CHADEMA tafadhali sana, mtatuulia vijana wetu

CHADEMA tafadhali sana, mtatuulia vijana wetu

Yaelekea haujasoma post zake sana. Kwani ana lugha tofauti na hiyo anapoiongelea Chadema? Huyu ni kama mke aliyeachika kwa mume ambaye alikuwa bado anampenda na hana namna ya kurudi. hawezi kumwongelea vizuri hata kidogo. "Refer: Doriiiiiiiiiiiiii, kichwa kama tofaliiiiiiiiiii"
Kumbe ni sawa na lowasa, sumaye, kingunge, mbona sasa wakiongea hao mnawaamini? Au kwakua wamehamia cdm huyu kahamia ccm? Shame
 
Mtaiharibu siku yenu bure kwa kushindana na huyu bi shost. Hiyo picha kamhonga huyo kijana na kumfunga hiyo rambo ili ampige picha kwa lengo la kujibu yale ya wabunge wa ukawa. Abishe nimwambie na mtaa alikofanyia hilo tendo na hadi alipo huyo aliyenunuliwa kufanya igizo hilo. Nimshauri tu aache siasa za kitoto na za kikilaz.a zisizojenga umoja na mshikamano. Afanye siasa za rika zote na siyo hizi za chekechea za kumwigiza mama au baba nyumbani.
 
Aaah kumbe! Vijana wenu wa uv ccm wapo chadema wanawaigiza wabunge wa ukawa? Sikulitambua hili la cdm kuwaulia vijana wenu ati! Kumbe bado mnafanya siasa za maigizo? Basi na wewe iga kutoka nje baada ya kukerwa na hoja ya kukatwa kiinua mgongo chako! Inawezekana wewe ndiye muaandaa vurugu wanapokusanyika cdm na kisha kuwaitia polisi. Badilika kwani siasa siyo uadui.
 
wewe ndio muanzilishi wa chama hiki na haya yote uliyapandikiza wewe na wala usijidai eti si mfuasi wa chama hiki wewe ni chotara una uhusiano na chadema na ccm, tena chadema ndio iliyokukuza na kukufanya kuwa kiongozi ccm wamechukua zao lililoiva ytayari.
 
Hivi Julisna huna jambo lolote la kimaendeleo la kuleta likajadiliwa?,We ulimwengu wako ni kukosoa Chadema tu? Hilo ndilo litakalowapa ahueni wale unaowawakilisha? Wewe bungeni umetumwa kukosoa upinzani tu! My dear you ve got to widen your horizon of looking at things. Currently you have a too narrow spectrum. You are too obsessed with Chadema. Cant you go beyond that. For how long will you continue to live in the past? Hata kama ulifukuzwa huko Chadema kwa kuonewa. Huwezi kusamehe? Mlokole gani sasa wewe?This is no good for you health at all! You dwell too much on the past! Let it go. Utakuja kuwa kichaa hivi hivi!
Ni maneno mazito sana haya, ikiwa ile NURU haijazimika ndani atakuelewa.
 
Wewe Dada matusi ya nini kutukana watu juzi ulikuja hapa jukwaani ukamfananisha tulia Na Yesu Leo umekuja Na dharau kwa wabunge wenzako wengine waliokufundisha siasa mpaka ukaonekana huko ulipo Na wakakupa ubunge jitafakari Dada nakushauri siasa hizi azitakufikisha mbali
Umeongea kweli tupu.
 
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.
Viongozi wa CHADEMAleo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wa ajabu kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....
ni ww mbunge au mtu katumia jina lako. Kama ni ww umh
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure

Walipotukanwa wabunge wanawake wenzako pale bungeni ulichukua hatua gani??Je uliomba hata Mwongozo kwa kutaka Mtoto wa marehemu Celine Kombani aombe msamaha??KAma hukufanya basi huna moral authority ya kuja huku na kutubeza.Tunaelewa nini wabunge waupinzani wanafanya.NA mwaka 2020 tutawapigia kura tena na tena sababu tunajuwa wanachotutafutia.Kubwa ni UHURU wa MHIMILI WETU MKUBWA KABISA BUNGE.
 
Hivi wewe binti CHADEMA ulifukuzwa au uliondoka mwenyewe? Huli na hulali kwa kuiwaza CHADEMA.....Fanya mambo mengine huko uliko
 
Unapenda kuwasemea vijana wa wenzako eti "vijana wetu" ndoa ni mwaka wa tatu sasa biashara hailipi!! Si umweleze tu jamaa ukweli ulichokifanya sekondari????

Juliana Shonza-WEMA SEPETU
 
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.
Viongozi wa CHADEMAleo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wa ajabu kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....
Kiukweli tulikuwa tunaidharau jf, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya, yamesaidia saidia, huwezi jua!. Zamani nilikuwa napitia mabandiko yako kwa dharau na kujibu kwa kejeli, lakini baada ya uteuzi, sasa napitia mabandiko yako yote kwa makini zaidi, heshima na adabu haswa kwa kuzingatia wewe sasa ndio bosi wangu kwenye tasnia ya habari.

Karibu Boss, Mheshimiwa saba, Bi Juliana Shonza.

Paskali.
 
Leo una kazi moja tu, kufuta na kulamba viatu vya huyu boss wako mpya.
 
Back
Top Bottom