CHADEMA thibitisheni mgombea URAIS kushiriki MDAHALO

Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.

Mbavu sina nakwambia mwaka huu tutaisoma namba. wacha jamaa wachukue urais tu bila kupingwa ila ubunge watuachie mwaka huu chadema kimekuwa chama cha kufyata mkia kweli... kweli... kabisa. Narudia tena Mny/k mwaka 2020 hatumtaki huyu bola hata utuwekee john mnyika.
 
ccm ilifikia mahali hata kukatiza mtaani na magwanda yake unapiga mahesabu. Ndiyo hali inayoinyemelea chadema.
 
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.[/QUOTE mdahalo usubiri tumalize kampen muda wamwisho pili kwanini munataka lowasa?
 
waandaji wa hiyo midahalo hawana hadhi ya kuialika cdm, ni midaharo dhaifu chadema hatuwezi kuja. ikitokea taasisi credible ya kimataifa tutakuja. tu,

lakini pia mbona mgombea wa ccm kupitia ccm ndugu shein amekacha mdaharo na mgombea wa ukawa mheshimiwa raisi mtarajiwa maalim seifu hamda hili

kwa kuwa ccm mnatuhitaji sana sisi kwenye midaharo kuliko tunavyo wahitaji ninyi tunatoa sharti moja ili tushiriki midaharo yenu, kwanzza kubalini mdaharo wa wenyeviti wa vyama ndo ufuatie mdaharo wa wagombea uraisi

alafu kabla cdm hatuja kubali mialiko ya midahalo pamoja tunaomba majibu haya

1.kwanini ccm hamtaki midahalo ya wenyeviti wa vyama??

2. kwanini mwaka huu mnataka midahalo wakati mwaka 2010 mlikataa

3. kwanini katibu mkuu wa ccm aliwahi kacha mdaharo na katibu mkuu wa chadema?? mwaka jana

Usiwe mpumbavu wewe na hiyo point yako ya kwanza! Ni nchi gani umewahi sikia midahalo ya kugombea kiti cha urais inafanywa kwa watu ambao hawagombei urais? Anayetaka urais ndo aende kwenye mdahalo, usiwe mjinga kama wenzako.
 
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.

Ninapinga mgombea yoyote wa UKAWA kushiriki midahalo ya U-CCM.

Waende na familia zao,
 
Nyie endeleeni kwan mumelazimishwa? Nendeni tu...mtawakuta wenzenu akina tlp na chaumma. Labda kama kweli mnataka mdahalo bass mtuletee jk ili atueleze kwann alikimbia mdahalo 2010 tukilizika bas tutakuja. Cz kama jk alishinda kwa kula nying na huku hakushiriki midahalo zn bas mtuache

Kikwete anastaafu, hii 2015 ndugu, usitirushe nyuma, twende mbele.
 
waandaji wa hiyo midahalo hawana hadhi ya kuialika cdm, ni midaharo dhaifu chadema hatuwezi kuja. ikitokea taasisi credible ya kimataifa tutakuja. tu,

lakini pia mbona mgombea wa ccm kupitia ccm ndugu shein amekacha mdaharo na mgombea wa ukawa mheshimiwa raisi mtarajiwa maalim seifu hamda hili

kwa kuwa ccm mnatuhitaji sana sisi kwenye midaharo kuliko tunavyo wahitaji ninyi tunatoa sharti moja ili tushiriki midaharo yenu, kwanzza kubalini mdaharo wa wenyeviti wa vyama ndo ufuatie mdaharo wa wagombea uraisi

alafu kabla cdm hatuja kubali mialiko ya midahalo pamoja tunaomba majibu haya

1.kwanini ccm hamtaki midahalo ya wenyeviti wa vyama??

2. kwanini mwaka huu mnataka midahalo wakati mwaka 2010 mlikataa

3. kwanini katibu mkuu wa ccm aliwahi kacha mdaharo na katibu mkuu wa chadema?? mwaka jana

1.Tunataka mdahalo wa Wagombea kwasababu wao ndio mmoja wao atakuwa rais wa nchi hii!

2.Wenyeviti wa vyama hauna maana kwa sasa kwasababu Raisi hatotoka miongoni mwao,na kumbuka kwasasa Ukawa haitambuliki kisheria hivyo basi,endapo LOWASSA atafanikiwa kuingia ikulu ataingia kama CHADEMA na sio UKAWA mpaka hapo atakapotunga sheria kwa kubadilisha katiba ili kuifanya UKAWA kutambulika kisheria

3.Sasa hivi ni 2015!maswala ya midahalo ya makatibu wakuu haina mashiko wala msaada

4.Kupitia taarifa ya January Makamba aliyoitoa wiki iliyopita,alithibitisha CCM kuwa tayari kwa mdahalo wa kiti cha urais.

