CHADEMA, uislam na waislam!

CHADEMA, uislam na waislam!

Status
Not open for further replies.
haya ndio mambo,tuwekeeni wazi tuone kama chadema haina nia mbaya na waislam
 
kwa upande mungine na media nazo ni kama zinatumika kiaina kueneza propaganda hii kwa kuwa matukio ya viongozi wa chadema kwenye shughuli za kanisa yanapewa coverage kubwa mno wakati yale ya viongozi wa cdm kwenye maeneo ya waislam hayapewi coverage kiasi cha waislam kuamini kwa kuwa mara kwa mara wanawaona na kuwasikia zaidi viongozi wa cdm wakiwa wamefungamana na viongozi wa dini ya kikristo,nitatoa mfano wa tukio hili pichani lilivyolipotiwa karibu na kila media lakini matukio ya zile picha pale juu ni media za vichochoroni tu ndio zilicover na wengi wetu hatuwahi kuona hizi picha .....

Mh Mbowe na familia yake wakiwa wamesimama kwa ajili ya kupongezwa na viongozi mbalimbali wa kanisa

mh.mbowe akipewa baraka
 
usitafute sifa kupitia id yangu nakufahamu zaidi ya unavyo dhan .changia mada kama huwezi tuachie cc jf sio kwaajili ya cdm
Wewe huna lolote zaidi ya kupora visimu vya watu!!!!! halafu unataka ubunge??? ndio maana CDM wamekutimua nenda kaanzishe biashara nyingine na dada yako shoza masalia wakubwa nyinyi
 
Kuvaa kofia baraghashia na kupiga picha na waislam haitoshi hio cheap propaganda cha muhimu ni muhimu ni kufunguka ki sera na muelekeo
Bado kuna tatizo la kuamini malengo na nia ya CDM. Dhidi ya Waislam na uislam kwani hata zao ni za Mehemko kama ya kilokole so yaliyojificha ndani ya moyo zao ni makubwa kuliko yale wanayoengea wakivaa baraghashia kusanif waislam

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Nadhani wenyewe mnajionea mkiwemo mods,hii ndio hali halisi ya waislam wengi wanachodhania kuhusu chadema,msikimbilie kufunga mijadala kama hii kwa kudhani itaiumiza chadema,hivi ndio tunaisaidia chadema kujua nini kilichomo mioyoni mwa waislam wengi japo sio wote nasisitiza,mfano ni huyu bwana ninaereply kwenye comment yake,sasa mtu kama huyu anapaswa kusaidiwa na chadema sio kubezwa na kukejeliwa and on top of that kufunga ama kufuta thread,that's nah gonna help either!
 
Tofauti ni kubwa CHADEMA NI CHAMA CHA KIKROSTO na kikanda pia ni wanafiki waislamu hawapendi unafiki na ukanda hivyo basi chadema hawawezi kukaa meza moja na waislamu wakaaminiana.
 
Sera za Chama si kukaa na kula wali pamoja na jamii fulani,ni imani ya viongozi,sera za chama husika na misingi iliyojengeka katika chama na wanachama wake.
 
Wewe na kundi lako ndiyo mnawachafua Chadema kwa kuwakejeli Waislam.


Ningeshangaa sana kama husingechangia kwenye mada za hivi!!! Namuona na mwenzio Zomba kashajimwaga bado "wakata nyasi" wenzenu Tume ya Katiba na MAMA POROJO!!

Palilieni udini mpate mnachokihitaji ila.... ONE DAY YES!! Yatapigwa kiberiti kama Mtwara!!

Stide.
 
Chadema hakijawahi kuwatenga waislam au uislam kwa kuwa sio chama cha kidini bali cha watanzania wenye dini zao.
 
mods .kuweni makini nilisha sema sitaki mtu anifananishe na mtu mwingine.athibitishe kuwa mm ni mchage au kama vg apigwe bun.ananinyima uhuru wa kujadili
 
Sera za Chama si kukaa na kula wali pamoja na jamii fulani,ni imani ya viongozi,sera za chama husika na misingi iliyojengeka katika chama na wanachama wake.

ngoja niwasaidie watu wa chadema naona wenyewe hawataki kukisaidia chama chao,ni rahisi tu,naomba nikuulize ukiacha upadre wa slaa labda ni lipi tatizo la chadema kwa maslahi uislam na waislam?pengine tuanzie hapo
 
Kwa mtazamo wangu Waislamu waumini wa kawaida wala hawana tatizo na Chadema na Chadema haina tatizo na waislamu, wakristo au dini yoyote ile. Tatizo ni wale vocal muslims, akina Sheikh Ponda na wenzake wa Annuur na Radio Iman.

Hawa wangependa chama cha siasa kitangaze from day one kwamba chama kitafanya hivi kitafanya vile kwa manufaa ya waislam ndipo wakiunge chama mkono. Sasa kwa chama cha siasa ni makosa makubwa kupandikiza mbegu za udini kwa namna hiyo.

Waislam yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni waislam, bali kwa kuwa ni Watanzania kwanza. Wakristo yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni wakristo, bali kwa kuwa ni watanzania kwanza.

Chadema wanalijua hilo na ndio maana namna zao za kujenga mahusiano na makundi mbalimbali zinawabeba wote kama watanzania. Kama wadini hawaitaki Chadema, basi ni tatizo la wadini. Si la Chama.

Unaposema chama ni ngumu kutangaza itafanya nn kwa watu wa dini fulani si kweli. mbona CCM waliweka ktk ilani yao juu ya kuanzisha mahakama ya kadhi kwa waislamu? Na nikwambie ndugu yangu Kikwete kura nyingi sn za waislamu alizipata kupitia suala hilo ingawa hata hvy ameonesha kushindwa. Chadema sio lazima kuahidi ila inapaswa tu kuwa karibu na waislamu na hata waktisto pia na kusaidia ktk jambo ambalo halitakuwa na shida ktk umoja wa kitaifa.
 
Tofauti ni kubwa CHADEMA NI CHAMA CHA "Kikrosto" na kikanda pia ni wanafiki waislamu hawapendi unafiki na ukanda hivyo basi chadema hawawezi kukaa meza moja na waislamu wakaaminiana.


Za hasubuhi Mkuu!!?
 
tutazunguka sana around the bush lakini kiukweli ccm imechokwa.....ukiona hata vijijini ambako ndo mtaji wa
haya mafisadi nako imechokwa.....hongera mshua kwa kuua chama
 
ngoja niwasaidie watu wa chadema naona wenyewe hawataki kukisaidia chama chao,ni rahisi tu,naomba nikuulize ukiacha upadre wa slaa labda ni lipi tatizo la chadema kwa maslahi uislam na waislam?pengine tuanzie hapo

Dr. Slaa sio Padri! Matamko ya Maaskofu na kuishabikia sana Chadema hapa ndipo upande wa Waislamu uli ingia mashaka na Chama hiki!
 
Jambo la ajabu kuna diwani wa Chadema kwenye moja ya kata huko rufiji..Jambo jingine lakushangaza ni kuwa Zitto Kabwe ni muislamu..Ccm hawawezi kuongoza chi bila kuwagawa watu sasa viongozi wa kiislamu wale mashehe ubwabwa ndo wanaoharibiwa Ccm kama ilivyotokea kule Igunga mpaka leo Bakwata wameshindwa kuwaomba Watanzania radhi kwa ujinga wa matamko yao kule Tabora
Wewe ndio punguani kabisa sasa kuwa na diwani Rufiji na Zitto ndio unajenga imani kuwa Chadema ni chama chenye mahusiano mema na waislamu? Huyo Zitto ana amani gani katika nafasi yake Chadema? hivi nikikuambia kwamba Chadema inaongozwa na Padri na utakubaliana na mimi ni kuwa ni chama cha kikatoliki? Jenga hoja ya kupinga ama kukubali na sio kejeli hapa tayari umeshawaita masheikh ubwaga halafu unakataa kuwa Chadema viongozi au wanachama wake wewe ukiwa miongoni mwao unauchukia uislam.
 
tutazunguka sana around the bush lakini kiukweli ccm imechokwa.....ukiona hata vijijini ambako ndo mtaji wa
haya mafisadi nako imechokwa.....hongera mshua kwa kuua chama

Mkuu rudi kwenye mada acha matamanio ya nafsi!
 
Jambo lingine ambalo linaonesha waislamu kuwa mbali kidogo na chadema ni nafasi ya Dr. Slaa ktk kanisa. Yeye ni Padri. Unadhani kwa nafac hiyo waislamu watachukulia poa hivyo? Chukulia Sheikh Alhadi Musa Salum wa Mkoa wa DSM anayekubalika na Waislam wengi agombee urais halafu padri fulani yupo chama kingine ww mkristo bila unafki utamchagua nani? Mm ni mwanachadema ila tukubalitukatae udini hivi sasa umetawala sn ktk nchi yetu. chanzo cha tatizo hili ilikuwa ni uchaguzi wa 2010 hasa ktk kampeni chafu za CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom