CHADEMA tumechanganyikiwa, hatujui tumesimama wapi!!

Nani aliesibitika kuwa kaliingiza taifa hasara kati ya hao wote waliosimamishwa mtaje hapa!

Wote wanaotuhumiwa hakuna aliesibitika na usitibitisho hutoka mahakamani ni kesi ipi iliokwisha kuamuliwa na watu wapo jela kwa kulitia hasara taifa? kuwa makini.

Kwa hiyo mtu akituhumiwa tayar anakuwa kishahukumiwa? Hamna haja ya mahakama na utaratibu wa kufuata sheria kwa maelezo yako.
hujielewi wewe
kabla ya magufuli, unajua CHADEMA tulikuwa tunalaumu nini?? na sasa yupo Magufuli unajua CHADEMA tunalaumu nini??

au unaandika tu, jaribu kukumbuka na kulinganisha nyakati hizo mbili then nambie kama hatujachanganyikiwa
 
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!

No, No! Uliyechanganyikiwa ni wewe tu Mkuu, Wanachadema wengine wako sawa. Tunawaona mitaani huku hatujaona hata mmoja aliyechanganyikiwa. Stop dramatizing ....
 
hujielewi wewe
kabla ya magufuli, unajua CHADEMA tulikuwa tunalaumu nini?? na sasa yupo Magufuli unajua CHADEMA tunalaumu nini??

au unaandika tu, jaribu kukumbuka na kulinganisha nyakati hizo mbili then nambie kama hatujachanganyikiwa

Wewe ndo hujielew unatoa hukumu kabla ya mahakama kwani chadema walikuwa wanalaumu watu wafukuzwe kazi bila kufikishwa mahakamani? Nani mwenye jukumu la kusibitisha na kutoa haki je ni magufuli au mahakama? yupo magufuli hao waliosimamishwa mali zao zimetaifishwa? Nani aliepanda mahakamani punguza ushabiki
 
Nani aliesibitika kuwa kaliingiza taifa hasara kati ya hao wote waliosimamishwa mtaje hapa!

Wote wanaotuhumiwa hakuna aliesibitika na usitibitisho hutoka mahakamani ni kesi ipi iliokwisha kuamuliwa na watu wapo jela kwa kulitia hasara taifa? kuwa makini.

Kwa hiyo mtu akituhumiwa tayar anakuwa kishahukumiwa? Hamna haja ya mahakama na utaratibu wa kufuata sheria kwa maelezo yako.
Daa! Kazi kweli, ina maana wewe upo nchi gani? Hao wakurugenzi wa halmashauri au jiji wanaosimamishwa hujui kama wameiingizia hii nchi hasara, mfano mdogo tu kuhusu wafanyakazi hewa, chanzo kikubwa na wakurugenzi kutotimiza majukumu yao ipasavyo.
 
hujielewi wewe
kabla ya magufuli, unajua CHADEMA tulikuwa tunalaumu nini?? na sasa yupo Magufuli unajua CHADEMA tunalaumu nini??

au unaandika tu, jaribu kukumbuka na kulinganisha nyakati hizo mbili then nambie kama hatujachanganyikiwa

Peke yako umechanganyikiwa tena vibaya sana umeshindwa kutofautisha kati ya tuhuma na usibitisho hivi na ww ulikuwepo chadema? Nyie ndo mliochangia chama chenu kushindwa
 
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!
Mi nachoona mambo ya kupigana vijembe na kusonteana vidole tuyaweke kando maadam uchaguz umeshakwisha hivyo basi viongozi wetu washikane mkono bila kuangalia uchama tuweze kujenga hoja za mantiki zinazoweza kulisogeza taifa letu ktk uchumi endelevu na ss wananchi tukanufaika pamoja.
Lakini Leo mbugeni imekuwa vita watu wanaoneshana ubabe...hatutafika popote..
 
Daa! Kazi kweli, ina maana wewe upo nchi gani? Hao wakurugenzi wa halmashauri au jiji wanaosimamishwa hujui kama wameiingizia hii nchi hasara, mfano mdogo tu kuhusu wafanyakazi hewa, chanzo kikubwa na wakurugenzi kutotimiza majukumu yao ipasavyo.
Taja mkurugenzi mmoja aliesimamishwa kwa hiyo mishahara hewa? Mishahara hewa sio wakurugenzi tu wewe huo uwanja mpana sana mnauangalia kiuwepes sana mweupe sana kumbe unabisha hujui kitu mishahara hewa inaanzia hazina ikiwa hazina wataweka data base zao sawa hakuna wafanya kazi hewa wao ndo wanahusika na malipo nao walitakiwa wawe wanafanya uhakiki wa malipo kabla ya kulipa jipu lipo hazina.
 
