yah lakini hiyo strategy inaonekana kuisaidia ccm kwa kuwa hata kipindi cuf imeshika hatamu za upinzani hapa nchini hii kitu pia ilitumika kuichafua cuf mpaka ikakosa umaarufu miongoni mwa wakristo wakiaminishwa kwamba cuf ni chama cha waislam,chama cha wapenda n.k. lakini ukweli ni kwamba cuf ni chama cha siasa tu na kimeendelea kuwa hivyo,ndio mana nasema viongozi wa cdm wasilikalie kimya hili,they have to do something kuondosha propaganda hii,wakikaa kimya na kujifanya eti hamna kitu kama hicho waislam zaidi watazidi kujiunga katika kuichukia cdm bila sababu