CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

Lowasa alivyobubu vile
Hahaha
Mnataka anye tena mzee yule
Maana aliposikia watu wanataka mdahalo akiwa pale stand ya chato nadhan mnajua alichokifanya

Haloo Dogo hebu punguza ukali wa maneno bhana utaacha watu wakatishe hata hizo kampeni maana watu wanaweza wakaanza kuimba zilele nyimbo za zamani (kikojozi kakojoa......),sasa sijui siku hizi wataimbaje?
 
Kama CHADEMA wanataka mwenyekiti wa chama ndo aende kwenye mdahalo. Sasa huyo Lowassa akisha kuwa rais wetu, ni nani atekaemuongelea kwenye jumuiya za kimataifa, kama umoja wa afrika AU, umoja wa afrika mashariki, na umoja wa mataifa UN, nako atatuma mwenyekiti wa chama. Kwenye jumiya za kimataifa ili muongeji atoe presentation yenye content anatakiwa kuongea angalau dk 30. Kwa mfano Lowassa akaribishwe UN kuonglea uwekazaji Afrika na makampuni ya kigeni, akaongee dk 10 tu. Je hatutamshangaa?. So CHADEMA wamejipanga kutuletea rais wa kuwakilishwa kila sehemu.
 
Sitarajii kuona kuna chama kitakaa kumtoa muakilishi wao KTK mdahalo huu.
 
Thubutu.UKAWA watakwepa MDAHALO kwa hila zote.kali zaidi baada ya jamaa kujifua kwa push up.
 
Mdahalo wa kazi gani. Watanzania hatuitaki ccm hata wangeitisha mikutano ya vjj
 
Chadema kwa sasa hawana hoja.waende kwenye mdahalo wana agenda gani? Mgombea mwenyewe ndo huyo tia maji tia maji. Huu mwaka mtajuta kukutana na magufuli.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.
Anaogopa ATAJINYEA
 
Sitarajii kuona kuna chama kitakaa kumtoa muakilishi wao KTK mdahalo huu.

Wawakilishi wa kazi gani tunataka wagombea, huyo muheshimiwa alivyo jiandaa miaka yote hiyo anataka apewe uraisi kiubwete tu? haonewi huruma mtu hapa! kila mtu atakula kwa jasho lake!
 
Mgombea wa UKAWA aruhusiwe kuibia na kuingia notes kiasi anachopenda
 
Haloo Dogo hebu punguza ukali wa maneno bhana utaacha watu wakatishe hata hizo kampeni maana watu wanaweza wakaanza kuimba zilele nyimbo za zamani (kikojozi kakojoa......),sasa sijui siku hizi wataimbaje?

Haa ha ha
 
Mgombea wa UKAWA aruhusiwe kuibia na kuingia notes kiasi anachopenda

Bila kusahau kuvalishwa pampasi na kupewa kiti cha kukaa na kila baada ya dakika 10 kuwe na walau mapumziko ya dakika 30
 
Back
Top Bottom