Chadema vyuoni yafa kwa kasi.

Umarufu wa CDM Umeanza kupungua kwa kasi kubwa vyuoni ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Wengi wameanza kukimbilia CCM Kwa kuwa wameanza kugundua ujinga wa viongozi wao walivyo simple.

Ukiangalia kwa vyuo vikubwa kama UDSM NA UDOM Kasi ni kubwa sana. Hata hivyo ktk zoez la uchaguz wa serikali za wanafunz CCM Imeshinda kwa 90%.

Thread kama hizi hakuna haja ya kuzijibu ziachene tu. Waache waendelee kujidanganya
 
Back
Top Bottom