boyfriendy
JF-Expert Member
- Sep 9, 2012
- 1,988
- 1,034
nilitegemea ungeniambia CCM wamethibitisha kumbe na ccm pia wamekula kona inakuaje unashambulia chadema tu
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.
Tulia mkuu wewe huna chama ni shabiki tuu. Wenye chama tunajipanga jinsi gani kwenye mdahalo tunaibuka kidedea. Hatuogopi mdahalo hii mikakati tuu
We nae kama sio chizi basi Taahira ukawa ni chama?
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.
Acha umbulula wote hawajathibitisha. Tunawahitaji na wenyeviti wa vyama vyote na wabunge washiriki mdahalo
Nadhani Hili Si Tatizo La Chadema Ni Tatizo La Mgombea Wa Chadema Mwenyewe.Lakini Chadema Kwa Kulitambua Tatizo Hilo La Mgombea Wao Wanajaribu Kuweka Weak Na Conditions Za Kijinga. Mf.Mzuri Mbatia Aliyesema Wenyeviti Wa Vyama Ndo Washiriki,This Nonsense Haijawahi Tokea Hata Siku Moja Na Haitakuja Tokea Duniani Kote...Sometimes jaribuni Ukawa Kuwa Wakweli Tu....
Mbona 2010 jk alisepa mdahalo hamkuongea? Na alishinda kwa % kibao. Hii ni kudhihirisha mdahalo sio wa muhimu.
Chizi wewe lini. Think bifoo you sei.
ni aibu leo hii eti chadema inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya ccm nani kaileta chadema? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa hoja nzitonzito? Mbowe umeifanyaje chadema mpaka imekuwa kama ccm? Chadema haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? Au ndo hayo mabadiliko mnayotuimbia? Dr slaa wetu rudi!!!! Chadema imeshakuwa kama ccm. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.