CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

Chauma wanalelewa wanalishwa wanapakatwa wanagharamiwa kila kitu na ibirisi wa ccm hawana uwezo wa kufanya chochote ni chama Tegemezi kwa ibirisi ccm
 
chauma ni motooooooo, hawana papara, ni watu wa kujielewa, wanajua uongoz, sio leo tuchagua katibu mkuu mara kesho unasikia huyu anakaimu tuu.
Yaan hivi kwanini Wana ccm ni wapumbavu kiasi hicho? Chadema imefungiwa kufanya shughuli zake alafu unasema nani zaidi huu ujinga utawatoka lini?. Kama chadema si kitu kwani Leo hii hata Instagram zote ukifungua sehem ya kuchangia inagoma kwa maagizo ya serikali. Msigwa anasema tunawatafuta wanaochangia no refome. Kama si kitu kwanini mnaweweseka kufungia maoni. Jielewe. Yaani Kama Vila mauwaji tu serikali aitafuti wauwaji sababu yenyewe ndiyo inauwa
 
Pesa inayotumika kuwadhoofisha kuwahujumu chadema ni kubwa sana na endapo ingetumika kuleta maendeleo kujenga barabara mashule vyuo Hospital kubwa huduma za maji nk ccm wangejiuza kwa wananchi wangependwa na kuchaguliwa pasipo kutumia pesa za walipa kodi kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi za uongo chadema, ingawa sasa Amos makala chawaccm bashungwa IGP anatumia uonevu manyanyaso kwa chadema kama fursa na kisingizio cha kupiga pesa, wameiba mabilioni ya walipa kodi kwa kazi haramu za kishetani ikiwemo kuwaghsramia Chaumaccm mpaka njiti za mdomoni
 
Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke?

Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga.

Chadema nao wanajitahidi.

Hii vita bado mbichi.
Hivi mnakuaga wajinga kiasi hiki au ni kujitoa Ufaham ?.

Hiyo Picha ya Chauma huoni imechezeshwa , watu wa nyuma kule na pembezoni unaona mwelekeo wao ulivyo??.

Pili, unalinganishaje CHADEMA , chama Kikuu Cha Upinzani kinachoogopwa na Dola ya Chama tawala ??.

CHAUMA ilinganishe na ADC
 
Yaan hivi kwanini Wana ccm ni wapumbavu kiasi hicho? Chadema imefungiwa kufanya shughuli zake alafu unasema nani zaidi huu ujinga utawatoka lini?. Kama chadema si kitu kwani Leo hii hata Instagram zote ukifungua sehem ya kuchangia inagoma kwa maagizo ya serikali. Msigwa anasema tunawatafuta wanaochangia no refome. Kama si kitu kwanini mnaweweseka kufungia maoni. Jielewe. Yaani Kama Vila mauwaji tu serikali aitafuti wauwaji sababu yenyewe ndiyo inauwa
Pambano la ngumi Chadema kafungwa pingu na kitambaa usoni alafu apambane na mtu aliye huru bila kikwazo huo ni mapambano gani? Wakitaka kujua kuwa chadema ina nguvu waweke Ulingo sawa
 
Chauma wanalelewa wanalishwa wanapakatwa wanagharamiwa kila kitu na ibirisi wa ccm hawana uwezo wa kufanya chochote ni chama Tegemezi kwa ibirisi ccm
Dah Mrema, kuongea kote kule, anaishia kununuliwa kwa vipande vya fedha!
 
Chadema ina support ya CCM kifedha na logisti, chadema inapigwa mishale kila kona hiyo ni tofauti kubwa hata vile kuishinda chadema yenye mfumo na mitanado mizuri chini ya Lissu akiwa nje sijui! Vizuri tukalinganisha chadema na ccm.
 
ibirisi wa ccm wanaifirisi Nchi kwa kuchukua pesa za walipa kodi kuwapakata kuwalea kuwalisha kuwagharamia kila kitu chauma Tegemezi ambaye sasa anawaona ccm ni Buzi la kuchuna, kuna wizi mkubwa wa pesa za umma kwa kazi haramu za kulazimisha Chaumaccm kiwe juu , watesi mashetani wa ccm wamejaa upumbavu usio na kifani
 
Chadema ina support ya CCM kifedha na logisti, chadema inapigwa mishale kila kona hiyo ni tofauti kubwa hata vile kuishinda chadema yenye mfumo na mitanado mizuri chini ya Lissu akiwa nje sijui! Vizuri tukalinganisha chadema na ccm.
Ukiwekwa ulingo sawa ccm wanapotea wanakuwa kama KANU ya kenya
 
CHAUMMA haiwezi kufanikiwa kuifunika CHADEMA kwa namna yoyote ile, kwasababu haina huo ushawishi na hata hao waliojiengua CHADEMA na kujiunga na CHAUMMA ushawishi waliokuwa nao ulitokana na nguvu ya CHADEMA.

Devotha Minja aliyekuwa mbunge Viti maalum 2015-2020 alibebwa na upepo wa Chadema.

Salum Mwalimu toka aondoke Channel ten na kuingia kwenye siasa na kuwa Naibu katibu mkuu Zanzibar, Chadema haijawahi kushinda kiti cha ubunge au udiwani kwa upande wa Zanzibar hivyo hana nguvu yoyote ile kwa zote zile za Muungano.

Benson Kigaila mwenyewe anajua namna alivyopata azile kura 155 kwenye uteuzi wa mgombea wa CHADEMA, na zile kura 42,000 zilitokana na nguvu kubwa na ushawishi mkubwa wa Chadema na asivimbe kichwa kuwa ni ushawishi wake ulimpatia zile kura.

John Mrema huyu wote tunamjua. Tutapotezana
 
ibirisi wa ccm wanaifirisi Nchi kwa kuchukua pesa za walipa kodi Hazina kuwagharamia Chaumaccm kwa njia haramu za kishetani
 
Mbona idadi kubwa ya watu wameelekeza nyuso zao kwenye kushangaa helkopta kuliko kumsikiliza anayehutubia?😅

Halafu wengi wao ni watoto wa shule ya msingi na sekondari.
Chuna Buzi ccm ndiyo mpango wa chauma ubwabwa wao wanafurahia kula pesa za bure toka kwa Buzi ibirisi wa ccm
 
Chauma ubwabwa ni genge Tegemezi kwa ibirisi ccm
 
Back
Top Bottom