CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

Status
Not open for further replies.
ongeza na hii,ccm hata viongozi wao wanaogopa midaharo kama ilivotokea 2010 na wagombea wao wanapenda sana kugawa chumvi na wabunge wao hawawezi kujenga hoja ni watu wa ndiyooooooo na kushangilia
 
mods naomba huu uzi ukae sticky. tuwatoe magamba jasho
 
unajua mzee ndesambulo kaficha kiasi gani nje au unaropoka hata dada huna.

Ndesambulo hana sababu ya kuficha fedha nje, yeye anatoa fedha nje na kuwekeza hapa Tanzania. Wanaoficha fedha nje ni wezi/mafisadi/wanyanganyi/majambazi/majangili/majasusi ama kwa kujitegemea au kwa kushirikiana na tuliowapa madaraka serikalini. Tueleze ni namna gani unamuhusisha Ndesambulo na hao magamba?
 
mkuu betlehem anayekosoa ana matatizo ya kipindapinda (kipindapinda=kipumbavupumbavu)
 
Last edited by a moderator:
Ndio mana nasema mwaka 2015 kazi itakuwepo pevu. Kampeni ya kuhuisha daftari la kudumu la wapigakura iwe kubwa sana
 
hivi chadema ina sera gani inayotekelezwa na ccm. hata km ukiona sera ccm inatekeleza inayofanana na ya cdm ujue zimeshabiriana, isitoshe asilimia kubwa ya sera za chadema wamekopy na kupest tu from ccm
 
[TABLE="class: cms_table_MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuchanganika na wananchi wa kawaida hata kama ni kwenye dala dala.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuishi maisha ya juu na yakutukuzwa zaidi.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Niwanyenyekevu Sana kwa wananchi[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wakati Fulani huwatisha wananchi hasa wanaofikiri kinyume na wao.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KAMPENI

Upuuzi mtupu
 
WAPENZI WA CHAMA[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wapenzi wengi wa chama ni wananchi wa kawaida na masikini sana wanaotaka maisha yenye nafuu kidogo[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wapenzi wake wengi ni watu walioko kwenye system wanaopambana kuzilinda nafasi zao kwa njia yeyote ile.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ULINZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Chama na viongozi hulindwa na vijana dhoofu ili hali (wasiio na silaha yoyote) ila wenye za kichwani .Huifanya kazi hii kwa kushirikiana na wananchi wakawada.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Hulindwa na vyombo rasmi ikiwemo vyombo vya usalama vya serikali vyenye nyenzo za kisasa.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
VIONGOZI WAKE

[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi huhudhuria mikutano kwa baahati nasibu tuu baada ya kutangaziwa.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wahudhuriaji hukusanywa na kupelekwa kwa mabasi kwenye mkutano na kisha kupatiwa posho ya kujikimu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi ndio huwachangia wagombea ili waweze kufanya kampeni.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wagombea ndio huwapa wananchi kitu kidogo ili waweze kuwachagua.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Hueleza jinsi Serikali inayoongozwa na CCM, ilivyoshindwa kutekeleza majukumu yake.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Huilamu CHADEMA kwa kurudisha nyuma maendeleo ya nchi (japo wao ni wapinzani tu).[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KATIKA KUONGOZA SERIKALI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni Chama cha upinzani (ambacho sera zake haziwajibiki kutekelezwa)japo kwa kiwango kikubwa ndizo zinazotekelezwa.Mf; Mchakato wa katiba mpya[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Ni Chama tawala (ambacho sera zake ndizo zinatakiwa zitekelezwe) ila wanapobanwa wanatekeleza za CHADEMA kwa kuwa hoja za CHADEMA zinakuwa nzito mno.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
BUNGENI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuhoji mambo hata kama jambo linaonekana kuwa dogo.[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wana gonga meza hata msemaji anapotaja wilaya za Tanzania (mradi tu msemaji awe CCM).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wote Wako makini wakati wote.[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wengine wanasinzia, wanaongea, wanachat isipokuwa wachache tu ndio wanakuwa makini wakati wote.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
UWAZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni wawazi sana na inapotokea jambo lenye utata kidogo tu wanakuja JF, au kuita vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi.[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Ni wagumu wakutolea mambo ufafanuzi hadi waone hakuna tena ujanja .Wakati Fulani hata wakialikwa kwenye midahalo hawahudhurii.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa ujumla mpaka sasa ndivyo hali ilivyo kwa jinsi mimi nilivyojaribu kufuatilia.Hiiinaweza kukusolewa kama kuna mahali kuna makosa.

