shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,913
Lowasa anahusikaje hapa?Lowasa ataweza kweli?

Huwezi kuwa manachama wa chadema kwa sababu, walioko huko ni wajanja,Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.
Viongozi wa Chadema leo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.
Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.
Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wao HAMNAZO kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....too many idiots...!!!
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.

Kumbe hata ubunge ulipewa kupitia mlango wa nyuma, uelewa ulionao hauendani na heshima ulionyo, ubunge umezidi uelewa wako,Moja;
Mimi silipwi kukesha JF kuandika na kujibu...hizo ni ajira za baadhi yenu. Utafanya makosa makubwa kunilinganisha mimi na wale vijana wa ufipa ambao ajira zao ni kukesha kwenye keyboards.
Mbili;
Ninapozungumzia ujinga na wajinga ndani ya UKAWA, nazungumzia kitu ninachokijua, hata kama haujamshinikiza kuvaa ilo nylon ila kama kiongozi unapaswa kujua kuwa nikifanya jambo hili wafuasi wangu watalipokeaje...
Na kwa akili zako hata itakabidi uitoe uvute hewa hata fanya hivyo...mtakufa bure
Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.
Viongozi wa CHADEMAleo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.
Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.
Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wa ajabu kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....
Juliana Shonza unavuka mipaka dada...Siasa zipo tu,na huu upinzani upo tu,utu na heshima kwa bindamu vitaendelea kuwepo hata nje ya vyama vya siasa
Bahati mbaya unajisahau kuwa ulipokuwa muimba kwaya kanisani Mabibo kwa kofia ya ulokole wengi wa waimba kwaya wenzako walikuwafuata Chadema,hata ulipoondoka bado waliendelea kubaki Chadema.Unapotukana hata kuwa wengi wa wafuasi wa vyama pinzani na hasa Chadema hamnazo..Juwa kuwa kwenye kundi hili hata wakwe zako wapo...Mzee wako wa kanisa yupo,na bila kujuwa hata mchepuko wako pia yupo kwenye hilo kundi la hamnazo.
Hizi kejeli za kuwaona wengine mbumbumbu unazitoa wapi?Walokole feki ninyi kila siku viti vya mbele kanisani halafu mnadharau binadamu wenzenu?Unaona umemaliza yooote yaliyopo dunianu kisa ubunge?Jiangalie sana binti,we bado mtoto mdogo,siasa za kejeli tena kwa id inayojulikana zitakufikisha pabaya kiimani na kijamii...maana unatukana na watu wa heshima!!Suleiman aliomba hekima tu,katika vyote vilivyopo duniani...Jifunze usije kufa kibudu...
In short "ukichana tangazo umesoma tangazo"Pigeni kelele sana lakini ujumbe umefika bila chenga
Imetulia sana man!Hakuna kitu bora na kizuri kwa kiongozi wa siasa ama kiongozi wa aina yeyote kama kuwafahamu vilivyo watu unaowaongoza.
Viongozi wa CHADEMAleo wametoka bungeni wakiwa wameziba midomo yao wakitoa ishara ya kupinga kile wanachokiita kukandamizwa kwa uhuru wa kujieleza.
Wafuasi wao kwa Bahati mbaya sana na kwa uwezo wao mdogo nao wameanza kutembea mabarabarani wakifunga mifuko ya Nylon wakiziba Pua na Mdomo kuwaunga mkono Viongozi wao.
Sasa ebu mtazameni huyu; View attachment 358309Ingelikuwa jambo jema sana, kwa kuwa mnajua kuwa wafuasi wenu wengi wa ajabu kama huyu jamaa, mkifanya jambo wapeni maelekezo namna ya kuiga... ..mtakuja kutuulia vijana wetu mtaani. Siku nyingine waambieni kuwa hautakiwi kufunika Pua na Mdomo kwa nylon utashindwa kupumua na utakufa...namshukuru Mungu kuwa mimi sio mwanachama wa Chama hiki....
lowasa anaingiaga bungeni?
Kaa haba tu huyu hata hajiongezi kiakili ameshaupata ubunge wa vitu maalum angetuliaHapa nikiloga kukomenti tu lazima nipate ban, yaani nikigusa tu mada za haka kadada naamkia segerea ya JF.
Njaa mbaya ndungu, sasa watafanyaje Mdos wao kashatoa Kauli?Mbatia kaacha kinywa wazi wenzake wameziba!
Njaa mbaya ndungu, sasa watafanyaje Mdos wao kashatoa Kauli?