CHADEMA waangukia pua Rufiji!

Poleni Rufiji.Subirieni T-shirt,kanga ,kofia na wali vya magamba ili hali hamna miundo mbinu na uchumi mbovu.
 
Hivi Rufiji nayo unaweza kuihesabu kama ni sehemu wanayoishi binadamu wenye akili timamu! Mwenye elimu kubwa ni Madras Juzuu 7.
What a nice and interesting comment! I love it. Amiliki, you are really a Great Thinker!
 
kweli. Wenye aelimu ya biblia ndio mtaji wa chadema. Chadema+kanisa = ubaguzi +vita tanzania
Hivi walioko Chadema wote wana elimu ya Biblia? Zitto Kabwe, Prof. Abdallah Safari, Katibu Mkuu Znz, Mbunge wa Sumbawanga, Wabunge kadhaa wa Viti Maalumu wote hao wana elimu ya Biblia? Kweli nimeamini kwa Bongo elimu ya Madrasa ndio inayoongoza PhD!
 
Ndugu katika Bwana nakuunga mkono kabisa hawa Chadema ni genge flani la wahuni watakao kupandikiza chuki miongoni mwa jamii ili baadae yatokee machafuko yatupasa kukemea sana hizi nyoyo zao katili WASHINDWE NA WALEGEE KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI

naona mnasapotiana upumbavu baba mchungaji....haha hahah hahah
 
Kuna taarifa kwamba Hampewi posho zenu za Propaganda kwenye mitandao ya kijamii... Nadhani uongozi wa Chama umetatua hilo tatizo. Poleni kwa holiday ya cku mbili 3
 
kweli. Wenye aelimu ya biblia ndio mtaji wa chadema. Chadema+kanisa = ubaguzi +vita tanzania

Hivi wewe unaamini kabisa moyoni mwako kuwa imani yako iko sahihi?

Ingekuwa sahihi jiulize kwanini mnkimbilia kujilipua?

Unajua nai alimpa utume huyo mtume wako kwa mara ya kwanza?

Acha kuwaza udini udini!! utakufa masikini.......shauri yako!
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

CCM walipeleka kilo ngapi za ubwabwa?
Na hivi ramadhan inaanza.
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

wakapumzike wapi, wakati wanaendelea na libeneke nchi nzima ww mwenyewe shahidi..
 
Matokeo tumeyapokea lakini huo husiwe ndiyo kama ushindi kwa Mtu na Mkewe (Yaani CCM + CCM B) cha muhimu tuangalie hadi hivi sasa CCM mtaji wake mkubwa ni kwenye maeneo ambayo elimu (Uraia na ufauru mashuleni) ipo chini sana kama huko Rufiji na isitoshe M4C bado haijafika huko wakati hukifika na M4C ikifika njoo tena utupe majibu ya wangapi watakuwa wamerudisha kadi na hata kujivua hayo madaraka ambayo leo wameyapata.Tunashukuru kwa taarifa na tunaifanyia kazi ili kujipanga upya. mwisho nawaonea sana huruma wananchi wa Rufiji hadi hii leo hawajawa na mwamko juu ya hatma ya maisha yao na vizazi vyao kweli nafuu ya umasikini wa mali kuliko umasikini wa kutojitambua.
 
VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.

VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!

Poor Rufiji.
Wamechagua magamba? Wajue kuwaCCM wataendelea kuwa-ignore kwani wana-take for granted kwamba mnawachagua regardless of how badly your situation is.
Si wangechagua sana CUF basi?

Poor Rufiji.
Wataendelea kubaki POOR.
 
au geresha tu.anagalia hata bungeni. wenye kuleta fujo ni ELIMU biblia. akina LISSU. Mnyika. mbowe. lkn hao elimu madressa si unawaona kimya? elimu biblia ndio nguzo ya Chadema
Mkuu inaonekana wewe hata madrassa hukusoma [angalia maneno yenye bold sijui ni ya lugha gani (au ni Kiarabu?!). Pia hujui matumizi ya kituo kikubwa (full stop) na kituo kidogo (comma) katika uandishi wako!]. Hoja yako inawezekana ni sahihi maana mtu mwenye elimu ya Madrassa pekee hawezi akapata kitu chochote cha kuchangia hasa linapokuja swala la mahesabu hususani ktk Mkutano huu wa Bunge kujadili Bajeti ya Serikali!
 
Hivi wewe unaamini kabisa moyoni mwako kuwa imani yako iko sahihi?

Ingekuwa sahihi jiulize kwanini mnkimbilia kujilipua?

Unajua nai alimpa utume huyo mtume wako kwa mara ya kwanza?

Acha kuwaza udini udini!! utakufa masikini.......shauri yako!

Ila aliyesema rufiji hawana akili na aliyesoma sana anajuzuu 7 za madrasa sio anawaza udini?
 
Ndugu katika Bwana nakuunga mkono kabisa hawa Chadema ni genge flani la wahuni watakao kupandikiza chuki miongoni mwa jamii ili baadae yatokee machafuko yatupasa kukemea sana hizi nyoyo zao katili WASHINDWE NA WALEGEE KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI

Mimi nawaheshimu sana wachungaji. Lakini wachungaji wa siku hizi ni tabu tupu. Sijui ni Njaa imezidi au ni nini? Wako tayari hata kumpigia shetani magoti na kuweka maandiko matakatifu kwapani ili mradi tu kuna riziki. Ufisadi umekemewa mara ngapi kwenye Biblia?
Chadema wanakemea huo huo ufisadi wewe unasema ni genge la wahuni, kwa sababu tu wanagusa mahali ambapo wewe unategemea kutupiwa vijisenti vya bure kama mbwa koko anayetupiwa mifupa. leo umeacha kusema ukweli unaungana na Mafisadi halafu unajiita Mchungaji.
Kwa hiyo makanisa na misikiti inayokemea ufisadi nayo ni magenge ya Wahuni???
Umeweka pembeni neno la Mungu, umeweka pembeni haki unashabikia Mafisadi?
Hata huyo YESU unayekemea katika jina lake alijua njaa inaweza kumtoa katika mstari wa mapenzi ya MUNGU ndio maana akakataa kufanya mawe yawe mkate ili ale apate kuondonana na njaa.

Njaaa!!! Njaaa!! mbaya chunga hizo njaa Mchungaji, Kama sadaka hazikutoshi njoo vijiweni tupasue kokoto tutapata riziki kuliko kudhalilisha kazi ya BWANA
 
Back
Top Bottom