Mkuu,
Naomba Kuongeza Nyingine

WELEDI KATIKA MASUALA YA SHERIA

[TABLE="width: 626"]
[TR]
[TD] CHADEMA
[/TD]
[TD] CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wana wanasheria Makini sana[/TD]
[TD]Hawa ni Ma Mbumbu wa Sheria[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wanasheria Hawa wameonesha Umahiri [/TD]
[TD]Siku zot wanatumia Backup ya Serikali kwenye[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mkubwa Sana kwenye Kesi Mbali Mbali[/TD]
[TD]Masuala ya Ki sheria na Kesi Feki wanazofunguaga[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Za Viongozi wa CDM na ambazo[/TD]
[TD]Nina Uhakika siku CHADEMA wakifungua Mashtaka[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ambazo zinafunguliwa na Serikali kwa[/TD]
[TD]Mahakani Dhidi ya CCM na Mahakama ikawa Huru[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinikizo la CCM[/TD]
[TD]Hata Uchaguzi wa Rais 2010 unaweza kubatilishwa, sema[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mawakili hawa Makini na Nguli[/TD]
[TD]tu Katiba ya Sasa Hairuhusu[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Wamekuwa wakizipangua Kesi zote na[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM Kujikuta wanaangukia Pua[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]e.g Kesi ya Lwakatare, Lema Arusha[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Sugu Dodoma, etc etc etc etc[/TD]
[TD] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 626"]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
unajua mzee ndesambulo kaficha kiasi gani nje au unaropoka hata dada huna.

Mkuu njia panda Kwenye RED and Bold.
We vp kwani, Dada unaye ?
Kama vp Tuunge undugu, Niko Tayari Kuwa Shemeji yako
 
Last edited by a moderator:
WAPENZI WA CHAMA[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wapenzi wengi wa chama ni wananchi wa kawaida na masikini sana wanaotaka maisha yenye nafuu kidogo[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wapenzi wake wengi ni watu walioko kwenye system wanaopambana kuzilinda nafasi zao kwa njia yeyote ile.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ULINZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Chama na viongozi hulindwa na vijana dhoofu ili hali (wasiio na silaha yoyote) ila wenye za kichwani .Huifanya kazi hii kwa kushirikiana na wananchi wakawada.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Hulindwa na vyombo rasmi ikiwemo vyombo vya usalama vya serikali vyenye nyenzo za kisasa.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
VIONGOZI WAKE
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuchanganika na wananchi wa kawaida hata kama ni kwenye dala dala.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuishi maisha ya juu na yakutukuzwa zaidi.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Niwanyenyekevu Sana kwa wananchi[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wakati Fulani huwatisha wananchi hasa wanaofikiri kinyume na wao.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KAMPENI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi huhudhuria mikutano kwa baahati nasibu tuu baada ya kutangaziwa.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wahudhuriaji hukusanywa na kupelekwa kwa mabasi kwenye mkutano na kisha kupatiwa posho ya kujikimu.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi ndio huwachangia wagombea ili waweze kufanya kampeni.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wagombea ndio huwapa wananchi kitu kidogo ili waweze kuwachagua.[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Hueleza jinsi Serikali inayoongozwa na CCM, ilivyoshindwa kutekeleza majukumu yake.[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Huilamu CHADEMA kwa kurudisha nyuma maendeleo ya nchi (japo wao ni wapinzani tu).[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KATIKA KUONGOZA SERIKALI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni Chama cha upinzani (ambacho sera zake haziwajibiki kutekelezwa)japo kwa kiwango kikubwa ndizo zinazotekelezwa.Mf; Mchakato wa katiba mpya[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Ni Chama tawala (ambacho sera zake ndizo zinatakiwa zitekelezwe) ila wanapobanwa wanatekeleza za CHADEMA kwa kuwa hoja za CHADEMA zinakuwa nzito mno.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
BUNGENI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuhoji mambo hata kama jambo linaonekana kuwa dogo.[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wana gonga meza hata msemaji anapotaja wilaya za Tanzania (mradi tu msemaji awe CCM).[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wote Wako makini wakati wote.[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wengine wanasinzia, wanaongea, wanachat isipokuwa wachache tu ndio wanakuwa makini wakati wote.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
UWAZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni wawazi sana na inapotokea jambo lenye utata kidogo tu wanakuja JF, au kuita vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi.[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Ni wagumu wakutolea mambo ufafanuzi hadi waone hakuna tena ujanja .Wakati Fulani hata wakialikwa kwenye midahalo hawahudhurii.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa ujumla mpaka sasa ndivyo hali ilivyo kwa jinsi mimi nilivyojaribu kufuatilia.Hiiinaweza kukusolewa kama kuna mahali kuna makosa.

Uko sawa kabisa kaka!
 
Asante Bethlehem. Some voluntary ignorant watakuja kujaza server sasa hivi.
 
:majani7::clap2::A S 20::tea::tea::A S 20:freedom is coming tomorrow:drama::boxing::mwaaah::A S thumbs_down::A S check_03::A S 100::A S check_03::mwaaah:
 
Ccm wanang'oa watu kucha

chadema wanawafichua ni usalama wa taifa

ccm wanawapiga watu na kitu kizito chenye ncha kali

chadema wanasema ni polisi ndo wameua
 
Mkuu unaweza kuongezea nyengine pia kama zipo.Unaweza pia kutoa kwa upande wa pili yaani "MIFANANO" Maana hapa mimi nimetoa tu upande wa "Tofauti".
CHADEMA
Bungeni wanazuiwa kuvaa magwanda
CCM
hawajawali kuzuiliwa kuvaa mi wax yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom