CHADEMA waangukia pua Rufiji!

CHADEMA waangukia pua Rufiji!

VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

Hakuna la kushangaza hata kidogo...Wakwere pamoja na kuwa wanaishi maisha yaliyojaa ufukara wa kutisha, bado wamechapa usingizi mzito sana ....Kigumu chama cha magamba! Kigumu!
 
CDM itakuwa imeangukia pua kama na wagombea wao hawakujipigia kura wenyewe. Ndiyo demokrasia hiyo. Lakini kama hawakuweka mgombea/ wagombea, utasemaje kuwa wameshindwa? Poleni Rufijians.
 
sema waislamu wote ni al shabab hapo sawa na wanajesh wavaa misur jeshini af wanapigana na mmarekan wanakufa mia tano mmrekan mmoja af wanashangilia ushindi teh teh teh tih tih tih....

upo ktk sherehe au msiba? nasikia dk Anafuraha kubwa huko
 
Nassari alishinda Arumeru. Je madiwani wa CDM walikuwa wangapi?
 
sio ishu, inaonekana CDM haikuweka mtu ndio maana kura "0"! SASA WEWE UNASHANGAA NINI, INA MAANA KAMA WENGEKUWA NA MTU HATA HUYO MGOMBEA HAJAJIPIG0'IA KURA?

hilo ndo jibu la msingi mkuu.
 
Ni janga la kitaifa kuona bado wapo watu wanasherekea kuona CCM inashinda, hata kama ni kiti kimoja ktk kitongoji. It is shameful because the higher the level of ignorance, more are the votes for CCM.
 
Kumbe ni Rufiji? basi sishangai kwa hawa wenzetu bado wapo nyuma kwa kila kitu,pole sana nyingi warufijika
 
Nawaoea huruma sana wana rufiji bado awajajitambua huruma ilioje sijui wanaitaji nani aje awatoe kifungoni hawa wapogoro
 
Kimsingi naona Pwani bado haiko tayari kwa ajili ya mabadiliko. Nina fanya kazi sana katika vijiji vya Wilaya za Pwani na ukiongea na wananchi wa kawaida kabisa utaona kuwa "their minds are ready but not their spirits". Halafu hata CDM hawajaweka nguvu zinazostahili kupata wanachama na mashabiki katika eneo hili. Inawezekana pengine muda haujafika wa kufanya kazi hiyo au wamefanya kosa la kimkakati kutofanya hivyo
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.
VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
Tathmini ya nchi nzima haiwezi fanyika ktk jimbo moja, so jipange tena.
 
Nina mashaka na thread hii kama ni ya kweli... Kwanza vyombo vya propaganda vya magamba visingekaa kimya. Pili, hata kama ipo... Iwapo cdm haikuweka mgombea, unawezaje kusema kimeshindwa, wakati hakikuwa kwy ushindani?
 
Back
Top Bottom