Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,049
- 1,022
Jiliwaze na ndoto za mchana bado sana!!!!!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
We kila siku huwa unabwatuka ujinga tu shame 2 u
Jiliwaze na ndoto za mchana bado sana!!!!!!!!
Chama
Gongo la mboto DSM
Hivi wewe unafikiri Tanzania ni gunia la mahindi,eti mtachukua nchi,kweli bangi baya.
Tutawafanyia kitu mbaya chali yangu,mi ntaanza na ritz na chama
Furaha iliyojee kuanguka kwa CCM 2015 na CHADEMA kuingia ikulu,,
naomba sana mungu uhai ili nami niwe miongoni wa watakaoshuhudia anguko hilo la mkoloni mweusi na fisadi CCM,,
without a further do,,tujiulize tutapochukua na kuikomboa nchi hii hapo 2015,
tuifanye nini CCM na jopo lake la wahujum uchumi wa nchi hii???
1.tuwafunge?
2.tukifungie chama hiko moja kwa moja kushiriki siasa?
3,tuwapeleke the hague?
4.tuwafilisi mali zao?
5.tuwaweke vizuizini maisha yao yote kwa kuwajengea jela ya mateso ili kuwaadabisha kwa dhulma kubwa waliyowafanyia watanzania takriban miongo mitano sasa??
Au tuwafanye nini hawa mafisadi,kwa maana tulipochukua nchi hii kwa mkoloni mweupetulimfukuza hapa nchini,huyu mkoloni mweusi tumpe adhabu gani??

yaani ninyi watu waajabu sana.mkiambiwa tu msifanye maandamano kwa sababu za kiusalama mnapiga makelele kweli kweli; ooh! mara polisi ni ccm! or mara jeshi ni ccm! oooh mara ccm inaua upinzani! sasa ninyi mnaanza kupiga mahesabu ya kuifuta ccm kabisa mkiingia madarakani.yaani? ndo maana huwa nahofia sana watu wenye tabia ya kulaumu wenzao kwa kila wanalolifanya kwamba watu hawa siku wakiwa wafanyaji ndo wao tutalia na kusaga meno.any way kwakuwa chadema hawatashidha uchaguzi mpaka 2060,ngoja tu waendelee kununua vi sketi vya mtoto kabla hata ya mimba kutunga maana akili kila mtu ana zake.vp mnaingia na woga au jichagulien wenyewe adhabu basi
2015 ni hii hapa kwenye kona
Oooh kumbe mipango yenu mikuu ni kuwafanyia CCM na siyo wananchi!!!:angry:
yaani ninyi watu waajabu sana.mkiambiwa tu msifanye maandamano kwa sababu za kiusalama mnapiga makelele kweli kweli; ooh! mara polisi ni ccm! or mara jeshi ni ccm! oooh mara ccm inaua upinzani! sasa ninyi mnaanza kupiga mahesabu ya kuifuta ccm kabisa mkiingia madarakani.yaani? ndo maana huwa nahofia sana watu wenye tabia ya kulaumu wenzao kwa kila wanalolifanya kwamba watu hawa siku wakiwa wafanyaji ndo wao tutalia na kusaga meno.any way kwakuwa chadema hawatashidha uchaguzi mpaka 2060,ngoja tu waendelee kununua vi sketi vya mtoto kabla hata ya mimba kutunga maana akili kila mtu ana zake.
ni vigumu kukubaliana na namba tano, kwa sababu chama hicho kitakufa automatically. Sioni ccm wakiepuka njia ya kanu.
argue! don't shout!upepo unazidi kuvuma vibaya mtaa wa lumumba
kazi ya kinana na mangula bado ni sifuri,chadema mwendo mduundo
ok! if you think that arguing is madness; you may shout! kwa sababu hata hivyo debe tupu haliachi .........................!i cant argue with a mad,,
tulia ulambe dawaa
Sawa. Na kama hiyo mipango yenu ya kwanza ikichukua miaka5 mtakuja kutuomba kula tena 2020??tutaanza na hiyo kwanza
hiyo si ndiyo chanzo cha haya yote??