CHADEMA; Tumeshawalipia Mhe. Halima Mdee, Mhe. Ester Bulaya na Mhe. Ester Matiko

Mmmh, haiwezekani! Yaani milioni 234 mmelipia watatu tu ambayo ni sawa na shilingi milioni 100 tu! Hapa kuna mawili, aidha hamjafikisha hizo milioni 234 mnatia mbwembwe tu au mmeishazifisidi zaidi ya milioni 134!
Peleka kwa Polepole na vyombo vyenu vya dola.
 
Imbecile!!
Mkuu jela sio mahali pazuri kukaa hata nusu saa.
Kama inawezekana kutolewa wote haraka watolewe tu mara moja.

Wewe upo huru huku mtaani unaandika hapa JF huko jela wenzio kukutwa na simu au computer ni kosa.
Wanakula chakula duni, wanalazimika kulala kabla jua halijazama kama kuku.
Wanakaguliwa hadi sehemu zisizotajika wasifiche vitu.
Kuna magonjwa ya kuambukiza, ukizingatia msongamano na mazingira duni Coronavirus akiingia huko itakuwa balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tunawashukuru sana Watanzania kwa michango yao wanaoendelea kuchangia, kitendo cha kuchangia kufikisha Mil. 234 ndani ya saa 24 ni jambo kubwa sana. Bado tunahitaji michango zaidi iendelee ili kuweza kuwatoa viongozi wetu wote," Kaimu Katibu Mkuu wa @ChademaTz Kigaila Benson.

"Kutokana na michango ya Watanzania, hadi sasa tumefanikiwa kukusanya kiasi cha fedha kuweza kuwalipia viongozi wetu watatu, tumemlipia Mhe. @halimamdee, Mhe. @esteramosbulaya na Mhe.@Matiko_Esther_, tayari tumeshalipa pesa hizo," Kaimu Mkiti wa @ChademaTz, Said Issa Mohammed.
View attachment 1384316View attachment 1384318
View attachment 1384339View attachment 1384339
Too sad!
 
CHADEMA toeni namba za simu nyingine ili tuweze kuchangia viongozi wetu kuwa huru mana namba zilizopo zimefikia ukomo wa kutumiwa miamala
 
Nenda kashtaki polisi na CCM maana tuliochanga ni sisi wewe inakuuma nini?
Mmmh, haiwezekani! Yaani milioni 234 mmelipia watatu tu ambayo ni sawa na shilingi milioni 100 tu! Hapa kuna mawili, aidha hamjafikisha hizo milioni 234 mnatia mbwembwe tu au mmeishazifisidi zaidi ya milioni 134!
 
Pesa iliyobaki mbona ni ndogo sana si mngechukua kwenye mfuko wa chama, ili muwatoe wote kwa pamoja.

Au mwenyekiti ndo kila kitu bila yeye chama hakina pesa!!!
 
Back
Top Bottom