Source please
Upinzan wana pepo Kali sana limewaingia
Aibu yako, mkishikwa mnataka sourceSource please
Ndo tujue ukawa wameigia mfumo wa mauvuHakika nikiona jinsi jahazi la CHADEMA na UKAWA linavyozama inaniuma sana. Wakati mwingine natamani kujirusha kwenye ghorofa refu hapa PPF Tower ili nikatishe maisha yangu. Hata hivyo, kila nikifikiria, naona kuwa uamuzi huo ni kujidhulumu nafsi yangu na kutoutendea haki upinzani.
CHADEMA na UKAWA ndio tuliokuwa tunaishinikiza Serikali kupambana na Ufisadi na Mafisadi kama wa Richmond, ESCROW, MEREMETA, LUGUMI, IPTL, KAGODA nk. Tulipaza sauti zetu na wananchi wengi wakatuamini kwa kuamini kuwa tusemacho kinatoka ndani ya nyoyo zetu.
CHADEMA na UKAWA tulipigana usiku na mchana kuhamasisha wananchi waichukie CCM kwa vile inalea wafanyakazi wazembe na wabadhilifu.
Pale Ujambazi unapojitokeza ambao unagharimu maisha ya wananchi wasio na hatia, hakika tunaanzisha nyuzi humu mfululizo kuilaumu serikali kwa kutochukua hatua.
Kuhusu madawa ya kulevya ndio kabisaa. Lawama zote zilienda Serikalini huku tukiwahusisha vigogo wa CCM na serikali kuhusika na biashara hiyo. Sitasahau jinsi tulivyomwandama Idd Azzan huku tukimuita Zungu la Unga.
Hata hivyo, inaniuma na inanishangaza sana. Tangu tumpokee Lowasa kwenye chama chetu na kumteua kuwa mgombea Urais, hakika sasa imekuwa kinyume. Serikali na CCM ndio wamegeuka wapambana na maovu yote na sisi tumegeuka watetezi.
Rais alipoanza utumbuaji majipu hakika tulimsakama sana kwa madai kuwa wanaotumbuliwa hawapewi haki ya kujieleza. Tukatumia mwanya huo kuichonganisha Serikali na familia ya waliotumbuliwa. Sitasahau tukio la Mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji kukataa kumpa mkono Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa vile tu ndiye aliyemchongea kwa Rais baba yake mpaka akafukuzwa kazi. Sisi tulifurahia tukio hilo na hapo hapo tukamlaani na kumlaumu Makonda.
Limekuja hili la watumishi hewa. Hakika ni aibu. Tukajifanya watetezi wakubwa wa watu hao eti tukisema kuwa hao si watumishi hewa bali wengi wapo masomoni. Hakika iliniuma sana. Tukasema hakuna cha watumishi hewa bali Rais anatafuta KICK. Sasa sijui tunajisikiaje kusikia kuwa kuna watumishi hewa zaidi ya 12,000.
Sasa tumeanza kuwatetea majambazi. Eti tumekwazika na uamuzi wa Rais kuliagiza jeshi la polisi kuwashughulikia na kuwaua majambazi yenye silaha. Eti tunaingiza haki za binadamu kwenye ujambazi. Eti leo hii CHADEMA na UKAWA tuna huruma sana kwa majambazi na si wale wanaouawa na majambazi bila ya hatia yoyote.
Kwa mwendo huu wa kutetea uovu, hakika laana ya Mwenyezi Mungu ipo miguuni mwetu. Tutashindwa vibaya kwa kila jambo. Mtakuja kuniambia
ni kwa sababu hawajapata mkasa wa wao au ndugu zao kuuawa na majambazi. naombea liwatokee ili tuwasikie wanavyowateteaDuh! Mkuu, hakika umenichekesha sana. Yaani hata hili unahitaji source? Mbona tunawaona sana humu JF wanavyojitahidi kuwatetea majambazi na waovu wote? Kada wa CHADEMA kasema kweli kabisa kutoka moyoni
Hakika nikiona jinsi jahazi la CHADEMA na UKAWA linavyozama inaniuma sana. Wakati mwingine natamani kujirusha kwenye ghorofa refu hapa PPF Tower ili nikatishe maisha yangu. Hata hivyo, kila nikifikiria, naona kuwa uamuzi huo ni kujidhulumu nafsi yangu na kutoutendea haki upinzani.
CHADEMA na UKAWA ndio tuliokuwa tunaishinikiza Serikali kupambana na Ufisadi na Mafisadi kama wa Richmond, ESCROW, MEREMETA, LUGUMI, IPTL, KAGODA nk. Tulipaza sauti zetu na wananchi wengi wakatuamini kwa kuamini kuwa tusemacho kinatoka ndani ya nyoyo zetu.
CHADEMA na UKAWA tulipigana usiku na mchana kuhamasisha wananchi waichukie CCM kwa vile inalea wafanyakazi wazembe na wabadhilifu.
