CHADEMA waanzisha operation inaitwayo futa, delete kabisa CCM

CHADEMA waanzisha operation inaitwayo futa, delete kabisa CCM

Huyu Lucas Webiro ndio anataka kwenda kugombea Bunda kwa Wassira?
Haa! haa! haa! haa!!
Ameshindwa kabla hajaenda.
Chadema ni zaidi ya michezo ya watoto, operation nyingi mpaka appetitte inakosa. pyuu!
 
hii oparesheni ni sumu kali kwa magamba yatababuka yote na kuungua vibaya
 
Viongozi wa Chadema wasanii sana kwa kubuni mbinu za kutafuna ruzuku, hii operation utasikia imeghalimu zaidi ya milioni 600.
 
CHADEMA chini ya Dr. Lucas Webiro waanzisha operation inayoitwa futa, delete kabisa CCM.

Ukitazama rasilimali tulizonazo katika nchi yetu utaona kuwa nchi yetu ni;
  1. nchi ya kwanza kwa madini ya pekee duniani
  2. nchi ya pili kwa vivutio vya utalii duniani
  3. nchi ya tatu kwa dhahabu duniani
  4. nchi yenye maji mengi na ardhi yenye rutuba nzuri

Ila inaoongoza kwa umasikini,njaa,omba omba duniani ametamuka mambo haya kwa uchungu akiwa na waandishi wa habari jijini mwanza leo kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni yake ya ujumbe wa kamati kuu taifa chadema atakayoifanya nchi nzima kabla uchaguzi wa taifa sept.2014.

- Kwani ya UKAWA wameimaliza lini? sasa subiri usikie gharama za kuendesha operation hiyo ambayo watakopeshwa na Mwenyekiti wao, ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
Naona wenye uchungu na operation hiyo ni watu wa Lumumba. Lizaboni, Ritz, Msalani, Le Mutuz, Hot Lady, Duchi.

Bado watakuja akina Simiyu yetu, chabruma, tandaleone, mwanadiwani, mafilili, laki si pesa, ruttashobolwa, shelui, faizafoxy, chamviga etc.

Waweza kutoa conclusion......
 
Conclusion ni ulaji wa wajanja wachache tu! Kumbuka "Kapu la mjanja, mjinga hatii mkono"

984090_10152190862783303_447178102190332282_n.jpg
 
"Wajinga ndiyo waliwao"
Unashinda jukwaani ukipost mambo yawahusuyo "wajinga"!

Ukijibizana na "wajinga"!

Jitafakari kama haumo kati ya hao "wajinga"!

Si wanasema kwa kiingereza kuwa "do not argue with a fool"?

Hahahahahahaaaaaaaaaaaa
 
Hakika hawa CHADEMA ni walaghai sana. Ukiona Operesheni inaanzishww basi ujue kuna mpunga wa maana umepigwa mahala fulani hivyo wwnataka kuhalalisha matumizi yake

lizaboni nakuchukia sana hivi ccm wanakupa nini,nakuomba waone huruma watanzania wanavyoteseka na ccm,wamama wanakufa everday kwa vitu vidogo tu,lizaboni mm naitwa anti ccm ipo siku ikifika nyie wote mtakua my targets,mtalipa damu mlizomwga
 
- Kwani ya UKAWA wameimaliza lini? sasa subiri usikie gharama za kuendesha operation hiyo ambayo watakopeshwa na Mwenyekiti wao, ha! ha! ha!

Le Mutuz

mtu mzima ovyo kabisa!! pilipili usioila linakuwasha nn???
operation inafanyika bunda ww na akili zako ndogo kama m-kun-du wa panya unamtaja mbowe wa nn??
unamtaka mbowe ak-u-t-i-e
 
Naona wenye uchungu na operation hiyo ni watu wa Lumumba. Lizaboni, Ritz, Msalani, Le Mutuz, Hot Lady, Duchi.

Bado watakuja akina Simiyu yetu, chabruma, tandaleone, mwanadiwani, mafilili, laki si pesa, ruttashobolwa, shelui, faizafoxy, chamviga etc.

Waweza kutoa conclusion......

watu mnaoshabikia ccm nahisi mna matatizo ya kuona mbele na huko mlikotoka kuwa kuwa mna pata viji cent Hamna. njia nyingine ya kujikimu kimaisha kwa hivyo mnalazimika kukubali kutetea maovu ili mradi msikose posho ,mjiulize watoto na wajukuu zenu nao watapata posho hizo mkisha kuwa mmetoweka ,mkipata majibu hayo mtaacha Ku shabikia uovu.
 
Back
Top Bottom