Juliana Shonza
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 2,009
- 1,609
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.
Viongozi wa CHADEMAleo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.
Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.
Sasa ebu mtazameni huyu;
Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wa ajabu kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....