QUESTION;Kwanini UKAWA Mnahofu ya kuhujumiwa kwenye mdahalo huu ikiwa hamjui mtachoulizwa?!
 
Mbavu sina nakwambia mwaka huu tutaisoma namba. wacha jamaa wachukue urais tu bila kupingwa ila ubunge watuachie mwaka huu chadema kimekuwa chama cha kufyata mkia kweli... kweli... kabisa. Narudia tena Mny/k mwaka 2020 hatumtaki huyu bola hata utuwekee john mnyika.
Atakuwa bado hai?! Labda kama yaliyosemwa na Msukuma ni uongo. Mwaka huu mkipata robo ya wabunge Tanganyika mfanye sherehe kubwa sana.
 
Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.[/QUOTE mdahalo usubiri tumalize kampen muda wamwisho pili kwanini munataka lowasa?

Kwa sababu lowasa ndio anagombea urais
 
Mbavu sina nakwambia mwaka huu tutaisoma namba. wacha jamaa wachukue urais tu bila kupingwa ila ubunge watuachie mwaka huu chadema kimekuwa chama cha kufyata mkia kweli... kweli... kabisa. Narudia tena Mny/k mwaka 2020 hatumtaki huyu bola hata utuwekee john mnyika.

Naona mtoto wa d.c unajpa moyo kdumu ktashnda urais, ha ha ha ha mwambie mzaz wko atafute ajira nyngne.
 
Nyie endeleeni kwan mumelazimishwa? Nendeni tu...mtawakuta wenzenu akina tlp na chaumma. Labda kama kweli mnataka mdahalo bass mtuletee jk ili atueleze kwann alikimbia mdahalo 2010 tukilizika bas tutakuja. Cz kama jk alishinda kwa kula nying na huku hakushiriki midahalo zn bas mtuache

Ngoja nikwambie kitu, endapo vyama vingine vitaenda alafu nyie pekee hamuendi, NAAPA kuna werevu kadhaa watatoka ukawa na kuhamia upande wa pili, mtapoteza kura huu ndo ukweli, hamna jinsi hapa, eidha mzee lowassa aende kisha AVULIWE NA AJIVUE NGUO BILA KUCHUTAMA, au asiende na apoteze wapiga kura wengine, usidharau midahalo, na sasa ndo ishaingia akilini mwa watanzania wengi, tunataka midahalo ya wagombea urais kama majirani zetu Kenya.
 
Lowasa alivyobubu vile
Hahaha
Mnataka anye tena mzee yule
Maana aliposikia watu wanataka mdahalo akiwa pale stand ya chato nadhan mnajua alichokifanya
 
Atakuwa bado hai?! Labda kama yaliyosemwa na Msukuma ni uongo. Mwaka huu mkipata robo ya wabunge Tanganyika mfanye sherehe kubwa sana.

Robo ya 265 ni ngapi? Ni 66, fanya hesabu za haraka, ukawa ina wangapi waliosima kwa ajili ya ubunge? Maana nikisema chadema peke yake, baada ya uchaguzi sidhani kama watazidi hii robo ya sisiemu ambayo ni 66. Tuongelee ukawa kwanza.
Ukweli ni kwamba ukawa kwa upande wa idadi ya wabunge bungeni, Mbowe alichemsha sana hii karata.
 
Kwani kuna CHADEMA tena? Mbona imekufa kifo cha mende. Wamebaki kuhesabu peremende tu.
 
1.Tunataka mdahalo wa Wagombea kwasababu wao ndio mmoja wao atakuwa rais wa nchi hii!

2.Wenyeviti wa vyama hauna maana kwa sasa kwasababu Raisi hatotoka miongoni mwao,na kumbuka kwasasa Ukawa haitambuliki kisheria hivyo basi,endapo LOWASSA atafanikiwa kuingia ikulu ataingia kama CHADEMA na sio UKAWA mpaka hapo atakapotunga sheria kwa kubadilisha katiba ili kuifanya UKAWA kutambulika kisheria

3.Sasa hivi ni 2015!maswala ya midahalo ya makatibu wakuu haina mashiko wala msaada

4.Kupitia taarifa ya January Makamba aliyoitoa wiki iliyopita,alithibitisha CCM kuwa tayari kwa mdahalo wa kiti cha urais.

QUESTION;Kwanini UKAWA Mnahofu ya kuhujumiwa kwenye mdahalo huu ikiwa hamjui mtachoulizwa?!

Shida ni huyu mgombea wetu kuongea mwisho dk3
 
Back
Top Bottom