Kweli nimeamini UMASIKINI wa WATANZANIA ni wa kujitakia....yaani kabisa mtu na akili zako timamu unaichagua CCM....??
Ufinyu wa akili unamfanya mtu ashindwe kulinganisha hali ya kisiasa na upatikanaji wa fursa za maendeleo.siasa inaweza ikakufanya ule bata au uendelee kula nyasi.maendeleo hupatikana pakiwepo watu ,siasa safi,na uongozi bora.
Ajali ya kufanyiwa uhuni na watu aliowaamini? Hatuwezi kutoa conclusion rahisi kama hii kupoteza mtu aliyeinua upinzani na kutoa mwamko ambao wengine walitaka kudandia na kupitia damu za watu wakati hawajawahi kutoa hata jasho ....Dr Slaa ni yule yule na utashuhudia mwenyewe ....
Unapoteza Mwanza lakini unaishika Halmashauri ya jiji la Dar hapo vipi? Halafu kwa taarifa yako, Ilemela ushindi wa CCM hauna shaka lakini Nyamagana lazima uchaguzi huo ukipelekwa mahakamani lazima utenguliwe kwani iweje kura zizidi idadi ya watu waliopiga kura?Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Wanaongeza na Bunda na Serengeti.Wanapoteza na Musoma Mjini
Rais Maalim Tunaimani Nawe Serikali Tatu Karibu Sana
Lowassa Rais Wa JMT
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Lowassa ndio Rais wako Dogo...........
Tulia
wewe unadhani slaa angekuwapo angebadilisha nn kama jiulize chadema kimefanikiwa au kimeangamia? tumeongeza madiwani mpaka monduli na tutaongeza na wabunge pia
Unaongeza madiwani Monduli unapoteza wabunge Mwanza akili kweli hizi.
Wadau, amani iwe kwenu.
Kwa matokeo haya ya ubunge, udiwani na Urais yanayoendelea kutokewa, ni dhahiri kwamba Dr Slaa alikuwa sahihi kuondoka CHADEMA. UKAWA hawakuwa na hoja za kuombea kura. Walibaki kuzungusha mikono tu. ndo maana wakawapata vijana wachache tu wa kuwaunga mkono na wengi wenye akili wamewakataa.
Dr Slaa, waonee huruma wenzako. Wamevurugwa.
Baada ya kudanganywa na Mbowe na Gwajima mkaanza kumtukana mnamuita Dr.wa mihogo haya haya sasa mabadiliko yapo wapi makamanda???
Ni wapi wameibiwa? Wamepigwa chini. Hawa ukawa ni wajinga sana.