CHADEMA tv

safiiii sana,kweli maoni ya wanaJf yanazingatiwa kwani nakumbuka niliwahi kuto maoni kwa CDM juu ya hili na nimefurahi kusikia limeanza

mungu ibariki Tanzania
 
Chadema tv ya nn? Wakati already jamii forum ni yenu and inawafikia wananchi wengi tu tz
 
ni jambo jema sana maana vyombo vingi vya habari vinaficha ukweli kuhusu mambo flani maana wanahofia kufungiwa
 
kwa hilo jina sijui kama watapata masafa labda wajiite tanzania daima tv.

ndiyo maana kuna umuhimu wa kuangalia pia maana halisi ya majina ya vyama vya siasa kwa mfano.....Chama Cha Mapinduzi (ccM)wanapindua nini?.....wanapindua reaslimali za taifa kuwa za mafisadi?......halafu kinaitwa chama cha wakulima na wafanyakazi kivipi wakati wafanyakazi wananyongwa kupitia kodo kubwa iliyokithili na inayosababishwa na uvivu wa kufikiri wa watawala wetu...cha wakulima kivipi wkt wanapandisha bei kipindi cha kampeni tu ili wapate kura?...........Chama Cha Magamba (CCM), Chama Cha Mafisadi (CCM)-all are meaningless...........kUNA majina mazuri bana....Mfano Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHANDEMA)-vey meaningful...kwa hiyo vyama vingine tunapochagua na haviteni km tunavyotaka kn CCM ni matokeao ya kutofuatilia itikai zao kikamilifu.......................
JAMANI ONDOKENI KWENYE MAPINDUZI YA RASILIMALIU, ONDOKENI KWENYE MAFISADI, ONDOKENI KWENYE MAGAMBA NJOONI KWENYE MAENDELEO NA DEMOKRASIA YA KWELI...AU NINYI HAMTAKI JAMANI?...MUNGU AWAPE NINI SANA....,AGAMBA ZAIDI?.....MAFISADI ZAIDI.....MAPINDUZI ZAIDI? SEMENI HAPANA INATOSHA
 
Sas hiyo TV itakuwa inaonesha nini? Birthday ya Mbowe na Slaa anapokula chakula? Au harakati za Sugu na nyimbo za matusi wakati Mbeya inateketea kwa umaskini? Au kelele za Tundu Lissu bungeni? Itaonesha nini hasa?
 
Iyo safi xana,kama sera na maadili ya cdm ni ukweli m2pu na haki pia uhuru,natumaini hata chanel hy itaendshwa kwa mfumo huo
 
Sas hiyo TV itakuwa inaonesha nini? Birthday ya Mbowe na Slaa anapokula chakula? Au harakati za Sugu na nyimbo za matusi wakati Mbeya inateketea kwa umaskini? Au kelele za Tundu Lissu bungeni? Itaonesha nini hasa?
<br />
<br />

Nimeona kama kuna neno 'news' kwenye hii 3ed hapo juu, bila shka ni habari.
 
Sas hiyo TV itakuwa inaonesha nini? Birthday ya Mbowe na Slaa anapokula chakula? Au harakati za Sugu na nyimbo za matusi wakati Mbeya inateketea kwa umaskini? Au kelele za Tundu Lissu bungeni? Itaonesha nini hasa?

Kuna hoja ya msingi against this TV lakini mbona hata huizungumzii? Hebu na wewe tumia brain bwana. Khaa!!!
 
let me think out of the box and loudly...

Hii walioanzisha ni television au ni channel kama za u-tube ambazo ni lazma uwe na access to internet ili uweze kuona chadema channel....

swali lingine.. ni watanzania wangapi wanaotumia internet kama sie kidogo tuliopita shule na kuajiriwa kwenye maofisi yanayolipia huduma za net kwa ajili ya kazi zao na sie kwa ufisadi wetu tunafungua mambo mengine ya ajabuajabu... Je hiyo tv hapo igunga wanaiona ili mkuu kashindye apate kura za kutosha???

Hitimisho...chadema mmeanza vizuri ila mmeenda njia isiyotakiwa..anzisheni tv kama za kina mengi na wengineo..sio net-tv kama hii...

Pipoooozzzz...pawaaaaaaa
 
Chadema tv ya nn? Wakati already jamii forum ni yenu and inawafikia wananchi wengi tu tz
Wananchi wengi ni wangapi??? Kama mpaka leo hujajua kazi ya TV na tofauti kati ya TV na JF basi kaaaaz kweli kweli. Magamba bado mnapambana kwa kwa kutumia silaha za jadi. fwaten nyayo acheni kubeza mafanikio ya cdm. Kwa mikakati hii ya CDM wallah, 2015 magamba nchi hii mtatukabidhi tu.
 
Sas hiyo TV itakuwa inaonesha nini? Birthday ya Mbowe na Slaa anapokula chakula? Au harakati za Sugu na nyimbo za matusi wakati Mbeya inateketea kwa umaskini? Au kelele za Tundu Lissu bungeni? Itaonesha nini hasa?
Kwani TV nyingine huwa zinaoneshaga nini??? Hii TV haijaanzishwa kwa kukurupuka kama unavyodhani. we subiri na jiandae kutumia muda wako mwingi tu katika kujuzwa mambo muhimu ya nchi yako.
 
let me think out of the box and loudly...

Hii walioanzisha ni television au ni channel kama za u-tube ambazo ni lazma uwe na access to internet ili uweze kuona chadema channel....

swali lingine.. ni watanzania wangapi wanaotumia internet kama sie kidogo tuliopita shule na kuajiriwa kwenye maofisi yanayolipia huduma za net kwa ajili ya kazi zao na sie kwa ufisadi wetu tunafungua mambo mengine ya ajabuajabu... Je hiyo tv hapo igunga wanaiona ili mkuu kashindye apate kura za kutosha???

Hitimisho...chadema mmeanza vizuri ila mmeenda njia isiyotakiwa..anzisheni tv kama za kina mengi na wengineo..sio net-tv kama hii...

Pipoooozzzz...pawaaaaaaa

According to Regia mtama wapo kwenye tararibu za maombi ya masafa marefu.
 
CDM bana wana Website wanasema wana TV hata unashindwa kuelewa, cha ajabu Pro-CDM wote wanakubaliana eti wana TV wakati hawana
 
Back
Top Bottom