CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

Masa nijibu huyu mtu anafaa kivipi? au kwa vile ni member wa JF? Akijitokeza mmoja wao na akareveal kwamba yeye ndio Maralia Sugu wa JF tutafanyaje? tutarusha shilingi juu nini?

Ninafahamiana na William in real life achana na JF hizi pen name
 
akipata asitukimbie tu humu maana wengiwao wanatuchungulia tu kidogo hao mbio
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa
Ook OK...........

Much as my mind is still twisted kwenye hili la William, ninalazimika kumuunga mkono kwani tulishawahi kuongea na nikadhani umenielewa

I rest my case, sintacomment negative tena kuhusu my observations, afterall i can vote so niko irrelevant :high5:
 
Ninafahamiana na William in real life achana na JF hizi pen name

Kumbe na wewe tukikupa uongozi utajaza dungu zako, maana jamaa wote unaofahamiana nao utawapigia debe. Teh teh teh teh.
 
Huu uhuni kuita binadamu shetani, huo ujasili unatoka wapi?

Kwasababu matendo mabaya yote ya SHETANI hupitia kwa binadamu. Hivyo kwangu mimi BINADAMU yeyote aliyefisadi pesa yetu na kufanya >5 yrs children kufa kwa kukosa antimalarial drugs, Akina mama Waja wazito kufariki kwa kukosa huduma ya uzazi, Wananchi kufa kwa njaa kwasababu CHAKULA cha msaada kimekwenda Igunga, Arumeru kuhonga wapiga kura .... the list goes on. Mimi BINADAMU wa aina hiyo ninapata ujasiri wa kumuita SHETANI.
 
Masanilo watu hawakuelewi. Baba wa Taifa aliishawahi sema CCM ni chama kikubwa sana kinavutia viumbe wa aina mbalimbali. Kuna magugu maji na kuna samaki, Kama tukikosa choice kabisa na kuambiwa kuwa tutie mkono na kuchukua kimoja, basi ninamfananisha William na Samaki wengine magugumaji. Nina imani kuwa William hagombee ubunge ili kuishi bali anagombea ubunge ili ku-serve.

Wanachadema mnapopewa option ya kuchagua mmoja ndani ya CCM basi huyo anatakiwa awe William, ila kama mnatakiwa kuchagua mmoja ndani ya vyama vya siasa basi huyo anatakiwa kuwa mgombea wa CDM. Kwa kuwa uchaguzi huu utashirikisha wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano bila kujali itikadi zao basi ni dhahiri wale wa CDM bungeni wampatie William. Ila wanapochart nae nje ya bunge siku ya uchaguzi wamwambie kuwa atoke kwenye tenga la samaki waliochina (CCM) maana sooner or later na yeye atachina.
 
A mtotpo wa kiongozi aliyewahi kuwemo kwenye seriksli zote tatu ana akili timamu.
Wote baba zao wameliibia taifa kwa hiyo hawawezi kuazcha kuwalinda baba zo.
 
Kwasababu matendo mabaya yote ya SHETANI hupitia kwa binadamu. Hivyo kwangu mimi BINADAMU yeyote aliyefisadi pesa yetu na kufanya >5 yrs children kufa kwa kukosa antimalarial drugs, Akina mama Waja wazito kufariki kwa kukosa huduma ya uzazi, Wananchi kufa kwa njaa kwasababu CHAKULA cha msaada kimekwenda Igunga, Arumeru kuhonga wapiga kura .... the list goes on. Mimi BINADAMU wa aina hiyo ninapata ujasiri wa kumuita SHETANI.

Ni kweli matendo mabaya ni ya shetani,
Lakini na wewe unakubali kuwa ni pia ni shetani pia? coz for sure 100% na wewe unatenda matendo ya shetani.
 
A mtotpo wa kiongozi aliyewahi kuwemo kwenye seriksli zote tatu ana akili timamu.
Wote baba zao wameliibia taifa kwa hiyo hawawezi kuazcha kuwalinda baba zo.

Kuwa objective bro! Hujanielewa pole Ringo
 
Kwanini asiendelee na kazi yake ya ubaharia au uvuvi ambayo amesomea kabisa?

kuna samaki wengi sana bahari ya hindi hawajavuliwa mpaka wachina wanakuja kutuibia. Hii ingetuongezea ajira pamoja na kipato kuliko huko alikokimbilia kuua taaluma yake.
 
Karibu! Jifunze kuwa objective bro

Ha ha ha
sawa bro, kuna mdau kakuuliza umwambie kwanini unafikiri kama unavyofikiri ila wewe kama mdau ukasema unamfahamu sasa hii haiwashawishi wasiofahamu na wasiokufahamu, inaweza washawishi wanaokufahamu na kukuamini. Teh teh teh

Hata ki ccm, unapinga kweli bajeti kwa mbwembwe harafu mwisho unasema naunga hoja bajeti ipite. Teh teh teh
 
Hivi huyo jamaa amefanya nini kwa Tanzania hii mpaka tumpe kipaumbele namna hiyo? Nimepitia sredi nzima na wengine wameuliza hili swali lakini majibu ni 'member wa jf, namfahamu sana etc'. Hii ni kama walivyomnadi JK kwa propaganda za 'chaguo la mungu , mtu wa watu etc' bila kueleza alishalifanyia nini taifa.

Lini watanzania tutaanza kujifunza kwamba mtu huwa anajinadi kwa matendo yake? At least angekuja na mikakati aliyonayo labda ningeweza kuelewa, lakina sasa naona ni kama mtu anaehangaikia tumbo tu na kutafuta msaada wa jf katika hilo.
 
Ninafahamiana na William in real life achana na JF hizi pen name

Kwa hiyo unataka tumuunge mkono kwa vile mnafahamiana naye tu? We ni Masalanilo kweli au umehijck password yake?
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa

Mkuu upo kwenye kampein eeh!
 
Ook OK...........

Much as my mind is still twisted kwenye hili la William, ninalazimika kumuunga mkono kwani tulishawahi kuongea na nikadhani umenielewa

I rest my case, sintacomment negative tena kuhusu my observations, afterall i can vote so niko irrelevant :high5:

Masanilo unajua mambo unayoandika humu leo binafsi sikuelewi, au umepandwa na malaria kichwani?
 
Back
Top Bottom