CHADEMA waangukia pua Rufiji!

Honey K

JF-Expert Member
Sep 14, 2008
629
72
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
 
Poor Rufiji?

Yes - poor Rufijians. Bado magamba yamewaganda na mtazidi kufanyiwa vituko na mauaji kama vile mlivyofanyiwa katika tukio la wafugaji na wakulima. Laana ya kuruhusyu ardhi yenu kuwa dumping ground ya wafugaji waliondolewa Ihefu ambako walifukuzwa na ardhi kupewa maburushi kulima mpunga.
 
Hivi Rufiji ndio wapi?
Chadema si wacheza Mdundiko au Kiduku, ndio maana hawajapata kura huko!
Ngoma na Sera za utendaji wapi na wapi bana!
 
sio ishu, inaonekana CDM haikuweka mtu ndio maana kura "0"! SASA WEWE UNASHANGAA NINI, INA MAANA KAMA WENGEKUWA NA MTU HATA HUYO MGOMBEA HAJAJIPIG0'IA KURA?

Hamaanishi kura sifuri bali vijiji sifuri na vitongoji sifuri! RIP CHADEMA
 
Unaposema Chadema imeangukia PUA, kwani kabla ya hapo Chadema walikua wanashikilia vitongoji na vijiji vingapi? Kama hawakua navyo na hakuna juhudi zilizofanywa huko na chadema, basi hawajaangukia PUA na endeleeni kuomba Operation Sangara (VAU GAMBA VAA GANDWA au M4C) isiende kule!!
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

Hizo ni salamu kwa ajili ya 2015 tutakapo wachinja chinja kwa Land slide victory , CDM sio chama ni wanaharakati wahuni walio jikusanya pamoja kwa kuwahadaa wananchi
 
vijiji ; ccm - vijiji 11, cuf -vijiji 3, chadema -0.

Vitongoji; ccm- vitongoji 27, cuf - 6 na chadema- 0
rip chadema, mkapumzike kwa amani! Poor you!

chadema kama hawatajitathmini na udini wao waliojuza kichwani kuona waislam sio kitu chochote sio lolote, wasitegemee kitu
 
Hizo ni salamu kwa ajili ya 2015 tutakapo wachinja chinja kwa Land slide victory , CDM sio chama ni wanaharakati wahuni walio jikusanya pamoja kwa kuwahadaa wananchi

sijajua wewe ni kikongwe aliyechoka kufikiri au ni kijana aliyechanganyikiwa mimi sijui, natka nikuambie kitu, uwezi kwa sasa ukaipima Chadema kwa moa wa Pwani ambako M4C aijapita kabisa na ujue kwa nchi ilipofikia sasa ngome za CCM kwa Tanzania bara haizidi mikoa 4 kwa sasa, subiri utaona 2015 ndo utaijua CHADEMA vizuri
 
Hatuwezi shinda sehemu zote na wala roho haijaniuma kushindwa kwa CDM rufiji ila nasikitika THE POOL RUFIJI wasipobadilika watabaki nyuma kimaendeleo kila siku.
 
Hizo ni salamu kwa ajili ya 2015 tutakapo wachinja chinja kwa Land slide victory , CDM sio chama ni wanaharakati wahuni walio jikusanya pamoja kwa kuwahadaa wananchi

Ndugu katika Bwana nakuunga mkono kabisa hawa Chadema ni genge flani la wahuni watakao kupandikiza chuki miongoni mwa jamii ili baadae yatokee machafuko yatupasa kukemea sana hizi nyoyo zao katili WASHINDWE NA WALEGEE KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI
 
Back
Top Bottom