CHADEMA tumuunge mkono W Malecela

Fikirini mbali wazee nje ya box! Bunge zima litachagua 3 Kati ya hao tisa! Upinzani tuna nafasi moja hamjui hata local politik?????
 
Kama William ni jasiri kweli mwache ajisemee mwenyewe, wewe unawezaje kujua anachofiria? CDM sio kimbilio la walioshindwa CCM, anatakiwa mtu ajitose sasa hadharani na kuunga mkono harakati za ukombozi wa Taifa letu, na si mtu kusubiri mtu mwingine amsemee.
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa

asisubiri wanzake wamenyeke kutoa elimu ya uraia nchi nzima kwa gharma ya kukatwa mapanga na mashoka, yeye aje mwishoni kama promota wa ngumi don king. kama unadhani, na yeye anatambua quality unazomsifia kuwa nazo, hapaswi kuwa kwenye chama ambacho mama yake anawatusi hao wenye quality za kuikomboa nchi (chadema) naye ameshaweka tayari rekodi ya kuwashambulia chadema. asituzuge.
 
Kama William ni jasiri kweli mwache ajisemee mwenyewe, wewe unawezaje kujua anachofiria? CDM sio kimbilio la walioshindwa CCM, anatakiwa mtu ajitose sasa hadharani na kuunga mkono harakati za ukombozi wa Taifa letu, na si mtu kusubiri mtu mwingine amsemee.

Ni kweli mkuu, chadema siyo kimbilio la ccm failier.
 
Pongezi kwa Kazi nzuri ya Arumeru, Kirumba, Lizaboni na Kiwira. William Malecela anajitaji kura za CDM awaze kuwa Mbunge wa EA. William ni mwanaCCM Aliye huko kimakosa anaweza simamia taifa kulikouCCM, ni msikivu na pamoja na mapungufu yote alonayo Mimi naona ni bora kuliko hao Tisa wengine nidhamu ya CCM. Sintoshangaa William siku moja akija CDM Chama makini aungane na wengine kuleta mabadiliko ya kweli. Ninaamini hata hoja za CDM baharia atazisimamia

Best wishes Malecela JNR

Rt Rev Masa

Kwani anapeleka hoja zipi za CDM kuhusu EAC?
 
Fikirini mbali wazee nje ya box! Bunge zima litachagua 3 Kati ya hao tisa! Upinzani tuna nafasi moja hamjui hata local politik?????

kama niivyo mchungaji then wajichague wenyewe, kwa nini CDM ihusishwe? Kwanini baadaye tuje kupeana lawama?
Kila mtu afe na mzigo wake.
 
Hata tumuunge mkono na mguu, bado kama hana FEDHA ya kuwahonga wapiga kura hatapata huo ubunge. Mkuu umesahau kuwa ndani ya CCM sifa ya kwanza ni mkwanja na ya mwisho ni uwezo wa kutenda kazi. Mwenzie Siyoi katumia 200M za familia halafu kaangukia pua sasa jamaa najua kwao zile za Jeetu Patel zilishaisha asije kuitia hasara familia, za ubaharia hazitoshi kugombania nafasi ya ubunge ndani ya CCM.
 
Nilifikiri amekatika mkono!! kumbe ni wewe kimba la kijani na mwenzio nanga boy! mambo ya ushosti ya mademu nendeni cuf.
 
Hapa lazima tukubari UKWELI tu, ni kwamba tumeletewa mashetani 9. Na kati ya hayo MASHETANI lazima tuchague MASHETANI 3. Yaani lazima wabunge wa EAC 3 watoke CCM. CDM kama chama chenye wabunge kura zao wampigie nani? Ndiyo maana Masanilo anashauri KURA za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele kwasababu yeye ndiye ZIMWI LITUJUALO (sisi JF), hata kama hawezi kututetea lakini kama mwa JF mwenzetu anaweza kuwaambia hata MASHETANI wenzake kwamba jamani JF wanasema hivi na vile, na pia anaonekana kuwa the least SHETANI

Kwa hoja hiyo nami napendekeza kura 49 za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele. Mnyika, Zitto, Mdee, Nassari, please take this seriously.
 
Huu uhuni kuita binadamu shetani, huo ujasili unatoka wapi?
 
Wakuu !

