Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,380
Rev. vipi umeshakatiwa kitu kidogo kwa ajili ya kupiga debe??? Ni vema CDM tusiendekeze na tusi-support sana mfumo wa kifalme katika nchi yetu.
Labda Kakatiwa, maana hata cheo cha uchungaji kakitoa
Rev. vipi umeshakatiwa kitu kidogo kwa ajili ya kupiga debe??? Ni vema CDM tusiendekeze na tusi-support sana mfumo wa kifalme katika nchi yetu.
Masa ni wazi baadhi ya wajummbe hawajakuelewa ama hawajaelewa naamna wabunge wa EA wanapatikanaje!
Sijaelewa kwa msimamo wao inamaanisha wabunge wa CDM wasipige kura.
Otherwise am in support of WM a.k.a. Baharia au mzee wa site 'Makongoro Nyerere'

Shukran mkuu wangu umeeleza vizuri sana na ndio maana William alikwenda ku lobby kwa wabunge wa CCM, Chadema na vyama vingine hivyo kabla ya chama au mbunge kuahidi kura yake kwa mgombea huyu ni lazima chama kiweke masharti yao na vipi mgombea huyu atasimamia sera zao kuhusiana na jumuiya hii. Ikumbukwe tu ni sisi tunaowatuma wabunge hawa kutuwakilisha hivyo ni jukumu la wabunge wa Chadema kuweka wazi kile wanacho simamia ktk mahusiano ya Jumuiya ya EAC kwa kila mbunge atakayekuja kuomba ridhaa yao - atakaye appeal kwao ndiye atapewa kura zao.Hata mimi ninashindwa kuelewa uelewa wa watu wengine hapa JF. Hao wagombea wa CCM wa ubunge wa EAC hawatashindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya upinzani including chama shirikishi cha CUF, watashindanishwa wao kwa wao (CCM) na wanatapigiwa kura na wabunge wote wa JMT, including wabunge wa CDM.
Ndipo linapokuja suala JE kura za wabunge 49 wa CDM ziende wapi kati ya hao 9. Kumbuka CDM kwenye Bunge they are minority, lakini kama watapiga KURA as a GROUP watakuwa na say ya kuamua nani awe mbunge wa EAC kutoka CCM. Kumbuka hata USA minorty eg. Black American, Spanish and Jews ndiyo huamua nani awe Rais wa US because wao wanapiga kura as a GROUP.
Hivyo basi CDM wana option mbili wapige kura kuchangua miongoni mwa CCM au wasipige kura kabisa. Lakini lazima wabunge hao 3 watatoka CCM. Kama ungekuwa wewe ungechagua nini?
Hata mimi ninashindwa kuelewa uelewa wa watu wengine hapa JF. Hao wagombea wa CCM wa ubunge wa EAC hawatashindanishwa na wagombea kutoka vyama vingine vya upinzani including chama shirikishi cha CUF, watashindanishwa wao kwa wao (CCM) na wanatapigiwa kura na wabunge wote wa JMT, including wabunge wa CDM.
Ndipo linapokuja suala JE kura za wabunge 49 wa CDM ziende wapi kati ya hao 9. Kumbuka CDM kwenye Bunge they are minority, lakini kama watapiga KURA as a GROUP watakuwa na say ya kuamua nani awe mbunge wa EAC kutoka CCM. Kumbuka hata USA minorty eg. Black American, Spanish and Jews ndiyo huamua nani awe Rais wa US because wao wanapiga kura as a GROUP.
Hivyo basi CDM wana option mbili wapige kura kuchangua miongoni mwa CCM au wasipige kura kabisa. Lakini lazima wabunge hao 3 watatoka CCM. Kama ungekuwa wewe ungechagua nini?
ngekuwa vyma kama ungemshauri atoke huko ccm aje chadema.......hii adabu ya siku mbili haijanishawishi huyu jamaa kuingia chadema
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia
Best wishes Malecela JNR
Rt Rev Masa

Bangi za ukubwani zinamsumbuwa huyo, angejuwa CCM walivyo na roho mbaya na kuwata Mapamnga wabunge wetu wa Mwanza na kumuhujumu Lema ili asiwe Mbunge huwezi kusimama mbele ya wanaume rijali kuja kuongea mambo ya kuisaidia CCM. Nampa ushauri huyu mchungaji Masanilo ambaye nahisi ametengwa na kanisa kwa kufuja sadaka za waumini aizingatie kauli ya George Bush isemayo Stand with us or stand with our enemy side.Nani amekuambia CHADEMA hawana Mgombea EA?
Wacha wafu wakabebane wenyewe!