AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
chama cha fujo matatizn hakifai
Mkuu kwani wewe una miaka mingapi?
Teh teh teh teh teh..............!
chama cha fujo matatizn hakifai
By Opinionated Ngoja niwambie ukweli kwa wale wanaofikiri hizi fujo zililetwa na wanachama halali wanaoipenda chama chao. Ukweli wa mambo ni Matata alitafuta vijana wakwenda kufanya fujo. Usiku wa kuamkia tukio hilo Matata alisikika katika katika hoteli moja ijulikanayo kama Hotel Kingdom ambako alikuwa akinya na watu kadha pamoja na Katibu wa CCM wilaya ya Ilemela na Jamaa mwingine wa CCM. Matata alisikika akipanga jinsi ya kupata watu wakwenda kufanya fujo kesho yake.
Huyu jamaa(matata) ni jangili wa siku nyingi hapa mwanza na anafahamika. Pia anashirikiana na CCM kutaka kuivuruga Chadema.
Mgogoro upi? huu wa kutengenezwa na Magamba kwa ajili ya kui-destabilize CHADEMA kama alivyokuwa ameahidi "mchumia tumbo" Wassira? Tatizo lenu Magamba mmeweka hadharani mbinu mtakazozitumia kuivuruga CHADEMA; tunafahamu mmepanga kutumia Polisi kama ilivyofanyika kule Iringa, Usalama wa Taifa wanaowapa mbinu za kutumia ili "muimalize" CHADEMA, lakini tunawahakikishieni kwamba halijawahi kutokea Jeshi lililozishinda nguvu za umma. Mwisho wa yote mtaaibika na kuishia kupata presha. Tumewagundua, kamwe hatudanganyiki.usifiche ugonjwa ww,kifo kitakuumbua siku moja.kinachotakiwa hapa ni kutatua mgogoro/tatizo sio kutumia mabavu au kutumia lugha ya kujihami kama ya kwako hapa
Hili ndilo tatizo la watu wanaosukumwa na udini kufikiri!.. CCM 2015 ikipata mgombea mkristo mtahamia chama gani?Mkuu umefuatilia ,hakuna mambo ya ukabila na udini huko? sababu za kuchapana ni nini?
udini na ukabila ni sera ya ccm?!mkuu umefuatilia ,hakuna mambo ya ukabila na udini huko? Sababu za kuchapana ni nini?
Tena hawa jamaa lazima tuwe makini sana inawezakuwa ni wakimbizi kwa sababu mambo ya kupigana pigana sisi hatuna.
Kumbe source ni gazeti la Bashe!!!
Nimejiuliza na jibu nimepata waandishi wanasubiri Chadema wachukuwe nchi wamepewe ukuu wa wilaya.
Hawa ndio tuwape nchi yetu si itakuwa hatari.
Umeonaee! iko siku wakiwa madarakani,utasikia prezidaa kazichapa na pm wake! hawafaiiii!
Demokrasia inatakiwa ianzie chini kwenda juu sio ianzie juu kwenda chini
mkuu upo kidato cha ngapi?
mkuu upo kidato cha ngapi?