CHADEMA tafadhali sana, mtatuulia vijana wetu

Yaelekea haujasoma post zake sana. Kwani ana lugha tofauti na hiyo anapoiongelea Chadema? Huyu ni kama mke aliyeachika kwa mume ambaye alikuwa bado anampenda na hana namna ya kurudi. hawezi kumwongelea vizuri hata kidogo. "Refer: Doriiiiiiiiiiiiii, kichwa kama tofaliiiiiiiiiii"
Ndi... ndi... ndi....
 
Juliana Shonza naye ni mheshimiwa mbunge? No wonder hatufiki popote!
Mkuu hii ndio mitaji ya CCM pale bungeni.wako wengi tu mbona kuna yule mwingine alikuwa analia bunge lisioneshwe " live" kuna kale kabinti ka Abdallah bulembo.kazi yao ni kupiga kelele na makofi kuhakikisha hoja zote za CCM zinapitishwa. Watanzania tusali sana hali ni mbaya.
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
Kwanza wewe hao unaowaita wajinga ndo wamekufikisha hapo kisiasa. Jina lako la JULIANA SHONZA limeanza kujulikana humo na baada ya kuona huna kifua cha kukimbizana na vijana shupavu,wazalendo na wenye nia ya kulipigania taifa ukakimbilia upande wa pili ambapo ulipata nafasi kwa sababu tu Ulionesha umahiri kidogo baada ya kufunzwa na hao uwaitao wajinga.

Pili,usidhani kwamba kila mtu anayewepo huku analipwa ila panapobidi ukaleta hoja lazima uwe tayari kupigania na kuifafanua. Vinginevyo nakosa kuita chochote utakachokiandika ni UMBEA.

Tatu,usijione Sana hufai kulinganishwa na vijana wa ufipa maana kwanza wwanawazidi kwa mbali Sana vijana wa Lumumba. Wewe ni nafasi tu ya upendeleo isiyo na tija ndo maana upo hapo.

Nne,heri uwaitao idiots wakajua Kiswahili sahihi kuliko wewe ambaye hata hujui wingi wa neno barabarani na badala Yake ukaandika "mabarabarani".
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
Hivi na wewe ni mbunge? Teh teh teh Magufuli futa viti maalum wanatumalizia pesa zetu walipa kodi.
 
Bunge Tukufu kuna watu kama Agness analia kisa ataki bunge lionyeshwe live Bunge la Tanzania ovyo sasa Kama mtu anaenda bungeni anasema DAMOND ajengewe sanamu teh teh
 
Mkuu,mbona post zangu zinahamishwa??? Maana yake ni nini??? Hii Ni Mara Kama ya tano wanafanya Hivi!! Why???

Utakuwa unaandika lugha ya kuudhi au threads zinafanana au ni makosa ya kibinadamu
 
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.

Viongozi wa Chadema leo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wao HAMNAZO kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....too many idiots...!!!
Shonza niwewe nilijua labda kupata ubunge viti maalum itakujenga kiakili kumbe bado.pole sana
 
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.

Viongozi wa Chadema leo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wao HAMNAZO kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....too many idiots...!!!
Eti na huyu ni mmoja kati ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.!!
Mtu yenye mawazo ya kipuuzi kiasi hiki eti akaishauri serikali na serikali ikafanye vyema..kweli??
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
Kweli tanzania tunasafari ndefu sana kama wewe ni mmoja wa watunga sheria za nchi yetu. Kwa akili kama zako tutaendelea kuona taifa letu pendwa likiendelea kuteketea na kukwama kwa kila jambo kutokana na wabunge mizigo kama wewe shonza.
 
Nataka niwaone Mbowe na Lowassa wakiwa wameziba vinywa vyao pia
47ca1ebb99813711faad273ef6441ee1.jpg
 
Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.

Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...

Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
Kwa hakika wewe ni mbunge wa viti maalum na ni kweli kabisa una hakisi ubunge wa viti maalum.
 
Kwani wakifa we utapata hasara gani? Tena huyo unaemsema ana akili zake timamu anajua anachokifanya..waonee huruma vijana wa Jimbo lako mana wanatia huruma kwa ugumu wa maisha huku wewe ukipigania tumbo lako kwa gharama yoyote
 
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.

Viongozi wa Chadema leo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.

Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.

Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wao HAMNAZO kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....too many idiots...!!!
kwa hiyo huyo jamaa amekufa?
 
Back
Top Bottom