Wewe inaonekana hata habari hufuatili, unataka kila kitu nikwambie mimi! Hata humu JF ipo habari ya mkurugenzi aliyesimamishwa kazi kwa suala la watumishi hewa.
Kingine unachotakiwa kujua ni kuwa taarifa za watu wanaotakiwa kulipwa na hazina kila mwezi zinatoka kwenye halmashauri, hivyo ni jukumu la halmashauri kuwaondoa watu ambao hawasitahili kwenye orodha ya malipo, sasa nani jipu hapa?
Nakubaliana na wewe kuwa suala la watumishi hewa ni uwanja mpana, nafikiri hapa unamaanisha linahusisha watu wengi, sawa! Lakini lazima ujue kuwa mkurugenzi ndiye mwajiri katika ngazi ya halmashauri, yupo pale kwa niaba ya Rais, hivyo hata kama kuna watendaji wa chini yake wamesababisha makosa lazima mkurugenzi achukuliwe hatua, kwanza ni uzembe kwa nini asifuatilie ili kujiridhisha.
Vinginevyo kama wewe ni mhanga wa tumbuatumbua inayoendelea pole! Maana suala la kutumbuliwa limkute mwingine isiwe wewe, ndugu au mtu wa karibu.
 
Habari wakuu

Kama mnavyojua hoja iliyotupa umaarufu sana sisi CHADEMA ni kupinga ufisadi, na tuliishika kwelikweli mpaka kuandaa list ya aibu ya mafisadi (akiwemo kipenzi chetu lowasa).

Awamu iliyopita CHADEMA haikupenda kabisa kitu kinaitwa " tume za uchunguzi", tulizipinga waziwazi bungeni kwa hoja kwamba zinalenga kusafisha mafisadi, na zinatumia pesa za umma bure huku report zake zikitupiliwa mbali. Tukafikia kumpa jina la "dhaifu" mh Kikwete kwa kuwa muoga "KUCHUKUA MAAMUZI" ya kuwatimua mafisadi.

Kwa kweli tulichokipinga ni, moja, mafisadi kuundiwa tume za uchunguzi, pili, udhaifu wa rais kutochukua maamuzi kwa haraka dhidi ya mafisadi

CHAKUSHANGAZA SASA

  1. Leo CHADEMA wanalia bungeni eti watu wanafukuzwa bila uchunguzi, eti rais na watendaji wake wanachukua maamuzi ya haraka sana,
  2. Leo chadema wanataka eti kufukuzwa kwa mafisadi kufuate mchakato, na tume za uchunguzi
  3. Leo CHADEMA wanatetea wabadhilifu wanaofukuzwa na serikali eti wanaonewa
Lakini wakati viongozi wa kisiasa wakitetea na kunung'unika kuhusu mafisadi kufukuzwa, watendaji wa chama wanafanya hayohayo. Mfano Meya wa Kinondoni kawatimua wafanyakazi kwa style ile ile

Kwa ufupi, TOKA LOWASSA NA SUMAYE wahamie CHADEMA kilichobaki vilevile ni BENDERA TU, MENGINE YOTE WAMEYABADILISHA, na hakuna wa kuzuia, sera imebadilika, salamu imebadilika (Lowassa mabadiliko), ofisi zimehamishwa kinyemera, hata MSIMAMO WA CHAMA HAUJULIKANI.

Hapa ufipa hatujielewi, KATIBU MKUU mwenyewe kashindwa kuanza kazi ya kuhamasisha sababu hajapewa SERA NA MSIMAMO wa sasa wa chama.

KIFUPI TUMECHANGANYIKIWA!!!!!!!!!
NA BADOMTACHANGANYIKIWA SANA

Kwani huyu "PIGA KELELE a.k.a FANYA FUJO"anagongwa na nani?
 
....kumbuka Mh. JK alifanya hivyo hivyo, na kwa sababu mafisadi walikuwa na nguvu, basi waliweza kuzinunua hizo tume za uchunguzi na mwisho wake wanasafishwa na ninyi wapinzani mnalalamika kuwa tume za uchunguzi ni kupoteza muda. Pia kumbuka mfano tume ya Zitto ilikuja na mapendekezo Habid Singher afukuzwe nchini ndani ya masaa 24, na nyie wapinzani mlishobokea kweli kweli ila JK aliposema anafuata utaratibu (ingawa rais anayo mamlaka) nyie wapinzani mlimdharau sana na kumtukana. Pia hata sakata la Escrow lilipotokea mlitaka rais awasimamishe kazi vingozi waandamizi kadhaa ila yeye akasema kuna vyombo husika (ingawa uwezo wa kimamlaka kama rais alikuwa nao hakutaka kuutumia) ninyi pia mlilalamika. Kwa ufupi wapinzani nyie mmevuliwa nguo hamjielewi na mmechanganyikiwa kwelikweli.
Nimeongelea taratibu za mtu kuachishwa kazi, sijaongelea kisiasa.
 
Hakika nikiona jinsi jahazi la CHADEMA na UKAWA linavyozama inaniuma sana. Wakati mwingine natamani kujirusha kwenye ghorofa refu hapa PPF Tower ili nikatishe maisha yangu. Hata hivyo, kila nikifikiria, naona kuwa uamuzi huo ni kujidhulumu nafsi yangu na kutoutendea haki upinzani.

CHADEMA na UKAWA ndio tuliokuwa tunaishinikiza Serikali kupambana na Ufisadi na Mafisadi kama wa Richmond, ESCROW, MEREMETA, LUGUMI, IPTL, KAGODA nk. Tulipaza sauti zetu na wananchi wengi wakatuamini kwa kuamini kuwa tusemacho kinatoka ndani ya nyoyo zetu.

CHADEMA na UKAWA tulipigana usiku na mchana kuhamasisha wananchi waichukie CCM kwa vile inalea wafanyakazi wazembe na wabadhilifu.

Pale Ujambazi unapojitokeza ambao unagharimu maisha ya wananchi wasio na hatia, hakika tunaanzisha nyuzi humu mfululizo kuilaumu serikali kwa kutochukua hatua.

Kuhusu madawa ya kulevya ndio kabisaa. Lawama zote zilienda Serikalini huku tukiwahusisha vigogo wa CCM na serikali kuhusika na biashara hiyo. Sitasahau jinsi tulivyomwandama Idd Azzan huku tukimuita Zungu la Unga.

Hata hivyo, inaniuma na inanishangaza sana. Tangu tumpokee Lowasa kwenye chama chetu na kumteua kuwa mgombea Urais, hakika sasa imekuwa kinyume. Serikali na CCM ndio wamegeuka wapambana na maovu yote na sisi tumegeuka watetezi.

Rais alipoanza utumbuaji majipu hakika tulimsakama sana kwa madai kuwa wanaotumbuliwa hawapewi haki ya kujieleza. Tukatumia mwanya huo kuichonganisha Serikali na familia ya waliotumbuliwa. Sitasahau tukio la Mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji kukataa kumpa mkono Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa vile tu ndiye aliyemchongea kwa Rais baba yake mpaka akafukuzwa kazi. Sisi tulifurahia tukio hilo na hapo hapo tukamlaani na kumlaumu Makonda.

Limekuja hili la watumishi hewa. Hakika ni aibu. Tukajifanya watetezi wakubwa wa watu hao eti tukisema kuwa hao si watumishi hewa bali wengi wapo masomoni. Hakika iliniuma sana. Tukasema hakuna cha watumishi hewa bali Rais anatafuta KICK. Sasa sijui tunajisikiaje kusikia kuwa kuna watumishi hewa zaidi ya 12,000.

Sasa tumeanza kuwatetea majambazi. Eti tumekwazika na uamuzi wa Rais kuliagiza jeshi la polisi kuwashughulikia na kuwaua majambazi yenye silaha. Eti tunaingiza haki za binadamu kwenye ujambazi. Eti leo hii CHADEMA na UKAWA tuna huruma sana kwa majambazi na si wale wanaouawa na majambazi bila ya hatia yoyote.

Kwa mwendo huu wa kutetea uovu, hakika laana ya Mwenyezi Mungu ipo miguuni mwetu. Tutashindwa vibaya kwa kila jambo. Mtakuja kuniambia
 
Kada wa CHADEMA, nakushauri uhame chama. Kuendelea kuishabikia CHADEMA kunaweza kusababisha utaahira kwenye ubongo wako
 
Na hata siku serikali ikisema jinsia ya mbowe ni mwanaume, sisi tunachotakiwa ni kupinga tu
 
Back
Top Bottom