Nimeangalia kwa mapana William yuko kimakosa sana CCM! Pamoja na mapungufu yake wabunge waCDM wamuunge mkono kuliko mCCM mwingine. Mwisho wa siku CDM lazima wachangue MCCM mmoja wapo Kati ya wale 9!

Huwezi honga mchungaji there is no price tag kwangu!

M4C

Hemu tujuze hayo mapana uliyoangalia na sisi tushawishike, kwa nini mnatuletea mtu kwa style za JK Jamani.
 
kama niivyo mchungaji then wajichague wenyewe, kwa nini CDM ihusishwe? Kwanini baadaye tuje kupeana lawama?
Kila mtu afe na mzigo wake.

PKP

U have a point! Wakichaguana wao kwa wao ndo hapo wataweka asiyefaa! Kumbuka huyu anawakilisha nchi kwenye bunge la EA
 
Hatuwezi kumsapoti akiwa ccm! Chama anachopitia kimemdisqualify kupata sapoti yetu. Chama kinachoendeshwa na mafisadi hakiwezi kutetea maslahi ya nchi. Kama anataka kupata sapoti yetu angepitia kwenye chama chetu.
Kifupi ni kwamba hana jipya zaidi ya kupitia mgongo wa baba'ake na kuitumia jf kupiga debe. Na mapambano tunayokutana nayo sisi kama cdm yanagharama hadi ya maisha. Angekuwa amejitoa kwa ajili ya nchi hii angevaa gwanda akaingia vitani. Na sio kujificha nyuma ya chama kinachotumia silaha kulinda maslahi ya mafisadi. Ni mwoga, hana ujasiri na anategemea kupata uongozi kwa huruma na sio mapambano.
Hana analofanana na cdm wala wapambanaji wa kweli. Anaishi marekani kwa kukimbia ugumu wa maisha uliosababiswa na chama anachotaka kimpe uongozi. Hilo analijua halafu sisi tuliojitolea kupambana hapahapa tuje tumsapoti eti anamtazamo kama wetu! Huu ni upuuzi kabisa. Ndio maana naamini sio mwenzetu. Akafie mbali huko!
 
Hapa lazima tukubari UKWELI tu, ni kwamba tumeletewa mashetani 9. Na kati ya hayo MASHETANI lazima tuchague MASHETANI 3. Yaani lazima wabunge wa EAC 3 watoke CCM. CDM kama chama chenye wabunge kura zao wampigie nani? Ndiyo maana Masanilo anashauri KURA za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele kwasababu yeye ndiye ZIMWI LITUJUALO (sisi JF), hata kama hawezi kututetea lakini kama mwa JF mwenzetu anaweza kuwaambia hata MASHETANI wenzake kwamba jamani JF wanasema hivi na vile, na pia anaonekana kuwa the least SHETANI

Kwa hoja hiyo nami napendekeza kura 49 za Wabunge wa CDM ziende kwa W. Malecele. Mnyika, Zitto, Mdee, Nassari, please take this seriously.

Asante sana! Umeeleza nilichotaka kusema ! Mbowe pse hamasisha wabunge wetu

CDM vote for William
 
PKP

U have a point! Wakichaguana wao kwa wao ndo hapo wataweka asiyefaa! Kumbuka huyu anawakilisha nchi kwenye bunge la EA

Masa nijibu huyu mtu anafaa kivipi? au kwa vile ni member wa JF? Akijitokeza mmoja wao na akareveal kwamba yeye ndio Maralia Sugu wa JF tutafanyaje? tutarusha shilingi juu nini?
 
Wakuu !

Nimeangalia kwa mapana William yuko kimakosa sana CCM! Pamoja na mapungufu yake wabunge waCDM wamuunge mkono kuliko mCCM mwingine. Mwisho wa siku CDM lazima wachangue MCCM mmoja wapo Kati ya wale 9!

Huwezi honga mchungaji there is no price tag kwangu!

M4C

Huwezi kuamini sielewi kirefu cha M4C
 
Sijui ni kitu gani hakieleweki hapa, hata ukimchukua Dr. Slaa sasa hivi ukampeleka CCM halafu umpe kazi hatakuwa kama Dr. Slaa wa CDM. Atafanya madudu ya kutisha mpaka mtashangaa.

Maana yake ni kuwa maslahi ya CCM they are in conflict with maslahi ya wananchi na usitegemee kuwa W. Malecela will make any difference, he will not.
 
Back
Top Bottom