Za leo wadau,nilikuwa natokea singida maeneo ya itigi nilipoingia Mkoa wa ARUSHA MJINI kwenye jimbo la mbunge lema, nikiwa ndani ya gari yangu nikakutana na vijana wamevaa FULANA NYEKUNDU IMEANDIKWA DELETE KABISA CCM ARUSHA,ilibidi niteremke na kuwadodosa bila wao kunitambua ni wa chama gani na kujua ni wa chadema ,mosi na kunieleza " unajua bro tunataka kuifuta ccm kabisa hap arusha " huku akinitazama machoni kwa msisitizo unaomaanisha ana uhakika na maneno yake. nataka kutoa rai kwa chama changu ccm mkoani Arusha kupitia kamati ya siasa kuanza kuchukua hatua za mapema kujipanga kimkakati juu ya lengo la chadema dhidi ya ccm kwa kujenga sera madhubuti zitakazokitetea ccm yetu izidi kuwepo hapo,mathalani ccm tuju SIASA NI SAYANSI KWA SASA. cc: mneck wa mkoa ndugu mwarusamba.nawasilisha