FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Leo nimetazama marudio ya Mdahalo wa Masaburi.
Kubenea kumbe bogus kabisa, kagaragazwa vibaya sana, baraka ya kupiga makelele mpaka mishipa inamtoka hana lolote la maana. Nnauhakika jinsi alivyokuwa anajikakamuwa lazima na mashuzi yalikuwa yanamtoka bila mpango.
On the other hand, Masaburi was so calm and composed. Straight to the point and very clear answers.
Hongera sana Masaburi.