Pale Ujambazi unapojitokeza ambao unagharimu maisha ya wananchi wasio na hatia, hakika tunaanzisha nyuzi humu mfululizo kuilaumu serikali kwa kutochukua hatua.
Kuhusu madawa ya kulevya ndio kabisaa. Lawama zote zilienda Serikalini huku tukiwahusisha vigogo wa CCM na serikali kuhusika na biashara hiyo. Sitasahau jinsi tulivyomwandama Idd Azzan huku tukimuita Zungu la Unga.
Hata hivyo, inaniuma na inanishangaza sana. Tangu tumpokee Lowasa kwenye chama chetu na kumteua kuwa mgombea Urais, hakika sasa imekuwa kinyume. Serikali na CCM ndio wamegeuka wapambana na maovu yote na sisi tumegeuka watetezi.
Rais alipoanza utumbuaji majipu hakika tulimsakama sana kwa madai kuwa wanaotumbuliwa hawapewi haki ya kujieleza. Tukatumia mwanya huo kuichonganisha Serikali na familia ya waliotumbuliwa. Sitasahau tukio la Mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji kukataa kumpa mkono Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda kwa vile tu ndiye aliyemchongea kwa Rais baba yake mpaka akafukuzwa kazi. Sisi tulifurahia tukio hilo na hapo hapo tukamlaani na kumlaumu Makonda.
Limekuja hili la watumishi hewa. Hakika ni aibu. Tukajifanya watetezi wakubwa wa watu hao eti tukisema kuwa hao si watumishi hewa bali wengi wapo masomoni. Hakika iliniuma sana. Tukasema hakuna cha watumishi hewa bali Rais anatafuta KICK. Sasa sijui tunajisikiaje kusikia kuwa kuna watumishi hewa zaidi ya 12,000.
Sasa tumeanza kuwatetea majambazi. Eti tumekwazika na uamuzi wa Rais kuliagiza jeshi la polisi kuwashughulikia na kuwaua majambazi yenye silaha. Eti tunaingiza haki za binadamu kwenye ujambazi. Eti leo hii CHADEMA na UKAWA tuna huruma sana kwa majambazi na si wale wanaouawa na majambazi bila ya hatia yoyote.
Kwa mwendo huu wa kutetea uovu, hakika laana ya Mwenyezi Mungu ipo miguuni mwetu. Tutashindwa vibaya kwa kila jambo. Mtakuja kuniambia
huu ndio uanaharakati ambao Lowasa anataka kuupiga chini. siasa za kina Mbowe na group lake ni za kiuanaharakati zile za kuchenjia gia angani. ndege imepoteza mwelekeo kama ile ya Malaysia. haijulikani ilipo mpaka sasaBuku 7 tayari
Naomba utupe chanzo cha habari yako.UKAWA KUITISHA MAANDAMANO YA KUWATETEA MAJAMBAZI YASIULIWE NA POLISI.
TAARIFA ZINASEMA UKAWA WAKO TAYARI KUUNGANA NA POLISI WAKATI WA MAPAMBANO NA MAJAMBAZI ILI WAWEZE KUWATAMBUA MAJAMBAZI YENYE SILAHA NA KUJARIBU KUWABEMBELEZA WASIVAMIE RAIA.
KATIKA HARAKATI ZAO ..UKAWA WAMEENDA MBALI NA KUANZA KULIFIKISHA MAHAKAMANI JESHI LA POLISI KISA TU LINAPAMBANA NA UHALIFU ULIOKITHIRI...
MASELA HAWA WA UKAWA PIA WANATARAJIA KUBADILI GIA ANGANI NA KUMPA MKUU WA KIKOSI CHA MAJAMBAZI UWANACHAMA WA CHADEMA FASTA FASTA ILI AWEZE KUGOMBEA URAIS WA NCHI HII MNAMO MWAKA 2020 ...
IKIWA UKAWA WATAFANIKIWA KATIKA HILI BASI ILE ADHMA YAO YA NCHI KUTOTAWALIKA ITAKUWA IMETIMIA NA WAO WATAENDA DUBAI NA UJERUMANI KULA BATA.
MAELEKEZO YA KAMATI KUU YAO KWA SASA NI KUSUSIA SHUGHULI ZOTE ZA POLISI IKIWEMO KUTOKUPIGA SIMU POLISU KWA KUTUMIA KITUO KIPYA CHA POLICE CALL CENTER PALE WANAPOVAMIWA MAJUMBANI MWAO WAMEWAASA WANANCHI KUFANYA HIVYI HIVYO ILI KUWALINDA WAPIGA KURA WAO YAANI MAJAMBAZI VIBAKA NA WALA NDUMU.
NIKIRIPOTI KUTOKA UFIPA NI MIMI MWANDISHI WENU NILIYESOMEA SPECIAL DIPLOMA