Chadema wachapana makonde Mwanza

Waandishi wa habari wengi ni Pro-Chadema, unatakiwa umpongeze huyu muandishi shujaa aliyeleta hii habari..tafakari.

Tumpongeze Hussein Bashe kwa umahiri wake wa kuhariri habari hii. zero brain!

Umejiuliza kwanini waandishi wengi ni pro-chadema ukapata jibu?
 
Watagombaniaje madaraka wakati tayari watakuwa nayo tayari. Wakuu yaani hizi zote ni mbinu za Shetani kuwaaminisha watu kwamba haiwezekani chama cha upinzani kuongoza nchi, hilo halitawezekana. Wenzetu Zambia tayari vyama viwili vya upinzani vimeishachukua madaraka na maisha yanasonga mbele tu, Majirani zetu Malawi kadhalika. Watanzania wa leo sio wa kudanganywa kirahisi hivyo

Hivi wewe unataka kulinganisha nchi yetu na Zambia. Unaijua Zambia au unaisikia. Vitu bei juu maisha magumu. Usipende kuiga iga unatakiwa wewe uwe wewe sawa?
 
Pamoja na juhudi za polisi kuwataka viongozi hao kuheshimu amri ya mahakama, viongozi hao walizidi kukaidi, ndipo OCD na askari wake walipoamua kuondoka katika eneo hilo na kuwaacha wanachama pamoja na viongozi wakiendelea kuvutana.

Yaani hapa polisi walikuwa wanaujua mchezo mzima ulivyopangwa, kwa nini waondoke eneo la vurugu wakati hali ilikuwa tete? Najiuliza polisi walioondoka eneo la tukio ni hawa hawa wanaoua watu kwa kulipulia mabom tumboni au sio wao?

Hivi ni kweli ni hawa hawa polisi wetu wameondoka kwenye eneo la vurugu tena za chama cha chadema bila kuacha maiti ya mtu au hata kumgusa mtu kwa kirungu? huu utamaduni wa polisi dhidi ya chadema umeanza lini?

Something behind the scene, watch it!
 
Tumpongeze Hussein Bashe kwa umahiri wake wa kuhariri habari hii. zero brain!

Umejiuliza kwanini waandishi wengi ni pro-chadema ukapata jibu?

Nimejiuliza na jibu nimepata waandishi wanasubiri Chadema wachukuwe nchi wamepewe ukuu wa wilaya.
 
Nimejiuliza na jibu nimepata waandishi wanasubiri Chadema wachukuwe nchi wamepewe ukuu wa wilaya.

Waandishi wanajua kuwa chadema ni chama pekee inayotetea maslahi ya wanyonge
Waandishi wanajua kuwa chadema ikichukua nchi vyeo vya ukuu wa wilaya inafutwa!
Amka bana!
 
Tena hawa jamaa lazima tuwe makini sana inawezakuwa ni wakimbizi kwa sababu mambo ya kupigana pigana sisi hatuna.

Si kwa sababu ni akina ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI upuuzi mtupu,wazee wa HAYATEKELEZEKI,mwisho wenu 2015
 
Ukiona kuna mtu wa chadema anatetewa na mahakama na polisi,basi ujuwe kuna jambo.

Polisi wanajuwa wao hawawezi tena kufanya fujo na kuuwa wananchi wanapotumwa na magamba,kwahiyo siwezi kushangazwa,kwasababu hata kule morogoro si kuna waliokuwa wamevaa kiraia na skafu ya chadema huku wakiwa na bastola?
Mbinu chafu tu hizi halafu mnadhani hamjulikani,Tanzania ya leo si ya jana!

Kitu ambacho nashindwa kuelewa ni wapi mahakama inapata nguvu ya kukilazimisha chama cha siasa kimteue mtu inayomtaka, ambaye kwa mujibu wa katiba ya chama ndicho chenye uamuzi wa mwisho wa kuteua mgombea wake.

Sitaki kuamini kama mahakama zetu hata kama ni za vodafasta wanaweza kutoa amri ya kulazimisha matata apitishwe kuwa mgombea, mwisho wao ni kumrejeshea uanachama wake huku akisubiri kesi ya msingi aliyoifungua itolewe hukumu.
 
Hivi wewe unataka kulinganisha nchi yetu na Zambia. Unaijua Zambia au unaisikia. Vitu bei juu maisha magumu. Usipende kuiga iga unatakiwa wewe uwe wewe sawa?


wewe nae kichwa cha kuku kumbe, zambia wana maisha magumu ukilinganisha na nchi gani? Zambia wana maisha mazuri sana na ndio unaona hata wabongo wanatiririka kwenda huko kila uchao.
Unadhani wao ni vichwa vya kuku kama nyie walamba miguu wa ccm, kwamba hawajui wanachokifanya hadi kuing'oa madarakani UNIP na baadae kuimwaga UMD?
 
Ngoja niwambie ukweli kwa wale wanaofikiri hizi fujo zililetwa na wanachama halali wanaoipenda chama chao. Ukweli wa mambo ni Matata alitafuta vijana wakwenda kufanya fujo. Usiku wa kuamkia tukio hilo Matata alisikika katika katika hoteli moja ijulikanayo kama Hotel Kingdom ambako alikuwa akinya na watu kadha pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela na Jamaa mwingine wa CCM. Matata alisikika akipanga jinsi ya kupata watu wakwenda kufanya fujo kesho yake.


Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.

Ni kweli kabisa, kwa wanaomjua huyu jamaa Matata kiufupi ni msharishari sana, yaani kaendana kabisa na jina lake
 
Back
Top Bottom