CHADEMA tumechanganyikiwa, hatujui tumesimama wapi!!

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,846
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!
 
1462508634268.jpg
 
Sii utani!!!
Ambao hamjachanganyikiwa inakuwaje mnataka kutunywesha uji wa chumvi kwa kukosekana kwa sukari??
 
Taratibu za kikazi zinatoa mwangozo kuwa "kuachishwa kazi Mfanyakazi yeyote mpaka uchunguzi ufanyike na apewe nafasi ya kujitetea ikibainika anamakosa ndipo aachishwe kazi" - Standing Order
Hata kwa wenzetu wa Kiasia waliowaajiri ndugu zetu, wanatakiwa wafuate hilo.
 
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!
1462511860906.jpg
 
Kwa hiyo ulitaka vyama chote tuunge mkono? Nani angewatetea wanannchi .
 
Nakuambia hawa wanataabu awamu hii ya Magu
Na Tutegemee kipigo kikubwa toka kwa Watanzania

Watanzania wamechoka
Watanzania wameumia sana

ASIE MUUNGA MKONO RAIS MAGUFULI
AKAPIMWE AKILI
 
Chadema hawana jipya,Wasakatonge sera zimewaisha wanabaki kulaumu laumu.
Magu kimbiza kimbiza 2020 upinzani ubaki jina tu
 
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!
Escrow, Lugumi, kitwanga,mabehewa chakavu, kivuko kibovu, IPTL nk chadema wanaitetea?
 
"Tundu Lissu ana cheti cha ukichaa kutoka hospitali ya Mirembe..Dodoma"..Mbunge wa kasulu.
 
Mlilazwa woote?maana Mchawi ndiyo humjua Mchawi mwenzake, wewe ulilazwa hapo Hosptal mwezi gani ili watu wakangalie kumbukumbu Vizuri.mbunge wa kasulu inasemekana hulazwa mara kwa mara hapo hospital
 
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!
Ninachokisikia bungeni kutoka kwa wapinzani:-

1:- madai kua Mawaziri wa Magu hawajapewa instrument tangu wachaguliwe miezi 6 iliyopita, hivyo hawana mamlaka hata ya kumtumbua mtu.
Na aliyekiri hayo ni pm.

2:- pia hawana job description hivyo ni ngumu kuwa-asess kama wanafanya kazi accordingly ama la.!

3:- Pi hoja ya bunge live nadhani hii ni hoja ta msingi sana. Tena sana. Inaingia kwenye transparency issues. Hatupaswi kusimamiwa katika kupata habari...

Tujadili utumbuaji majipu:-

Unaposema mafisadi wametumbuliwa.

1).Nini maana ya kutumbuliwa(KiSHERIA)?

2).Unao ushahidi wa FISADI yeyote aliyetumbuliwa. ?

3).Je sheria inatutaka tuwatumbue au tuwafunge jela?

4).Fisadi gani aliyetumbuliwa?.

5).kwa mahakama ipi na KOSA lipi?

6).Kifungu gani cha sheria kinatafsiri neno "kutumbua"?

7).Je pesa aliyochukua karudisha.?
8).Je amewekwa jela?

Bila kusahahu Mama tibaijuka kasema wazi kua wanaoguswa ni dagaa.. wanatolewa kafara. Huyu ni msisiemu. We unasemaje?.

Ila nadhani bado upinzani una hoja. Tatizo bunge likiendelea kua Live. Itafahamika tu.

Pia.mambo mengine.yataendelea kujitokeza huo tuendako. Kama sukari kupanda bei nk.
 
Kamanda Songoka kweli mmechanganyikiwa na hongera kwa kuliona hilo, na mwambieni mwenyekiti wenu upopo sio mzuri na hilo la bunge live wala hawatafika mahali kwani watu makini walishawajua kuwa Chadema niwatu wa matukio tu hawana uwezo wa kupambanua mambo, mbaya zaidi wanashindwa kucope na speed ya JPM lakufurahisha matukio yamekuwa machache ambayo hayalipi tena. Usiache kumshauri mkuu wako maana ndio ivo tena mzee white hair amekuwa joka la mdimu.
 
Nyuzi za kuiponda Chadema zinashamiri sana hapa jukwaani lakini wakigushwa lumumba b7 fasta tu zinanyofolewa.
 
kumbe umegundua mkuu? kuna kitu hawa jamaa wamepokea ndo mana siku hizi wamebadilika wanafanana na NEPI.
 
Back
Top Bottom