Chadema Singida yapata mjengo wao

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mambo yanazidi kuwa moto moto kwa wana cdm ktk kuendelea kujijengea majengo yao ya ofisi na sasa wana singida wamekamilisha ofisi yao.

Aluta kontinyua
FB_IMG_1556891982088.jpeg
FB_IMG_1556891971909.jpeg
 
Hii ni mali ya mtu binafsi bro.
Inawezekana.
Hii ni kutokana na tabia ya mtu mmoja kumiliki Chama.
Akija kuondoka anaondoka na Mali zake.
Iko siku utashangaa Sisemi wakitoka madarakani ukaambiwa Waiti ausi ni Mali ya chama mana kimekaa madarakana muda mrefu.Huenda wana hati ya ule mjengo mweupe.
Siasa haitakiwi kiongozi kukaa mpaka kuzeekea madarakani.
 
Hilo jengo ni mali ya chama
Inawezekana.
Hii ni kutokana na tabia ya mtu mmoja kumiliki Chama.
Akija kuondoka anaondoka na Mali zake.
Iko siku utashangaa Sisemi wakitoka madarakani ukaambiwa Waiti ausi ni Mali ya chama mana kimekaa madarakana muda mrefu.Huenda wana hati ya ule mjengo mweupe.
Siasa haitakiwi kiongozi kukaa mpaka kuzeekea madarakani.
 
Mambo yanazidi kuwa moto moto kwa wana cdm ktk kuendelea kujijengea majengo yao ya ofisi na sasa wana singida wamekamilisha ofisi yao.

Aluta kontinyua
View attachment 1087101View attachment 1087102
Si rahisi kwa ccm hii ya kutegemea polisi na wasiojulikana kuijua mbinu ambayo chadema wanaenda nayo kwa sasa , kuna style ya chadema inaitwa Kansa style , inatafuna ccm ndani kwa ndani , mkija kustuka hakuna cha Muhimbili wala Ocean road .

Wanachadema naomba mnisamehe kwa kufichua siri hii
 
Tushakusamehe mkuu!

Ipo mtaa gani maana naifaham ile iliyokuwepo ukomboz kata ya majengo kwa kweli ilikuwa imechoka sana .hongereni
 
Tuna tumia mbinu za medani ( mm )
Kwa waliopitia jeshi wataelewa
Siku ukisikia Moven pick inapandishwa bendera ya chadema baada ya kubadilika na kuwa makao makuu ya chama usimlilie mtu , Style inayoenda nayo chadema kwa sasa ni zaidi ya hatari .
 
Back
Top Bottom