Ni aibu leo hii eti CHADEMA inasepa mgombea wake kushiriki mdahalo. Hii tabia ya CCM nani kaileta CHADEMA? Nani kaiingiza hofu ndani ya chama chetu hiki kilichojengwa kijasiri kwa HOJA nzitonzito? Mbowe umeifanyaje CHADEMA mpaka imekuwa kama CCM? CHADEMA haijawahi kuwa waoga wa midahalo hata siku moja. Nini kimetokea? au Ndo hayo MABADILIKO mnayotuimbia? Dr Slaa wetu rudi!!!! CHADEMA imeshakuwa kama CCM. Siku hizi ina mafisadi, haijiamini, imejaa hofu, inawaogopa hata raia wasiwaulize maswali.