Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
Chadema kuanza mikutano yake Jumanne, akiongea na mkutano mkuu wa jimbo la Arusha mjini mbunge wa Arusha mjini na ambae pia ni mjumbe wa kamati kuu mhe. Godbless Lema ameuambia mkutano mkuu wa jimbo kuwa maandalizi ya mikutano hiyo iko tayari na ratiba inaonyesha itaanzia kata ya kati..