waandaji wa hiyo midahalo hawana hadhi ya kuialika cdm, ni midaharo dhaifu chadema hatuwezi kuja. ikitokea taasisi credible ya kimataifa tutakuja. tu,
lakini pia mbona mgombea wa ccm kupitia ccm ndugu shein amekacha mdaharo na mgombea wa ukawa mheshimiwa raisi mtarajiwa maalim seifu hamda hili
kwa kuwa ccm mnatuhitaji sana sisi kwenye midaharo kuliko tunavyo wahitaji ninyi tunatoa sharti moja ili tushiriki midaharo yenu, kwanzza kubalini mdaharo wa wenyeviti wa vyama ndo ufuatie mdaharo wa wagombea uraisi
alafu kabla cdm hatuja kubali mialiko ya midahalo pamoja tunaomba majibu haya
1.kwanini ccm hamtaki midahalo ya wenyeviti wa vyama??
2. kwanini mwaka huu mnataka midahalo wakati mwaka 2010 mlikataa
3. kwanini katibu mkuu wa ccm aliwahi kacha mdaharo na katibu mkuu wa chadema?? mwaka jana