CHADEMA; Tumeshawalipia Mhe. Halima Mdee, Mhe. Ester Bulaya na Mhe. Ester Matiko

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,227
2,000
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.

"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
IMG_20200311_163111.jpg
IMG_20200311_162841.jpg

IMG_20200311_162852.jpg
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
142,181
2,000
Ni mwanzo mzuri tuendeee kupambana bado kuna wengine wanahitaji kutoka
"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
Jr
 
sindesunde

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
365
500
"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
vizuri sana lazima mmemzingatia mama zetu !
 
Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
3,325
2,000
Wale wanaume ila wahakikishe Mwkt na krb wana kuwa wa mishonkutoka
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
11,003
2,000
"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
Haleluya!!!
 
gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,503
2,000
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.

"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
Igweeeeeeee...
Yani kama vipi angekuwa anachomolewa mmoja tu kila siku then anapokelewa kishujaa hadi waje waishe wote 8 kuna watu watakunywa sumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom