CHADEMA vunjeni UKAWA

CHADEMA vunjeni UKAWA

Wewe ndio MBURUKENGE Hivi ukiwa na Rais kutoka CHADEMA au UKAWA Halafu watunga sheria na wapitisha bajeti wakawa ni CCM Kuna serikali hapo? hivi unajua wabunge wanapower ya kumng'oa Rais Madarakani? Akili yako inaonekana ndogo na siasa umejifunzia ukubwani. Huwezi kujizatiti eti ushinde urais then percent kubwa ya wabunge watoke chama kingine. yaani wewe ni Bogus kama lile KENGEZA Lenu la UFIPA

Akili zako sawa na Zinjathropus (Binadamu aliyeishi zama za mawe), you have a PRIMITIVE BRAIN!

Kwa masilahi ya wengine and for the sake of the records.

You're confusing two things, CDM kuachiwa majimbo mengi ya ubunge at the expenses of other parties and UKAWA kushinda majimbo mengi ya uchaguzi. These are two different things i.e. comparing apples and oranges.

On a serious note, hivi wewe umewahi kuiona rangi ya katiba ya JMT ya 1977, achilia mbali kuisoma?

FYI, RAIS wa JMT ana mamlaka/madaraka makubwa kuliko BUNGE. Kabla bunge halijamu impeach Rais anao uwezo na madaraka ya kulivunja bunge na akipenda kusimamisha katiba/constitution. Nyerere aliwahi kutishia kulivunja Bunge na Wabunge wote wakaufyta.

Sasa hao wabunge wako wengi wa CCM watafanya nini kwa katiba hii tuliyonayo? Kama mimi nimejifunza siasa UKUBWANI, basi wewe umejifunza SIASA ukiwa MAITI. You're a walking dead wo/man.
 
tatizo kubwa linaloikabili ukwa huu muungano wao umeanzia juu badala ya kuanzia chini matokeo yake lazima kutakuwa na migogoro kwani kuna watu wamefanya kazi kubwa kukijenga chama leo hii utakapowaambia wasigombee sababu viongozi wa juu wamekubaliana hawatakuelewa
 
CUF na NCCR Mageuzi walivaba sana kujiunga na CHADEMA, time will tell karibuni. Mimi sina imani kabisa na hawa jamaa wa Ufipa maana wamekaa kiuchu uchu na usakatonge.

hao unao waamini wewe mpaka sasa unalipi la kujivunia?kama sio uchu kama unao usema?
 
Tetty kuja hapa. Naona kuna watu wanataka kugawana fito
 
Last edited by a moderator:
Tetty kuja hapa. Naona kuna watu wanataka kugawana fito

Umeona eh,ndiyo hicho nonachokisema.Wako busy kutenganisha upinzani.........na ukisoma sababu zao hakuna cha maana.Hawa vijana ni wa kuwatandika viboko tu
 
Akili zako sawa na Zinjathropus (Binadamu aliyeishi zama za mawe), you have a PRIMITIVE BRAIN!

Kwa masilahi ya wengine and for the sake of the records.

You're confusing two things, CDM kuachiwa majimbo mengi ya ubunge at the expenses of other parties and UKAWA kushinda majimbo mengi ya uchaguzi. These are two different things i.e. comparing apples and oranges.

On a serious note, hivi wewe umewahi kuiona rangi ya katiba ya JMT ya 1977, achilia mbali kuisoma?

FYI, RAIS wa JMT ana mamlaka/madaraka makubwa kuliko BUNGE. Kabla bunge halijamu impeach Rais anao uwezo na madaraka ya kulivunja bunge na akipenda kusimamisha katiba/constitution. Nyerere aliwahi kutishia kulivunja Bunge na Wabunge wote wakaufyta.

Sasa hao wabunge wako wengi wa CCM watafanya nini kwa katiba hii tuliyonayo? Kama mimi nimejifunza siasa UKUBWANI, basi wewe umejifunza SIASA ukiwa MAITI. You're a walking dead wo/man.

Nafikiri bado mnaweza kueleweshana bila kuvunjiana heshima hasa mikwa wote mnania moja
 
Sidhani kama kuvunja UKAWA ndiyo tumeshinda,na nina uhakika hata wao NCCR na CUF wanajua kuna maeneo mengi ambayo wao wanakubalika.Na ni matumaini yangu kuwa viongozi walio nadani ya UKAWA watatumia BUSARA na HEKIMA kuchagua watu wanaokubalika kwa maeneo mbali mbalimbali...

