 
unajuaje kama hao waliovamia walitumwa kuvuruga kikao? Naona sasa ccm kinaingilia vikao vya ndani baada ya kushindwa mikutano ya hadhara
Kwa nini Matata anautaka sana Umeya? alianza na wa Jiji sasa Ilemela. Na anatumia mbinu chafu kama hiyo ya kukaa vikao vya siri na viongozi wa CCM Ilemela na kukodi vijana wa kufanya fujo?
Mwaka 2010 CDM pengine kutokana na uchanga wake kilishindwa kupendekeza watu safi kwa ajili ya kugombea uongozi na wengi walichaguliwa na wananchi sio kwa kuwapenda (kama Matata) bali kwa kuipenda Chadema,ila sasa chama kimesimama kwa miguu yake hivyo makosa yale yasijirudie. Mtu mbovu piga chini msiwe kama CCM jana mtu anaitwa fisadi na leo Jembe.
 
Tabia ya mtu haitibiwa
bali ugonjwa ndo unatibiwa-maneno ya babu yangu. Hawa jamaa wa CDM
unavyoona wanajibu utumbo hivyo ndivyo walivyokuwanzia
wapambe,,wanachama na hata viongozi, sasa wataachaje kuchapana?

True kabisa! na wakali hao ukiwaambia ukweli jazba papo hapo! kuwa makini mkuu!
 
Mkuu umefuatilia ,hakuna mambo ya ukabila na udini huko? sababu za kuchapana ni nini?

Mahakama hiyo pia iliamuru diwani huyo aendelee kuwania nafasi ya umeya wa Ilemela, ambapo kamati hiyo ilizuia jina la Matata lisiwemo katika majina ya watu wanaogombea nafasi ya umeya.
 
Umeonaee! iko siku wakiwa madarakani,utasikia prezidaa kazichapa na pm wake! hawafaiiii!

acha kuweka assumptions za aina hiyo kijana. Unataka kusema rais akipigana ndo hawafai kuongoza?...............Mbona CCM bado wapo madarakani wakati Rais wake aliyetangulia alizichapa na mkewe hadi akavunjwa mguu? Kama umezaliwa jana utakuwa hujui habari hii ila kama umezaliwa zamani utakuwa unafahamu.
 
unajuaje kama hao waliovamia walitumwa kuvuruga kikao? Naona sasa ccm kinaingilia vikao vya ndani baada ya kushindwa mikutano ya hadhara

wa ccm ni nani hapo,kiwia au matata????????? au mwenyekiti aliemzuia matata kugombea umeya
 
CDM ndio walivyofunzwa na viongozi wao kutotii sheria na vurugu,safari hii kafara inanyemelea ndani ya chama.
 
Siasa za maji taka tu hizi. Wanatengeneza habari wenyewe na kuchangia wenyewe na kujipongeza wenyewe. Hii ni aina ya siasa ziliasisiwa CCM na kuenezwa na akina Nape. CCM Lumumba ndipo JK alipokuwa anapazungumzia "HQ ya viwanda vya uongo"

Kama watu wamepigana, assume ni kweli, then ni jukumu la Polisi na sheria kufuata mkondo wake. Je mpaka sasa polisi wameshakamata wangapi kuhusika na vurugu hizo?

Ni uhuni polisi kufika eneo la hoteli/ukumbi ili kutawanya tu watu na wasimkamate hata mtuhumiwa mmoja.
 
Kwa nini Matata anautaka sana Umeya? alianza na wa Jiji sasa Ilemela. Na anatumia mbinu chafu kama hiyo ya kukaa vikao vya siri na viongozi wa CCM Ilemela na kukodi vijana wa kufanya fujo?
Mwaka 2010 CDM pengine kutokana na uchanga wake kilishindwa kupendekeza watu safi kwa ajili ya kugombea uongozi na wengi walichaguliwa na wananchi sio kwa kuwapenda (kama Matata) bali kwa kuipenda Chadema,ila sasa chama kimesimama kwa miguu yake hivyo makosa yale yasijirudie. Mtu mbovu piga chini msiwe kama CCM jana mtu anaitwa fisadi na leo Jembe.

mtu amechaguliwa kuwa diwani unasema hakubaliki????are you serious???
 
Back
Top Bottom