Hivi ile misukule ya Lowasa imeenda wapi? Ila taarifa zilizopo ni kwamba imekamatwa na polisi kwa kuchakachua matokeo
Yaani mechi ya upande mmoja haina raha kabisa. UKAWA wamekimbia mitandao ya kijamii. Kwa sasa wanachungulia kwa kijicho
Hivi bila lowasa chadema isingeongeza idadi ya wabunge!Mbona hausemi kuongeza wabunge Dsm, Arusha, Kilimanjaro, Morogoro (ambako hakukuwahi kabisa kuwa na wabunge wa upinzani), n.k
Kwaniaba ya Bavicha na chadema namuomba msamaha Dr.W.Slaa kwa matusi na kejeli aliyo tukanwa na Bavicha muda wote...! Najua Slaa angekuwepo Chadema ingepata kura nyingi za kumfikia Rais Magufuli!
Ewe Slaa wasamehe Chadema na UKAWA na uwaepusha na laana uliyo waachia.....!
Ila lilikuwa na kiherehere wameliweza.Dah
Nimeambiwa gari la lowasa liko vigwaza linaelekea monduli kuchunga ng'ombe kama alivyoahidi.
Hahaaa mkuuu nikweli kabisaaa hii laan ya dr slaa inawatafuna kwa mbaliii namuona gwajima akiungama dhambi zakeee
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
mpaka asubui hii 27/10/10.24 cdm wana majimbo zaidi ya 20 na kura za urais ni more than 30% hii ina maana ruzuku imepanda tayari. last elections cdm walikuwa na majimbo 23 ..... mbowe aliangalia kilomita nyingi mbele ndio maana akasema mtaji huu ukiuachia utakuwa mjinga, think about it
Yes sijui nachoandika ndio maana umejibu wewe, Subirini dawa iwaingie vizuri
Kakataa kusign fomu ya matokeo....katupa kule na akatoka ukumbini kwa kufura
Wasalimie sengerema
Mzee yule alitumia ushirikina lakini wapi kwakweli alikuwa ana fanya commedy kuigiza kama nyerere.....Teh Teh
Umejuaje nimesomea Pambalu primary school Sengerema, tunawanyoosha
Wasalimie sana wa huko
Umepoteza Mwanza umepata Mbeya (Madiwani), umepoteza Mwanza, Musoma umepata Moshi Vijijini, Same, Tarime, Buyungu, Serengeti, Siha, Momba etc (Ubunge) hii ndiyo akili.Siyo lazima iwe Mwanza.Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
mpaka asubui hii 27/10/10.24 cdm wana majimbo zaidi ya 20 na kura za urais ni more than 30% hii ina maana ruzuku imepanda tayari. last elections cdm walikuwa na majimbo 23 ..... mbowe aliangalia kilomita nyingi mbele ndio maana akasema mtaji huu ukiuachia utakuwa mjinga, think about it
Dr mihogo wakala wa ccm