CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

Status
Not open for further replies.
mkuu sio voluntary ignorant.Ni wafanyakazi wakulipwa na wanalipwa kwa idadi ya post bila kujali content.Nimegundua sasa hivi magamba wame buni mkakati wa kuzivuruga nyuzi zote zenye mantiki humu JF, either kwa ku post ujinga,matusi, au kupindisha mada ya msingi na wanahakikisha wanaweka comment nyingi iwezekanavyo huku kila moja ikiwa walau na mistari miwili.Lengo ni kuvuruga mijadala yote yenye mantiki na kuwafanya watu waanze kujadili mipasho badala la hoja na kisha kusababisha eidha uzi kufungiwa, au watu makini kukata tamaa ya kuendelea kuufuatilia.Wameamua kufanya hivi baada ya kuona kwamba kwenye kila mjadala makini wao wanakosa hoja za msingi za kuchangia.Pia hii kwa kiwango kikubwa husababishwa na uvivu wa kufikiri


Mimi nashangaa sana watu wanaoitetea CCM!!! wanashindwa kuja na hoja zenye nguvu za kushinda na badala yake wanaungana na CHADEMA kurushiana matusi na kuondoka kwenye hoja zenye tija!! Naamini Wana CCM wana mambo mazuri na mengi ya kuwashinda CHADEMA katika uzi huu kwa hoja!!

CCM ni chama kikongwe kimekomaa; CHADEMA ni chama kichanga kinachojaribu
CCM ni chama kilichojaribiwa na kuyaona menngi; CHADEMA hakina uzoefu wowote
CCM ni chama kilicholeta uhuru; CHADEMA ni chama kilicho leta siasa za maandamano na nguvu ya Umma
CCM ni chama kilicholeta siasa za shari; CHADEMA ni chama kilicholeta za uhasama
CCM ni chama kilichojenga umoja wa Watanzania; CHADEMA ni chama kilicholeta mgawanyiko wa Wabunge wa wapinzani
CCM kinaongoza serikali yenye kuheshimika kimataifa; CHADEMA kinaongoza upinzani Bungeni usioheshimika kwa wapinzani wenzao bungeni.
CCM kina miradi ya Kiuchumi; CHADEMA kinamtegemea Sabodo na Wadhamini wao tu
CCM chini ya Nyerere ilionyesha kuwa inaweza; CHADEMA chini ya Mtei ilikuwa inapumlia Mashine
CCM imeisha fanya mengi (Mabaya na Mazuri); CHADEMA haina mengi iliyokwisha fanya

Kama na mimi ningekuwa kwenye kundi la mikakati ya kujenga sura ya CCM, hapa (uzi huu) pangelikuwa ni sehemu nzuri ya kuwasambaratisha CHADOMO (lisemwalo) bila ya matatizo!!! jifunzeni jamani kuwa na hoja za kuvisaidia vyama vyenu!!!!!
 
Bavicha at its best.

Hapa na yeye amezama na homework na akapata majibu mbadala.

Kwa ufinyu wake kifkra akaona hapa ndipo mahali ambapo panafaa kutema utumbo wake wa bavicha mentality with chekechea thinking.

Hapa siyo mtaa wa Togo. Umekosea sehemu ya kupeleka hii homework yako. Hili ni jukwaa la watu wenye fikra pana, hekima na busara.

Even standard seven school leavers can do comparison better than this gabbage.

Pana kama zipi?

Referring to which? Ulikuwa na nafasi ya kupinga lakini hujafanya hivyo, badla yake umeishia kulalamika na ku attack tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom