CHADEMA, uislam na waislam!

CHADEMA, uislam na waislam!

Status
Not open for further replies.
Naichukia CHADEMA kuliko kitu chochote Duniani, na ndio maana huku Zanzibar watu hawana habari kabisa na Chama hich, 99.9% ya Wazanzibar imani yetu ni kwamba CHADEMA ni Kanisa na Kanisa ni CHADEMA na huo ndio UKWELI wenyewe!
 
Hili la waislam linaigharimu sana chadema,ingewatumia watu kama prof safari,zitto bin zubeir,mzee said arfi n.k kuanzisha mazungumzo rasmi na viongozi wa makundi ya kiislam,litaisha tu,wakiliweza hili njia ya ikulu nyeupe,maana ccm hawatakua na ujanja mwingine maana la ukabila na ukaskazini linaonekana kuondoka,walivalie njuga hili,linazungumzika tu,chadema kama mliweza kuwa chama pekee kilichoikubali CUF licha ya propaganda kwamba cuf ni chama cha wapemba waislam hili la kuanzisha mazungumzo na mashirikiano ya karibu na taasisi za kiislam zenye kutetea na kulinda maslahi ya waislam linawashinda kweli?!wafuateni muyajue manung'uniko yao kwa serikali zote za ccm then muangalie namna bora zaidi ya kushirikiana nao wajiunge na timu ya ushindi
 
Haya nasikia Geita huko Chadema inatajwa na kunyooshewa kidole na waislam kwamba inao mkono kwenye kushawishi wakristo wakatae kuchinjiwa na waislam1inwezekana sio kweli lakini maadui wa chadema wanapata loophole ya kupenyeza propaganda kutokana mpasuko na sintofahamu iliyokuwepo tayari kati ya waislam na chadema,viongozi na wanachadema kiujumla amkeni,bado nafasi mnayo ya kushughulika na mpasuko huu wa waislam,uislam na chadema
 
Haturudii kosa na wala hatudanganyiki. nyie kuleni umbwabwa wenu na hao mashehena ubwabwa yenu.
halafu nikuulize swali we mleta hii thread, nani kakuambia kuwa uislam ni kanzu na kofia?

mshikaji umeamua kuwapa live bila simile, du! kweli mmedhamiria.
 
hiii dhana huenda inaukweli kiasi fulani, ukiangalia misukosuko anayoipata Zitto ndani ya cdm, pamoja na juhudi na kujitolea kwake lakini hathaminiwi wala haaminiwi ndani ya cdm.
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hii ni dhana hatari sana na Kama inaukweli basi itakuwa vigumu sana kwa CDM kukonga nyongo za waislamu. Waislamu ni wapiga kura sana na kila muislam anaamini kuwa religion is the way of life, kwa hiyo hata kupiga kura na kushiriki katika siasa ni ibada, hakuna utenganisho kati ya dini na siasa. Kwa hakika Kama CDM watakosa kura za waislamu wengi basi nachelea kusema 2015 kuingia IKULU itakuwa ni ndoto.
 
Naichukia CHADEMA kuliko kitu chochote Duniani, na ndio maana huku Zanzibar watu hawana habari kabisa na Chama hich, 99.9% ya Wazanzibar imani yetu ni kwamba CHADEMA ni Kanisa na Kanisa ni CHADEMA na huo ndio UKWELI wenyewe!
mi nlifikili nyie wagunya mmelegea miili tu kumbe hata akili ni legelege
 
hiii dhana huenda inaukweli kiasi fulani, ukiangalia misukosuko anayoipata Zitto ndani ya cdm, pamoja na juhudi na kujitolea kwake lakini hathaminiwi wala haaminiwi ndani ya cdm.
2010 ccm/usalama walitumia nafasi yao kuwaaminisha waislam kuwa cdm ni chama cha kikristo, vipeperushi na nyaraka feki za katoliki/vatican vilitumika kuigandamiza cdm...hali ngumu ya maisha haina dini,wizi wa mali zetu hauna dini...uhuru wa dini ni wa kikatiba..mbinu hii ya kutumia dini inaanza kuligharimu taifa,muflisi wa kisiasa hili ndo kimbilio lao, wakienda kwa waislam ni propaganda/porojo za udini wa cdm... na wakija makanisani wanamwaga mamilioni ya michango bila maelezo(maana kanisani ukiongea pumba utaulizwa/hojiwa)... tuwakatae.
 
Last edited by a moderator:
Naichukia CHADEMA kuliko kitu chochote Duniani, na ndio maana huku Zanzibar watu hawana habari kabisa na Chama hich, 99.9% ya Wazanzibar imani yetu ni kwamba CHADEMA ni Kanisa na Kanisa ni CHADEMA na huo ndio UKWELI wenyewe!
Ni mtazamo wako, imani yako na UKWELI wako mkuu. kimbunga kinakuja...
 
Kwa mtazamo wangu Waislamu waumini wa kawaida wala hawana tatizo na Chadema na Chadema haina tatizo na waislamu, wakristo au dini yoyote ile. Tatizo ni wale vocal muslims, akina Sheikh Ponda na wenzake wa Annuur na Radio Iman.

Hawa wangependa chama cha siasa kitangaze from day one kwamba chama kitafanya hivi kitafanya vile kwa manufaa ya waislam ndipo wakiunge chama mkono. Sasa kwa chama cha siasa ni makosa makubwa kupandikiza mbegu za udini kwa namna hiyo.

Waislam yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni waislam, bali kwa kuwa ni Watanzania kwanza. Wakristo yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni wakristo, bali kwa kuwa ni watanzania kwanza.

Chadema wanalijua hilo na ndio maana namna zao za kujenga mahusiano na makundi mbalimbali zinawabeba wote kama watanzania. Kama wadini hawaitaki Chadema, basi ni tatizo la wadini. Si la Chama.

Unaposema vocal muslims ponda na wenzake unakosea sana waislamu wana haki ya kusemewa na muislamu yeyote na hasa inapokuja dhulma dhidi ya waislam dhidi ya mfumo kristo na bakwata ambayo ni CCM B
Nakubaliana na hoja ya chadema kuwa na mahusiano mema na waislamu na ninaamini waislamu wengi bado wanahitaji ukombozi dhidi ya utawala huu wa ccm lakini pia CHADEMA inatakiwa iwahakikishie waislamu pia si chama cha maaskofu na wachungaji kama walivyofanya kwenye picha hapo juu
 
Kwa mtazamo wangu Waislamu waumini wa kawaida wala hawana tatizo na Chadema na Chadema haina tatizo na waislamu, wakristo au dini yoyote ile. Tatizo ni wale vocal muslims, akina Sheikh Ponda na wenzake wa Annuur na Radio Iman.

Hawa wangependa chama cha siasa kitangaze from day one kwamba chama kitafanya hivi kitafanya vile kwa manufaa ya waislam ndipo wakiunge chama mkono. Sasa kwa chama cha siasa ni makosa makubwa kupandikiza mbegu za udini kwa namna hiyo.

Waislam yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni waislam, bali kwa kuwa ni Watanzania kwanza. Wakristo yapaswa wakiunge mkono Chadema si kwa vile wao ni wakristo, bali kwa kuwa ni watanzania kwanza.

Chadema wanalijua hilo na ndio maana namna zao za kujenga mahusiano na makundi mbalimbali zinawabeba wote kama watanzania. Kama wadini hawaitaki Chadema, basi ni tatizo la wadini. Si la Chama.

Pia wengi wetu humu JF ni wadini hatari na huwa tunatoleana maneno machafu na kukashifiana kidini na hili hujionyesha kwa wengi ambao ndio wafuasi wa CDM humu,kusema ukweli hili huwa linaleta taswira mbaya na kuwafanya baadhi waamini udini ktk CDM. Angalizo:
Tujenge nidhamu na kuheshimiana kama ndugu moja na tutoe elimu kwa wale wanaopenda maendeleo kwa maslahi ya Taifa zima.
Pia tuache kashfa za kidini kwani mwisho wa siku hazitatupeleka tunakotegemea milele.
Tuige mfano wa nchi ambazo ziliamua kwa pamoja kuleta mabadiliko na zikaweza
 
ivi huwamnasikia raha sana kujadili udini, wapuuzi wakubwa ninyi msio hata na chembe ya aibu,mnashindwa kujadili mambo ya msingi kama maisha magu,elemu duni,uchumi,ukosefu wa madawa na pembejeo, mnaleta pumbazenu nendeni mkajadili na familia zenu shwaini! Mmeniharibia siku!
 
MPEMBA..Acha kuipotosha akili yako na watanzania kuwa chadema ni kanisa .CHADEMA imesajili nchini kuwa chama cha siasa na hata nafsi yako inashuhudia jinsi chama hiki kilivyo na mchango mkubwa katka suala Democrasia na utawala bora. wapo wafuasi lukuki wa chama hiki ambao ni waislam. wewe ni miongoni mwa watu wachache ambao wanaeneza propaganda zisizo na tija kwa taifa letu.
 
Pia wengi wetu humu JF ni wadini hatari na huwa tunatoleana maneno machafu na kukashifiana kidini na hili hujionyesha kwa wengi ambao ndio wafuasi wa CDM humu,kusema ukweli hili huwa linaleta taswira mbaya na kuwafanya baadhi waamini udini ktk CDM. Angalizo:Tujenge nidhamu na kuheshimiana kama ndugu moja na tutoe elimu kwa wale wanaopenda maendeleo kwa maslahi ya Taifa zima.Pia tuache kashfa za kidini kwani mwisho wa siku hazitatupeleka tunakotegemea milele.Tuige mfano wa nchi ambazo ziliamua kwa pamoja kuleta mabadiliko na zikaweza
Tuko pamoja, cdm hapa jf tuache kashfa za kidini hazitusaidii, zaidi zinawasaidia watawala ambao hatujui wanawalisha nini ndugu zetu ktk suala zima la udini na cdm...nb:huwezi muita Dr Slaa kuwa ni Mkristo kwani hakuna Mkristo mwenye wake 2 duniani..
 
2010 ccm/usalama walitumia nafasi yao kuwaaminisha waislam kuwa cdm ni chama cha kikristo, vipeperushi na nyaraka feki za katoliki/vatican vilitumika kuigandamiza cdm...hali ngumu ya maisha haina dini,wizi wa mali zetu hauna dini...uhuru wa dini ni wa kikatiba..mbinu hii ya kutumia dini inaanza kuligharimu taifa,muflisi wa kisiasa hili ndo kimbilio lao, wakienda kwa waislam ni propaganda/porojo za udini wa cdm... na wakija makanisani wanamwaga mamilioni ya michango bila maelezo(maana kanisani ukiongea pumba utaulizwa/hojiwa)... tuwakatae.
Nipo pamoja nawe... Umeniwahi... Unakumbuka moja ya hoja ya mahakama kutengua ubunge wa mshindi kule Igunga ni CCM kutumia viongozi wa kiislamu kuwashawishi waumini wasimpigie kura Mgombea wa CHADEMA,kwa mtazamo wa kidini na chuki pandikizi... Full propaganda..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom