CHADEMA, uislam na waislam!

CHADEMA, uislam na waislam!

Status
Not open for further replies.
Tofauti ni kubwa CHADEMA NI CHAMA CHA KIKROSTO na kikanda pia ni wanafiki waislamu hawapendi unafiki na ukanda hivyo basi chadema hawawezi kukaa meza moja na waislamu wakaaminiana.
chama cha kikristo? kinaongozwa na askofu gani? au huelewi ukristu ni nini? na kikanda? au unataja kimeasisiwa wapi? madrassatulfaidhina yanakusumbua, je ili kisiwe cha kikanda inabidi kiasisiwe wapi? tanzania nzima? haiwezekani...hata wewe ni mtanzania lakini kuna specific place ulipozaliwa sio ulizaliwa tz nzima...wewe ni jua?
 
Katika uchaguzi wa 2010 zilichapishwa fulana kwa kuandikwa VOTE FOR PEDRO na watu kuzivaa makanisani. Kuvaa barghashia na kula nao futari pamoja haitoshi! kuna jambo zaidi la kufanywa nalo ni sera itakayozingatia mawazo yao.
 
ngoja niwasaidie watu wa chadema naona wenyewe hawataki kukisaidia chama chao,ni rahisi tu,naomba nikuulize ukiacha upadre wa slaa labda ni lipi tatizo la chadema kwa maslahi uislam na waislam?pengine tuanzie hapo
Kwa taarifa yako waislamu hawajawahi,hawatotishwa wala kujenga uoga na mtu wala kundi,hapa kinachozungumzwa ni watu wenye itikadi au imani ya kiislamu katika ushirikishwaji,kutambulika kama kundi lililo na mahitaji ,kujumuika pamoja kwenye harakati za kisiasa na kisera kwa chama husika.FULL STOP

Dini ya kiislamu ni ngumu sana kudeal nao kwani wanakuwa waislamu kwanza kabla hawajafikiria utaifa kwanza wengi wao wakati vyama vya siasa vinatakiwa kuwa vya kitaifa kwanza. Hii ndiyo maana madai ya waislamu imekuwa ngumu kushughulikiwa hasa na hao ccm wanaochonganisha wananchi. Kule kutaka chama fulani kishughulikie matatizo ya waislamu bila kuzingatia kuwa mambo yanayoshulikiwa yanaathiri vipi wananchi wengine kwa chama chochote ni kujitenga na dini zingine zinazoguswa na suluhu hiyo mfano mahakama ya kadhi. Waislamu wanataka chama fulani kitamke moja kwa moja kuanzisha mahakama ya kadhi. Ni kitu ambacho si rahisi kutekelezwa kwani upande wa pili pia hawapendi kuwepo mahakama hizo. Kinachobaki sasa ni waislamu kupewa ahadi za mdomo (lip service) na hii wana ushahidi nao tokea uhuru mpaka leo.
Hivyo basi tatizo kubwa liko kwa waislamu na bahati mbaya baadhi ya viongozi wa kiislamu wanaitumia hiyo fursa ya kutopatikana suluhu ya matatizo yao kujijenga kisiasa wakitumia kutokuwepo elimu na hata wao wenyewe kukosa elimu hiyo wanaaminiwa pasipo kutafakari kwa kina.
Waislamu wangekubali vyama vifanye kazi kwa sera za kuleta maendeleo pasipo kushughulika na mdai ya upande wowote wa kidini. Watu wakiwa na chama kizuri wakajijenga kiuchumi wanaweza kuendesha mambo yao ya kidini pasipo kutegemea msaada wa serikali.
Mimi naona sera za CDM zijikite kuwapa elimu waislamu hata kwa upendeleo maalum. Hii itakuwa na manufaa kwa taifa letu. Nchi zenye waislamu walioenda shule kama Singapore na Malaysia wameondokana na siasa hizi za maslahi ya kidini kuliko uarabuni kuliko na waislamu wasiojali elimu.
 
Hapo lazima lifanyike jambo kwenye hicho chama chenu,kwani hakuna hata jAmbo moja ambalo linaonesha kuwa kuna uislam na ya Chama,kwakua kila kitu kinachofanyika ni kama maagizo ya maasikofu na mapadrii,utakuta tamko la chama linaungwa mkono na kuandikiwa waraka kabisa,hii ni hatari tuepuka sana udini Tanzania kwani tunakoelekea sio pazuri,tuombe mungu atunusuru lakini pia watu wanapaswa kujirekebishA,ila hii Tanzania ya sasa kazi ipo!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nimewakejeli waislam wapi? Mkuu hizo ni propaganda mnazotumia nyinyi CCM nafikiri umeona ofisi zenu zinavyochomwa huko kusini lakini za CUF na CHADEMA hazijaguswa watu wameshawashtukia

Takuwekea hapa mabandiko yako ya kejeli dhidi ya Waislam bahati nzuri JF kuna kumbukumbu ya maandishi kila member.

Wewe si ndiyo unaandika humu Waislam wavaa mateneti, wavaa pedo, wanavizia wali wa itima, wanatembea na shanga mkononi huku wanahesabu. Kejeli nyingi tu umeandika humu.

Badilika hakuna mshindi kwenye vita vya dini.
 
Llsemwalo lipo kwani mwananchi wa kawaida ni ngumu sana kumtoa ktk propaganda hiyo mfano mikoa kama ya tanga,pwani nk nivyema m4c ikajikita huko kutoa elimu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Fafanua unaposema LISEMWALO LIPO tukuelewe, otherwise hiyo ni kauli pana sana na nyepesi mno
 
Hayo yaliletwa na
sultani kikwete kuitenganisha chadema na Uislamu lakini sasa yameanza
kumtokea puani Waislamu wa Mtwara wameshaligundua sasa wanampa za
USO

Chadema inaweza ikawa haina ubaya na waislam, lakini wewe, chokochoko zikianza labda ujifiche kwa swahiba wako Mohamed Mtoi
 
Ni vigumu sana kutofautisha chadema na kanisa, yapaswa kulifanyia kazi hili badala ya kubisha
 
Unaposema chama ni ngumu kutangaza itafanya nn kwa watu wa dini fulani si kweli. mbona CCM waliweka ktk ilani yao juu ya kuanzisha mahakama ya kadhi kwa waislamu? Na nikwambie ndugu yangu Kikwete kura nyingi sn za waislamu alizipata kupitia suala hilo ingawa hata hvy ameonesha kushindwa. Chadema sio lazima kuahidi ila inapaswa tu kuwa karibu na waislamu na hata waktisto pia na kusaidia ktk jambo ambalo halitakuwa na shida ktk umoja wa kitaifa.

Aliyewaahidi waislam mahakama ya kadhi alikua ni mkapa enzi akiwa mwenyekiti,kikwete alilikuta mezani na kutakiwa tu kutekeleza ilani ya chama chake iliyoandaliwa chini ya uenyekiti wa mkapa na mangula kama katibu mkuu na john malecela kama makamu mwenyekiti akisaidiana na amani karume,okey jk ameshindwa kutekeleza hilo na umaarufu wake kwa waislam umepungua,waislam wanamuona mkapa ndio kidume zaidi kwa kuwa aliwapa mpaka chuo kikuu cha kiislam na wanaamini angekua bado madarakani mahakama ya kadhi ingekua tayari muda mrefu,swali je cdm inao ubavu wa kuwapa waislam aina ya kadhi na mahakama zake kama walivyoahidiwa na mkapa?
 
Jambo la ajabu kuna diwani wa Chadema kwenye moja ya kata huko rufiji..Jambo jingine lakushangaza ni kuwa Zitto Kabwe ni muislamu..Ccm hawawezi kuongoza chi bila kuwagawa watu sasa viongozi wa kiislamu wale mashehe ubwabwa ndo wanaoharibiwa Ccm kama ilivyotokea kule Igunga mpaka leo Bakwata wameshindwa kuwaomba Watanzania radhi kwa ujinga wa matamko yao kule Tabora

Kwa nn iwe ni jambo la ajabu kwa Rufiji kuwa na diwani wa Chadema? Kwa vile ni waislamu wengi? Then, ni kwa nini iwe ni Jambo la kustaajabisha kwa Zitto Kabwe kuwa Muislamu? Kauli za hovyo kama hizo ndio zinaongeza kuwaaminisha waislamu kuwa kumbe muislamu kupata nyadhifa chadema ni Jambo la kushangaza na kustaajabisha ila kwa wengine ni jambo la kawaida kwa vile ni chama chao sio ndio? shame on you!
 
Ukiangalia ushiriki wa Dr slaa kwenye MOU,kauli ya Mchungaji Msigwa kule Iringa,Message zilizokisambazwa na kanisa wakati wa uchaguzi 2010,nk ni baadhi tu ukiitaji mengine utapewa.Ki ufupi waislam hawana imani kabisa na CDM hata kama kuna baadhi ya Waislam wako CDM.
 
Takuwekea hapa mabandiko yako ya kejeli dhidi ya Waislam bahati nzuri JF kuna kumbukumbu ya maandishi kila member.

Wewe si ndiyo unaandika humu Waislam wavaa mateneti, wavaa pedo, wanavizia wali wa itima, wanatembea na shanga mkononi huku wanahesabu. Kejeli nyingi tu umeandika humu.

Badilika hakuna mshindi kwenye vita vya dini.

Aliyeandika hapa huu upuuzi ni nani kama sio wewe!? Acha kukejeli dini za watu kwa maslahi yenu ya kisiasa, tena jiangalieni kwani hatutawavumilia tena kwa kauli zenu watu kama wewe Ritz, wewe kaa na dini yako tuache na dini yetu, uccm wako usiutumie kukashifu dini za watu, wananchi tumeshawajua kuwa mlikuja kwa gia ya kujifanya marafiki zetu katika dini na mkatutangazia uadui na vyama vingine, mmeingia madarakani tumewagundua ninyi ndo maadui wetu wakubwa na mlitutumia kama daraja la kuvukia uchaguzi wa 2010 leo yote mliyotuahidi hakuna zaidi ya vipigo, manyanyaso, kuwekwa selo n.k. hatudanganywi tena kwa sera zenu hzo, TUMESHAJUA MBIVU NA MBICHI. UAMUZI NI WETU. TUMESHAWAFAHAMU MARAFIKI NA MADUI ZETU. UAMUZI NI WETU
 
Last edited by a moderator:

Ndg zangu waislam, islam nduguye islam chadema ni adui mkubwa wa islam tanzania kumbuka walivyo mtendea dada yetu kule igunga walimnyanyasa sana walimfedhehesha sana lakini hawakuomba msamaha hivyo nakuombeni wewe uliye mwislam adui ya mwislam ni adui ya waislam wote.
 
Nadhani wenyewe mnajionea mkiwemo mods,hii ndio hali halisi ya waislam wengi wanachodhania kuhusu chadema,msikimbilie kufunga mijadala kama hii kwa kudhani itaiumiza chadema,hivi ndio tunaisaidia chadema kujua nini kilichomo mioyoni mwa waislam wengi japo sio wote nasisitiza,mfano ni huyu bwana ninaereply kwenye comment yake,sasa mtu kama huyu anapaswa kusaidiwa na chadema sio kubezwa na kukejeliwa and on top of that kufunga ama kufuta thread,that's nah gonna help either!

sihitaji kusaidiwa....kinacho hitajika ni CDM kubadilika....kioneshe ...mifano...kiwache kijinasibisha na kanisa ya ndani na nje...kiwe huru ....kifikra yanapotokea majibishano ya dini...na pia kuacha kutoa kashfa dhidi ya waislam....
hivyo sihitaji kusaidiwa ila wao ndio wajisaidie kujisafisha doa lipo na halitoki kirahisi..linahitaji uamuzi mgumu wa kubadilika kimawazo ..bado mna muda wa kutosha
 
Kwa taarifa yako waislamu hawajawahi,hawatotishwa wala kujenga uoga na mtu wala kundi,hapa kinachozungumzwa ni watu wenye itikadi au imani ya kiislamu katika ushirikishwaji,kutambulika kama kundi lililo na mahitaji ,kujumuika pamoja kwenye harakati za kisiasa na kisera kwa chama husika.FULL STOP

je chadema imehusika kwa namna yeyote ile kufanya dhulma kwa waislam na uislam kiasi cha waislam kuhisi na kuamini ushirikishwaji na utambulikaji wao kama kundi lenye mahitaji uko na utazidi kuwa mashakani kama cdm itapewa ridhaa ya kuongoza taifa hili?je chadema pengine imeonesha dalili zozote za kutotaka kuona watu wenye itikikadi au imani ya dini ya kiislam wanajumuika pamoja kwenye harakati za kisiasa na kisera ndani ya chadema?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom