Tafuteni muislam vocal hata wakununua. I smell trouble. Nina ndugu yangu ustaadh ni mstaarab na mpole sana ila mambo aliyoniambia yaliyoko kichwani kwa waislam wengi ni hatari kwa taifa. Uongozi wa CDM tumieni inteligensia yenu tafadhali kwenye hili.
Acha ujinga huo.Lakini 4get it tutaingia kwenye udini. Cha muhim ni CDM kuingiza waislam na waonekane. Ikiwezekana hata mnyika,zitto au mbowe a silim nakua muislam.
Politiki soma post yako tena. Kwenye red unasema udini hamna TZ unainsinuate pia kuwa hauwezi tokea. Lakini kwenye blue unatoa vidhibitisho kua kuna watu wanauchochea. Sasa ndugu ni hatari kuamini kuwa watu wengi wanawapuuzia hawa wachochezi kama wewe.Utashangaa ni kinyume kabisaa.An increasingly number of TZ are starting to take sides. Kikwete alivyoenda Lindi na kusema yeye sio John,walimzomea au walimshangilia?uwezi kutafuta solution ktk tatizo ambalo haliko mjomba, udini hakuna hizi ni siasa tu waislamu na wakristo wananishi kama ndugu hao wanaoidai kuna udini ni wanasiasa uchwara kama kikwete ambao wanatumia udini kujipatia kura. mashekhe wengi wanaoubiri udini wakati wa uchaguzi ulipwa na wausika kwa ajili ya kufanya kazi hiyo lakini hawawaambiii wanaowaubilia kuwa wamechukua pesa mfano mzuri ni shekhe Halifa wa kariakoo ni maarufu kwa kazi hiyo. ukitaka kujua anachokisema KIKWETE NI PUMBA fikiria kwanini hawachukulii hatua watu anaodai kuwa wanaeneza udini, yeye kama raisi anayo mamlaka makubwa ya kisheria kwanini hawachukulii hatua anakaa pembeni kulalamika kama mwananchi wa kawaida? mdini ni yeye JK akienda kusini anailalamikia CUF kuna udini akienda Kaskazini analalamikia CHADEMA. alipokuwa Lindi aliuliza kwenye mkutano wa hadhara aliwalalamikia CUF kuwa wana mbagua kwani yeye ni john?, hebu fikiria kwahiyo John ndio anastahili kubaghuliwa JK ndiye MDINI MKUBWA na siyo watanzania wengine.
Kwa kiasi kikubwa naweza kuunga mkono hoja ya mtoa mada, kwa nchi kama Tanzania ambapo asilimia kubwa ya Raia wameleweshwa Dini ni busara kwa uongozi wa chama chochote au kiongozi yeyote kuwa makini katika namna ya ku-organize mambo ili kuepusha malalamiko kutoka upande wowote. Kwa kifupi huwa ni ngumu na inakera pale unapojaribu kutetea haki za watu bila kujali itikadi zao za kiimani na kikabila, lakini mwisho wa siku bado ukapata malalamiko kutoka upande mmoja kwamba unapendelea upande mwingine.
Hivyo ni baadhi ya vizingiti ambavyo chama/kiongozi yeyote atakumbana navyo kwenye kutekeleza majukumu yake. Cha muhimu kufanya ni kutafuta solution ya haraka kabla hii sumu haijaenea zaidi. Wakati mwingine huwa naamini kuwa sisi watanzania tu wavivu wa kufikiri na hatupendi kushughulisha akili zetu kutafakari mambo, kwa mantiki hiyo huwa ni rahisi sana kwa mtu kupotoshwa na mtu yeyote atakayeamua kupotosha pale anapoonekana kuturahisishia mambo, hasa hawa wanaojiita/wanaoitwa viongozi wa dini aidha kwa makusudi (kulinda maslahi) au kwa bahati mbaya (kwa uelewa wao mdogo).
Tukirejea kwa walengwa, nashauri ninyi wana-CHADEMA mliopo humu ndani, mchukue ushauri wa mtoa mada na mara moja muanze kueneza Propaganda misikitini na kwa waumini wa Uislamu kuwa ukombozi wa Mtanzania hauna uhusiano wowote na CHADEMA kama chama bali unawahusu watanzania wote. CHADEMA wanatekeleza jukumu lao kama sehemu ya watanzania, wengine nao watekeleze kwa upande wao, mradi lengo ni moja, basi tusihitilafiane bali tupeane moyo na ushauri pale mmoja atakapohitaji. Iwepo au isiwepo CHADEMA, ni lazima mtanzania akombolewe kutoka kwenye makucha ya wanyonyaji wachache. Uislamu na Ukiristo ni imani zenu, ziheshimuni, zipo, zilikuwepo, na mtakufa mtaziacha, tuweke imani zetu kando pale tunapodai maisha mazuri, huduma bora za afya, punguzo la bei za sukari, nauli na mchele, kuondoa kero za foleni za magari, kuchelewa kwa mishahara pamoja na kero mbali mbali ambazo zinachangiwa na uongozi wetu kutupuuza waislamu na wakristo na wapagani wa Tanzania. Waambieni kuwa akina mama wajawazito wanaokufa kwa kukosa huduma za afya ni waislam na wakiristo kwa pamoja, vibaka waliopoteza matumaini wanakaba watu wote kwa pamoja, masheikh na wachungaji. Waambieni wakati yote hayo yakitokea Viongozi wao wakuu wa dini wanapewa huduma zote muhimu na Serikali, hawabugudhiwi!!!
Chama cha siasa sio bendi kwamba inapotumbuiza kila mtu lazima afurahi. Mambo ya chama ni mambo ya sera na itikadi. Hivi ukabila umeshaisha? Maana CDM ilisemekana kuwa ya wachaga. Sasa hivi CDM ina udini! Hivi shida zetu zinaangalia dini? Mabomu ya gongolamboto yalifuata mfumo wa kidini? Huyu Slaa udini amejifunza baada ya kugombea urais? Mbona wakati wa kuibana serikali bungeni hakuwa mdini? Kwa hiyo watu wote wanaomsikiliza ktk mikutano ni wadini? Wa-zanzibar wako honeymoon kwa sasa waache na sisi tufanye kazi huku bara!