CHADEMA; Tumeshawalipia Mhe. Halima Mdee, Mhe. Ester Bulaya na Mhe. Ester Matiko

Igweeeeeeee...
Yani kama vipi angekuwa anachomolewa mmoja tu kila siku then anapokelewa kishujaa hadi waje waishe wote 8 kuna watu watakunywa sumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu jela sio mahali pazuri kukaa hata nusu saa.
Kama inawezekana kutolewa wote haraka watolewe tu mara moja.

Wewe upo huru huku mtaani unaandika hapa JF huko jela wenzio kukutwa na simu au computer ni kosa.
Wanakula chakula duni, wanalazimika kulala kabla jua halijazama kama kuku.
Wanakaguliwa hadi sehemu zisizotajika wasifiche vitu.
Kuna magonjwa ya kuambukiza, ukizingatia msongamano na mazingira duni Coronavirus akiingia huko itakuwa balaa.
 
Wanakula chakula duni, wanalazimika kulala jua halizama kama kuku.
Wanakaguliwa hadi sehemu zisizotajika wasifiche vitu.
Kuna magonjwa ya kuambukiza, ukizingatia msongamano na mazingira duni Coronavirus akiingia huko itakuwa balaa.
Naelewa mkuu ndio maana nilitumia neno 'kama', otherwise we want them out as soon as possible ndio maana tunachangia kwa sana ili watoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao jamaa wa green wala hawataki mshindwe kulipa, wao wanachotaka ni pesa iingie.

Huku mitaani tra wanatukung'uta au makampuni yanavyokazana kugawa gawiwo haitoshi tu kujua tuna Mdingi wa aina gani?
 
Mapato gani, unajua imecost sh ngap kuendesha iyo kesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani walikuwa wametoka kwenye payroll ya serikali?! Mahakama siyo private company.

Unataka kusema kesi zote zinazoendeshwa hapo gharama hulipwa na watuhumiwa?!

Kubali tu kwamba mahakama ni chanzo kipya cha mapato awamu ya tano.

Iwe chini ya wizara ya fedha.
 
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.

"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
View attachment 1384316View attachment 1384318
View attachment 1384339View attachment 1384339
Mmmh, haiwezekani! Yaani milioni 234 mmelipia watatu tu ambayo ni sawa na shilingi milioni 100 tu! Hapa kuna mawili, aidha hamjafikisha hizo milioni 234 mnatia mbwembwe tu au mmeishazifisidi zaidi ya milioni 134!
 
Igweeeeeeee...
Yani kama vipi angekuwa anachomolewa mmoja tu kila siku then anapokelewa kishujaa hadi waje waishe wote 8 kuna watu watakunywa sumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dawayaooooooo
Kesiijayooooo kilamtu mia miaa Basil
Tunatangaz tendaaa ya barabaraa KMR ..BONYOKWA road kiwangoo cha lamii
 
Mkuu jela sio mahali pazuri kukaa hata nusu saa.
Kama inawezekana kutolewa wote haraka watolewe tu mara moja.

Wewe upo huru huku mtaani unaandika hapa JF huko jela wenzio kukutwa na simu au computer ni kosa.
Wanakula chakula duni, wanalazimika kulala kabla jua halijazama kama kuku.
Wanakaguliwa hadi sehemu zisizotajika wasifiche vitu.
Kuna magonjwa ya kuambukiza, ukizingatia msongamano na mazingira duni Coronavirus akiingia huko itakuwa balaa.
Usiwe Na Mtazamo Hasi Jela ni kama chuo, ukitoka hapo unaimarika
 
Back
Top Bottom