CHADEMA Tukuyu

CHADEMA Tukuyu

Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.

we nadhan unatafunwa ww co buree. sasa umeingia choo cha kike sie wengne hatuna uwezo wa kuwatafuna wanaume wenzetu
 
Tuko pamoja! Tukuyu imekuwa na historia mbili za kusikitisha:
1. Wapo baadhi ya watu wanaodhani kuwa wanayo mamlaka ya kuwachagulia na kuwapelekea wananchi hapo wilayani wagombea nafasi mbalimbali ikiwemo ya Ubunge... matokeo yake kunkuwepo wawakilishi ambao hawana uwezo wa kutosha.....tabia hii lazima ikomeshwe!
2. Kumetokea matukio ya wagombea wa vyama vingine kuondolewa sifa katika mazingira ya utata...yawezekana wao na vyama vyao pia hawakuwa makini....hili lazima muwe waangalifu sana kwa chaguzi zinazokuja. Matokeo mgombea wa Tawala anabaki bila mpinzani!
 
Hakuna kitu mfanye kazi ya ziada kumtoa prof pale tukuyu sio raisi uende na carlolite zako kupambana na wasomi huyo mama mvamia mabwana tupa kulee

Mwambie Prof awaulize Antony Diallo na Lawrence Masha kilichowapata. Walijua kua wao ni wabunge wa maisha
 
Mkuu hoja yako ni kweli na mimi naelewa CDM ina watu wengi saana Tukuyu, tatizo ni sehemu ya kukutanikia manaake janja ya hawa jamaa zetu hawataki CDM ikutanikie hapo kiwanja walichojitaifishia kuwa cha CCM! Ila wazo ni zuri na next time sidhani kama CCM watakuwa na chao hapo Tukuyu!

Nilikuwepo hapo wakati wa uchaguzi mkuu na niliona mwamko wa watu wa huko, walikuwa wakimtaka Dr wa ukweli aende lakini mizengwe ikawa mingiiiii! Ila nadhani kura alipata si mchezo huko.

Kwa uongozi wa CDM taifa, ni kweli Dr anatakiwa aende huko kwa ziara ya kukiiimarisha chama, watu huko wanaipenda saana CDM huko!
 
Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.
mbona unamuonea wivu?au unataka slaa akuoe wewe?

Ha ha ha ha! Highlander likes this....

Huyu mama lazima atatafuta bwana mwingine tu baada ya 2015 make nia yake mume ambaye ni rais na slaa urais basi tena.

mbona unamuonea wivu?au unataka slaa akuoe wewe?

Ha ha ha ... tatizo Chadema siyo waliberali....
Huyu Simiyu yetu atakuwa kidume huyu; chakula ya waliberali. Ha ha ha ha...
 
Mkuu hoja yako ni kweli na mimi naelewa CDM ina watu wengi saana Tukuyu, tatizo ni sehemu ya kukutanikia manaake janja ya hawa jamaa zetu hawataki CDM ikutanikie hapo kiwanja walichojitaifishia kuwa cha CCM! Ila wazo ni zuri na next time sidhani kama CCM watakuwa na chao hapo Tukuyu!

Nilikuwepo hapo wakati wa uchaguzi mkuu na niliona mwamko wa watu wa huko, walikuwa wakimtaka Dr wa ukweli aende lakini mizengwe ikawa mingiiiii! Ila nadhani kura alipata si mchezo huko.

Kwa uongozi wa CDM taifa, ni kweli Dr anatakiwa aende huko kwa ziara ya kukiiimarisha chama, watu huko wanaipenda saana CDM huko!

Sehemu za kukutana zipo Mkuu. Labda hapo niwape sifa kidogo CCM wa Tukuyu. Hapa wana sera tofauti kidogo na Arusha. Kuna ushirikiano sana kati ya hivi vyama huwezi kuamini. Mwaka jana Josephine alipewa idhini kuhutubia mkutano mbele ya ofisi za CCM pale uwanjani. Siwezi kushangaa ruksa ikitolewa tena. Kwa maelezo ya kada mmoja wa CCM ambaye ni rafiki yangu sisi shida yetu ni maendeleo. Tunapima nani kati yetu anawakilisha haiba ya utatuzi wa matatizo yetu halisi ya jamii yetu basi. Kavaa shati rangi gani hilo si muhimu kushida hitaji letu la maendeleo.

Uchaguzi wa 2005 UVCCM walimpa kura mgombea wa Chadema Kata ya Bulyaga (Tukuyu Mjini) makusudi kabisa ila wakawa eti wamempa udiwani awashikie. Na kweli 2010 wakamnyang'anya udiwani (ila ssshhh....usiongeee kwa sauti sana....walichakachua).

Sehemu za kukutana zipo tele... kuna uwanja wa tandale, kuna palepale mbele ya ccm; au hata kwenye viwanja vya shule ya msingi Bulyaga. Zipo sehemu kibao... Kama ni kuja waje tu.
 
Highlander; Mwambie huyo mpenda kula ugali, sasa hivi CHADEMA inachanja mbuga kila pembe.Zile hirizi walizoachiwa na kina Mwambhulukutu hazitakuwa na kazi tena mbele ya nguvu ya umma. Kina Prof.Mwandosya wamepima kina na kujua hawatavuka ndiyo maana wametangaza mapema kwamba hawatagombea.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hoja yako ni kweli na mimi naelewa CDM ina watu wengi saana Tukuyu, tatizo ni sehemu ya kukutanikia manaake janja ya hawa jamaa zetu hawataki CDM ikutanikie hapo kiwanja walichojitaifishia kuwa cha CCM! Ila wazo ni zuri na next time sidhani kama CCM watakuwa na chao hapo Tukuyu!

Nilikuwepo hapo wakati wa uchaguzi mkuu na niliona mwamko wa watu wa huko, walikuwa wakimtaka Dr wa ukweli aende lakini mizengwe ikawa mingiiiii! Ila nadhani kura alipata si mchezo huko.

Kwa uongozi wa CDM taifa, ni kweli Dr anatakiwa aende huko kwa ziara ya kukiiimarisha chama, watu huko wanaipenda saana CDM huko!

Wacha hizo poti,
Nyie mpelekeni kuleeee ....Kyejo(milima inayoonekana toka Kyimbila Tea Estate), akaijue gesi!!
View attachment 103583
 
Highlander; Mwambie huyo mpenda kula ugali, sasa hivi CHADEMA inachanja mbuga kila pembe.Zile hirizi walizoachiwa na kina Mwambhulukutu hazitakuwa na kazi tena mbele ya nguvu ya umma. Kina Prof.Mwandosya wamepima kina na kujua hawatavuka ndiyo maana wametangaza mapema kwamba hawatagombea.


Makala Jr. ee, mpenda ugali mwenyewe huyu anaambilika bas? Izo picha zake za kule michaini umeziona? ha ha ha ha...

CC: masopakyindi
 
Sehemu za kukutana zipo Mkuu. Labda hapo niwape sifa kidogo CCM wa Tukuyu. Hapa wana sera tofauti kidogo na Arusha. Kuna ushirikiano sana kati ya hivi vyama huwezi kuamini. Mwaka jana Josephine alipewa idhini kuhutubia mkutano mbele ya ofisi za CCM pale uwanjani. Siwezi kushangaa ruksa ikitolewa tena. Kwa maelezo ya kada mmoja wa CCM ambaye ni rafiki yangu sisi shida yetu ni maendeleo. Tunapima nani kati yetu anawakilisha haiba ya utatuzi wa matatizo yetu halisi ya jamii yetu basi. Kavaa shati rangi gani hilo si muhimu kushida hitaji letu la maendeleo.

U
chaguzi wa 2005 UVCCM walimpa kura mgombea wa Chadema Kata ya Bulyaga (Tukuyu Mjini) makusudi kabisa ila wakawa eti wamempa udiwani awashikie. Na kweli 2010 wakamnyang'anya udiwani (ila ssshhh....usiongeee kwa sauti sana....walichakachua).

Sehemu za kukutana zipo tele... kuna uwanja wa tandale, kuna palepale mbele ya ccm; au hata kwenye viwanja vya shule ya msingi Bulyaga. Zipo sehemu kibao... Kama ni kuja waje tu.
Now you are talking!!!!!
 
mkuu naongelea xperience ya last election, Dr hakuruhusiwa kutua hapo!
 
Back
Top Bottom