CHADEMA tafadhali sana, mtatuulia vijana wetu

Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.

Viongozi wa Chadema leo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wao HAMNAZO kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....too many idiots...!!!
Katika watu ambao nishawapuuza kitambo ni pamoja na huyu Dada.
 
Vijana wenu wapi? huyo ni mwanachama wa CHADEMA , wewe unajishaua na kusema eti mtatuulia "vijana wetu".
Nonesense!!
 
Bora kujikwaa mguu, kuliko kujikwaa ulimi. Una shida ipi ya kuja kuropokaropoka ukiwaita watu wajinga? Unajua maana ya KIRUKA NJIA?

Adabu dhahabu, mtoto wa kike jifunze kujiheshimu
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
Ungechagua kukaa kimya katika jambo hili ungekuwa umechagua fungu jema, lakini kwa kuamua kufanya ulichofanya umezidi kuthibitisha tu kwamba wewe ni "mzigo"!
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
,,,kumbe ndo mana na nyie mlimuiga malaika wenu kupiga push up
 
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.

Viongozi wa Chadema leo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wao HAMNAZO kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....too many idiots...!!!
Duh... Haya mama... Ila unapochangia bungeni acha kumfananisha YESU na wengine..... Hapo unakuwa unagusa imani za watu
 
Hawa wapinzani wanatakiwa wajue kua mpira hua hauchezwi nje ya uwanja.
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
dada juliana kweli umeamua kutuita wapumbavu kisa huo ubunge tena wa viti maalumu jaribu kuwa na busara hata kidogo dada kama siye ni wapumbavu huko uliko kwa kinakitwanga tutakuitaje
 
Wabunge kama nyie ndio Mkapa alikuwa akiwasema juzi,

Vijana lakini hamna akili, umeingia Jamiiforums kuja kusema upuuzi.

Ni vyema ungepigania mafao yenu yasikatwe kodi. Ya wanachama Wa upinzani sidhani kama yanakusaidia.
 
Hivi Julisna huna jambo lolote la kimaendeleo la kuleta likajadiliwa?,We ulimwengu wako ni kukosoa Chadema tu? Hilo ndilo litakalowapa ahueni wale unaowawakilisha? Wewe bungeni umetumwa kukosoa upinzani tu! My dear you ve got to widen your horizon of looking at things. Currently you have a too narrow spectrum. You are too obsessed with Chadema. Cant you go beyond that. For how long will you continue to live in the past? Hata kama ulifukuzwa huko Chadema kwa kuonewa. Huwezi kusamehe? Mlokole gani sasa wewe?This is no good for you health at all! You dwell too much on the past! Let it go. Utakuja kuwa kichaa hivi hivi!
 
Kweli mkuu, Mimi nmejikuta nnamjibu Kama Mara tatu Hivi wakadelete post zangu!!,,anatafutia watu ban kwa lazima
Hapa nikiloga kukomenti tu lazima nipate ban, yaani nikigusa tu mada za haka kadada naamkia segerea ya JF.
 
Back
Top Bottom