CHADEMA waanzisha operation inaitwayo futa, delete kabisa CCM

CHADEMA waanzisha operation inaitwayo futa, delete kabisa CCM

Well said mkuu, hali ni mbaya hata Kilimanjro CDM haipo kihivyo, kwanini hawandi Usangi< Mwanga, hata Tanga nis ehemu ya Jimbo la Ksakazini wanatakiwa waende huko, wakafanye hamshahamsha.

sijui kama nifwatiliaji mzuri sana wa habari za cdm wewe? Juzi juzi Kamanda Kilewo Alikua Usangi nafikiri ungefwatilia ungeona chadema ilivyo juu kanda ya huko
 
sijui kama nifwatiliaji mzuri sana wa habari za cdm wewe? Juzi juzi Kamanda Kilewo Alikua Usangi nafikiri ungefwatilia ungeona chadema ilivyo juu kanda ya huko
kichondi77
Sipo kubishana hapa, huo ni ushahuri bahati mbaya Usangi, Mwanga kiujumla na kilimanjaro, tanga, arusha amabzo ndio kanda ya kasakazini nazijua vizuri sana, tusingopee watu Usangi CDM ni kama hakuna, Kilimanjaro yenyewe vijijini halio sio nzuri, Tanga ni majanga, na juzi tu umeona jamaa walikuwa handeni walipo rudi kilichowapata unajua na wote tulikiona hapa.

narudi tena hamshahamsha kwenye mikoa ya Tanga na Kilimanjaro inahitajika sanaa tena sanaaa, kuliko Mikutano ya arusha kila siku, YATOSHA wakati umefika kubadili harakati za Arusha, na hizo za mikutano Mupeleke kilimanjaro, Tanga na mikoa yake.
Crashwise hope unanisikia ndugu yangu.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA chini ya Dr. Lucas Webiro waanzisha operation inayoitwa futa, delete kabisa CCM.


Ukitazama rasilimali tulizonazo katika nchi yetu utaona kuwa nchi yetu ni;
  1. nchi ya kwanza kwa madini ya pekee duniani
  2. nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani
  3. nchi ya tatu kwa dhahabu duniani
  4. nchi yenye maji mengi na ardhi yenye rutuba nzuri

Ila inaoongoza kwa umasikini,njaa,omba omba duniani ametamuka mambo haya kwa uchungu akiwa na waandishi wa habari jijini mwanza leo kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni yake ya ujumbe wa kamati kuu taifa chadema atakayoifanya nchi nzima kabla uchaguzi wa taifa sept.2014.
 
Hii operation ya ngapi sasa? hakuna tunachokiona zaidi ya kupiga hatua nyuma, na kuwapa wajanja wachache fursa ya ulaji.
 
Mimi mpaka nimechoka kuhesabu
Hakika hawa CHADEMA ni walaghai sana. Ukiona Operesheni inaanzishww basi ujue kuna mpunga wa maana umepigwa mahala fulani hivyo wwnataka kuhalalisha matumizi yake
 
Back
Top Bottom