Ila sitegemeivyama vingine kupewa maeneo ambayo hata jasho ahwajatolea.Hebu tuone mtu anayetaka kugombea SEGEREA hata mkutano wa mtaa haitishi leoCDM wakiweka mtu wao atalalamika?Nafikiri ni wakati muafakahata kwa vyama vinavyounda UKAWA kwenda shamba kulima wasitegeme alime mwingine wao wavune.......Hilo ndilo tunalohitajitoka kwa vyama husika.........
 
Wewe kwa muono wako tu MTATIRO ATAFURUKUTA SEGEREA...JE ANAKUBALIKA....TATIZO NI KUKUBALIKA MAANA WASIWASI WANGU NI CCM KUSHINDA KWA KISHINDO SEGEREA

Mi nadhani viongozi wa vitongoji n wananchi wapige kura kwenye majimbo yenye utata kwa watangaza nia ili waamue wao nani agombeee. Hili ndo muhimu ili kukata mzizi fitina
 
Segerea Mpendazoe alikosa kwasababu Wapinzani waligawana kura. i.e Jumla ya kura za Wapinzani zilikuwa zaidi ya CCM. Tarime CDM walikosa lakini kura za CDM + CUF zilikuwa zaidi ya CCM. The same scenerio kwa majimbo mengine. Je, nini kinachokufanya uamini kwamba 2015 hali kama hiyo haitatokea tena?

Lakini pia, lengo kuu la UKAWA ni kumuondoa mkoloni mweusi CCM madarakani, sio CDM kupata viti vingi vya ubunge. CDM ime sacrifice hayo kwa masilahi mapana ya Watanzania.

Mkuu huyo ni mbinafsi sio mwanamageuzi
 
Wewe unaongea nini.Umoja ni nguvu.Wacha hata cuf wakija Arusha potelea mbali.Cha maana nikuiondoa Hawa wajamaa.Zaidi hapo ni kuwaruhusu hawa jamaa kukaa milelee na milele.Na huu mwaka ndiyo golden chance.Tukishindwa hapa.Nakuambia basiii.
 
''ukitaka kula lazima nawe uliwe''
 
Naona wangetumia hii
chama chenye wabunge wengi kipewe nafasi ya kutoa mgombea urais
 
Nia yetu ni kuiondoa madarakani serikali ya ccm.
VOTE FOR UKAWA
 
Akili zako sawa na Zinjathropus (Binadamu aliyeishi zama za mawe), you have a PRIMITIVE BRAIN!

Kwa masilahi ya wengine and for the sake of the records.

You're confusing two things, CDM kuachiwa majimbo mengi ya ubunge at the expenses of other parties and UKAWA kushinda majimbo mengi ya uchaguzi. These are two different things i.e. comparing apples and oranges.

On a serious note, hivi wewe umewahi kuiona rangi ya katiba ya JMT ya 1977, achilia mbali kuisoma?

FYI, RAIS wa JMT ana mamlaka/madaraka makubwa kuliko BUNGE. Kabla bunge halijamu impeach Rais anao uwezo na madaraka ya kulivunja bunge na akipenda kusimamisha katiba/constitution. Nyerere aliwahi kutishia kulivunja Bunge na Wabunge wote wakaufyta.

Sasa hao wabunge wako wengi wa CCM watafanya nini kwa katiba hii tuliyonayo? Kama mimi nimejifunza siasa UKUBWANI, basi wewe umejifunza SIASA ukiwa MAITI. You're a walking dead wo/man.

KUKUJIBU WEWE NI SAWA NA KUPOTEZA MUDA TUU. SO RAIS ATOKE CHADEMA WABUNGE WENGI WAKITOKA CCM NI SAWA TUU, COZ WAKITAKA KUMMUIMPEACH ATAVUNJA BUNGE THEN WHAT ? UCHAGUZI UNAANZA UPYA SASA MNATAKA KUINGIA MADARAKANI KUTUPUNGUZIA GHARAMA ZA MAISHA AU KUTUONGEZEA. ANYWAY ACHA NIKUPOTEZEE TUU MAANA HAUNA TOFAUTI NA BAADHI YA MIMODE YA JF VICHWA MAJI WASIJE WAKANIBAN BURE KWA KUSHINDWA KWAO KUTOFAUTI KENGEZA NA CHONGO NANI MLEMAVU:msela::msela:
 
Back
Top Bottom